DULLA MAKABILA Agoma KUMPA MKONO HARMONIZE/ Amfuata IBRAAH/ Afunguka CHANZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @bonifacehassan1309
    @bonifacehassan1309 4 ปีที่แล้ว +10

    Kwan lazima amsalimie wabongo bhn mbona Harmonix yy hakumsalimia..!

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 4 ปีที่แล้ว

    Ana mapozi sana huyu jamaa ungekuwa demu mkali tungekuita Mwaisa 😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @sirlankagirl6256
    @sirlankagirl6256 4 ปีที่แล้ว +5

    Daaah kma ni dulla ao ni dolla ao ni dulluuuu kina sura mbyaaa

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 4 ปีที่แล้ว

      sawa wewe baki na sura yako nzuri tuachie Dulla wetu!

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 4 ปีที่แล้ว +3

    Jeshiiiiii🐘🐘🐘🐘🐘🐘

  • @nintunzeleonel8062
    @nintunzeleonel8062 4 ปีที่แล้ว +9

    Kwani asipo msalimia atakonda yaani vitu vingine dulla bado mdogo sana kimafanikio licha ya kuwa karibu na Mondi ila hiyo tabia angeiacha tu maana hapa tunapita

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 4 ปีที่แล้ว +4

    Mshamba sana mjinga uyu kisa yuko karibu na daumond

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว

      Sasa ile siku DIAMOND ataongeya na hamo sijuwi watu wa wcb watakuwaje

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 4 ปีที่แล้ว +4

    Vizuri Sana dullah love youu WCB tunakupenda❤️

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 4 ปีที่แล้ว +4

    Hata mimi nisinge msalimia mtu yuko bz ndomana akaondoa

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว

    Kwani unimportant mpa mkono Hamo uwezi kujisaidia

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo dulla yuko na mambo ya kike acha awe ivyo anafata watu walio na maisha Yao utapotea

    • @samsonbabalao4158
      @samsonbabalao4158 4 ปีที่แล้ว +2

      Wew acha zako wew yakike kam yap ayo tatz nyinyi wabong munapenda shobo San kwan harm yeye ana maisha gan sasa

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว

      @@samsonbabalao4158 nawew ni Kam yeye tu uyo Dulla kujisifu una ng'ombe kumbe una makinda ya mbwa

    • @samsonbabalao4158
      @samsonbabalao4158 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahhaaha ila ndo ukae ukilijua ilo wew

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +2

    Dulla nakukubali sanh siyo siri unatisha kaka

  • @vailetimsaghaa6008
    @vailetimsaghaa6008 4 ปีที่แล้ว +1

    Dula acha unafki na uache kuiga mabifu ya watu wengine

  • @emizole9
    @emizole9 4 ปีที่แล้ว +1

    wabongo acheni bana huoni harmo hapo ako busy alv makabila ni nani sasa kwa harmo hana maana kwa harmo bana ata harmo afahi kumind ju hamfikii level zake makabila kitu gani huyu nae ni mku harmo anaesa kuwa na jambo la kumsalimia fala sana

  • @mishikitendo4983
    @mishikitendo4983 4 ปีที่แล้ว +1

    Jeshii

  • @richlymo
    @richlymo 4 ปีที่แล้ว +9

    Hamuwez konde boy ata anye mpaka mbezi kwakee konde boy 4LAFE @harmonize_tz

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kampa hii na wamesalimiana kama Kawa angalia vizuri

  • @jeysenbenedict
    @jeysenbenedict 4 ปีที่แล้ว +1

    Paragraph!!😅😅😅

  • @manxwid5554
    @manxwid5554 4 ปีที่แล้ว

    Salamu Hera kwani

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 4 ปีที่แล้ว

    MTANGANZAJI JIFUNZE UKIONA MTU HANA MOOD EMBU MUACHE UNAZINGUA, UMEKALIA KUULIZA TU HATA UANGALII MOOD YA MTU UNAKUA KM UJASOMA VILE.

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 ปีที่แล้ว

    Sku izi uhandsome hauna tena dulla ulimwaacha fiya mwarabu alikua anakutunza vizuri tu, tamaa zako utafubaa sana

    • @kamanzicrouch3881
      @kamanzicrouch3881 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀siti abubakar weee kiboko

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 4 ปีที่แล้ว +6

    dullah inabidi ajishushe kwa jeshi maana kimuziki hata afanye nini hawezi kumfikia

    • @andrealyabonga4596
      @andrealyabonga4596 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwambie na jeshi ajishushe kwa simba maana nae hamkut hata robo

  • @noelafrancis9739
    @noelafrancis9739 3 ปีที่แล้ว

    Hili lisenge clipendi ili li makabila cjui linajikutaga Nan lisenge hili😏😏

  • @hamisichicha8463
    @hamisichicha8463 4 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +8

    Watajaza wenyewe na chuki zao wote wasani

  • @khadijacastro2851
    @khadijacastro2851 4 ปีที่แล้ว +2

    Jeshiiiiiiiii ataishia kua jeshiiiii tu sasa hyu maskini naye anasubuliwa na nn 😏😏🤣🤣🤣

    • @ashamohamed1461
      @ashamohamed1461 4 ปีที่แล้ว

      Mbona yeye ajamsalimia waleta ushabiki chapati app mulitakaje akampigie magoti kwendeni uko

  • @issamatukano1451
    @issamatukano1451 4 ปีที่แล้ว +1

    𝙳𝚘𝚗𝚍𝚘 𝚣𝚊 𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑𝚒
    Unaposikia kuwa mtu fulani hana nguvu za kiume huwa unaelewa nini?
    -
    Maana yake ana vichocheo vichache vya kiume vinavyoitwa testosterone,shida ambayo humfanya awe
    1.Anapata shida kusimamisha uume wake
    2.Hata ukisimama hauwezi kuendelea kuwa na nguvu kwa muda mrefu
    3.Mbegu za kiume zinakuwa chache
    4. Hawezi kumpa mwanamke ujauzito
    Wasiliana nasi upata usaidizi au ushauli lishe kamili kuboresha Afya yako mwanaume ya uzazi
    Whatsapp /call +255686128516

  • @rishasboytz6120
    @rishasboytz6120 4 ปีที่แล้ว +2

    Media zingine🤣🤣🤣

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 4 ปีที่แล้ว +4

    Wasanii wabongo wivu

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 4 ปีที่แล้ว +6

    Duh nilikua namuona ana akili kumbe MPUMBAVU asa ugomvi wa mondi na harmo unamuhusu nin🤣🤣...dunia ina mambo hii nyiee loh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 4 ปีที่แล้ว

      Mjinga tyu ss kafata nn hapo

    • @samsonbabalao4158
      @samsonbabalao4158 4 ปีที่แล้ว +1

      Uyo harm mwenyew ana mda na dull ila nyinyi sasa viele ele dah sio poa

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 ปีที่แล้ว +7

    We Dulla acha kuiga pumbavu konde atabaki kuwa konde

  • @40kstore
    @40kstore 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmetumalizia Mbs shubamit

  • @zuhurangailo1020
    @zuhurangailo1020 4 ปีที่แล้ว

    aende huko akaimbe singeri

  • @dannymusictz9442
    @dannymusictz9442 4 ปีที่แล้ว +2

    Guys anayehitaji kuandikiwa nyimbo anicheki whatssap 0675371404

    • @mjitaog4640
      @mjitaog4640 4 ปีที่แล้ว

      Me ntakcheki now

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 4 ปีที่แล้ว

    Juma Makabila penda sana bro!

  • @emizole9
    @emizole9 4 ปีที่แล้ว +1

    eti agoma huyu kwa harmo ni nini jameni awezi ata kidogo ako chini sana

  • @ELISSKGTV
    @ELISSKGTV 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajikuna sana kichwani bwana

    • @izackbarnaba9510
      @izackbarnaba9510 4 ปีที่แล้ว

      Kweli dulla haogi mchafu ana nuka yule duu hakukosea ndio maanaaa ana washa sana nywele chafuuu

    • @izackbarnaba9510
      @izackbarnaba9510 4 ปีที่แล้ว

      Anaji kuna kuna daaa kweli mchafu ametoka arusha ajaoga na amenza kuruka ruka

    • @ELISSKGTV
      @ELISSKGTV 4 ปีที่แล้ว

      @@izackbarnaba9510 🤔🤣🤣🤣

  • @ndevundavo7798
    @ndevundavo7798 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili lijama nimeliona forozani linakula mishkaki ya jero jero hadi linaona aibu

  • @davidcharles7871
    @davidcharles7871 4 ปีที่แล้ว +11

    Utamsalimiaje mtuu yuko bz

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 ปีที่แล้ว +1

    Chawa wa WCB huyu makabila.

  • @Lavieestbelle123-c6e
    @Lavieestbelle123-c6e 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwani harmonize yeye hakumuona amsalimie au harmonize ni nani

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa kina washa ndio sababu wanaume wananyowa ywele kusuka wachia wanawake. 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @latifahissa8581
      @latifahissa8581 4 ปีที่แล้ว

      Si unajua jamaa kuoga kwa shida tangu kaachana na fia mana ndo alikua anamuhimiza kuoga

    • @joymsupagladysijeya8384
      @joymsupagladysijeya8384 4 ปีที่แล้ว

      @@latifahissa8581 nimeona ata nika choka nika soga video ingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @khadijacastro2851
      @khadijacastro2851 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @illuminathersunzura1153
      @illuminathersunzura1153 4 ปีที่แล้ว

      @@latifahissa8581 af ndo wa kumletea nyodo harmo mfyuu zake

  • @funsimple_ke3034
    @funsimple_ke3034 4 ปีที่แล้ว

    Dula nani kwa kode boy

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 4 ปีที่แล้ว

    Poleni na majukumu ndugu zangu naombeni support zenu kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscriber kwa kugusa picha yangu hapo juu🙏🙏

  • @icekorobway36
    @icekorobway36 4 ปีที่แล้ว

    Namkubar dulla ni mwananguu kizaz

  • @kapesamjenga5168
    @kapesamjenga5168 4 ปีที่แล้ว +1

    huyu mtangazaji ni maku Hajui kutanganza anafosi Fani

  • @OmanOman-bh4yh
    @OmanOman-bh4yh 4 ปีที่แล้ว

    Uyu jaa asaidii watu

  • @abasishabani1151
    @abasishabani1151 4 ปีที่แล้ว +2

    Cha ajabu anajipitisha tuuuuh mbele yake

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaj kavu

  • @barakabahati4315
    @barakabahati4315 4 ปีที่แล้ว +10

    Paka anataka bifu la kuiga na tembo ,mbwa wewe

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 4 ปีที่แล้ว +2

    sasa kwani kampunguzia nini hasa alivyoacha kumsalimia

  • @countrywizzkid6129
    @countrywizzkid6129 4 ปีที่แล้ว +3

    Dula hacha kutafuta kiki za kichoko ww hewezi kuwa na bifu Jeshiiiiiii ujipa kazi🤣🤣🤣

  • @ismailmtoro150
    @ismailmtoro150 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu maku

  • @thomasvenance5186
    @thomasvenance5186 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnazingua nyie Yani mtuana Jambo lake mnasema kagoma mnakwama WAP asee

  • @annasimon1696
    @annasimon1696 4 ปีที่แล้ว +5

    Huo ushamba dula acha bifu za kuiga

    • @funsimple_ke3034
      @funsimple_ke3034 4 ปีที่แล้ว

      Aache bifu .kama amelipwa na wcb si aede uko

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 ปีที่แล้ว

    BONgo mabifu hayaishi

  • @rozzymosses2601
    @rozzymosses2601 4 ปีที่แล้ว

    Wivu tu

  • @jamespetro9954
    @jamespetro9954 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo fala tu kwa konde nimfagia choo fala huyo dulla unataka uongerewe pumbu la kushoto ww

  • @kiatu
    @kiatu 4 ปีที่แล้ว

    Punguza ngeli pasipohusika

  • @manywelejr2638
    @manywelejr2638 4 ปีที่แล้ว

    Oya wana iibit yangomagani yani ndotozangu izi

  • @glorianikiza6033
    @glorianikiza6033 4 ปีที่แล้ว

    😏

  • @SantaFlavoulOFFICIAL
    @SantaFlavoulOFFICIAL 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe fala utampa nn mlala njaa wewe utampa nn harmonize kima wewe

  • @zou7470
    @zou7470 4 ปีที่แล้ว +1

    Akimusalimia kwani hamo atapata faida gani 😏😏😏

  • @patrickalfred3680
    @patrickalfred3680 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa wewe mbwa ukitaka kupoteana kijinga tafuta Kiki za kijinga kwa superstar man of the people.harmonize..atakupoteza.

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 ปีที่แล้ว +1

    Mcheza singeli tu huyo ovyoo

  • @amdunsaid1222
    @amdunsaid1222 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiki za kijinga.