TRC YAZUNGUMZA, WANAODAIWA KUTOSHUKIA VITUO VYAO SGR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @victormkini2708
    @victormkini2708 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni kwa kuchukua hatua kwa wahalifu wachache

  • @modenasayi
    @modenasayi หลายเดือนก่อน +5

    Ni Ruvu dada siyo Luvu shida ni nini jamani. Na mchongoko unaanza lini ?

    • @danielkullwa1613
      @danielkullwa1613 หลายเดือนก่อน +1

      Napataga shida na watu wenye shida ya R na L....😃..shilika la leli😀😀

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 หลายเดือนก่อน

    1:08 na 1:17 "Luvu" 😆😆😆
    TAKUKURU (au niseme TAKUKULU) hebu chunguzeni na utaratibu wa ajira TRC. Huyu inaelekea kaajiriwa kwa rushwa.

  • @mosesfrancois752
    @mosesfrancois752 หลายเดือนก่อน

    Yani kweli mnashindwa kuweka smart card kama za benki, ccm wana kadi zina QR Code cha ajabu hata hazitumiki. Kama watu hawana elimu toeni tangazo la vijana wenye elimu ya IT waje kusaidia kuweka mifumo ya ticketing na ku control ...mkishindwa kabisa waambieni Power Computers wadesign system yakuwasaidia kufanya icho kinachowashiinda. Sio kesho aje CAG aseme TRC inahasara billion 2 ....its not fair

  • @vedastusmalimi5176
    @vedastusmalimi5176 หลายเดือนก่อน

    Huyu msemaji Bado hawezi kwenda straight, maneno mengi point hakuna. Vlevle elimu Yake npo na mashaka nayo. N msemaji wa mchongo

  • @JakaNguya
    @JakaNguya หลายเดือนก่อน +1

    Acha kulemba maneno Hadi unakosea

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 หลายเดือนก่อน

    Ila Tanzania😂😂😂😂😂

  • @MaliValerie
    @MaliValerie หลายเดือนก่อน

    Kwani hao wanao nunua ticketi hawana number ya kiti? Hiyo ingekuwa rahisi kwani itaonyesha mnunuzi wa tiketi toka Dar mpaka Pugu ana kiti number gani na pia kiti hicho kinatakiwa kuwa tupu, akiteremka Pugu. hivyo inakuwa rahisi kama akipitiliza kwenda Morogoro watawezweza kumkamata. Mimi naishi Europe ndi hivyo wnafanya, na wakikikamata unalipa fine au wanakushusha na kukamwatwa.

  • @josephkapela7774
    @josephkapela7774 หลายเดือนก่อน

    Maneno meeengi hamna point yoyote

  • @ngwalojoel
    @ngwalojoel หลายเดือนก่อน +2

    Aibu tumetumia pesa nyingi kwa mradi kama huu , halafu tunashindwa kudhibi mapato,Inaelekea hatukujiandaa kwa hilo.Tulijiandaa tu kununua mabehewa😢

  • @djwinnertz
    @djwinnertz หลายเดือนก่อน +1

    Mtu nataka kwenda dodoma kwa 1,000/= wakati mradi umetumia tirioni 10 wafungeni ao watu na muwaweke block ya kutosafili maisha yao yote

  • @MussaAlly-t6m
    @MussaAlly-t6m หลายเดือนก่อน

    Bado ujabuni ktk kazi yako

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 หลายเดือนก่อน +1

    Masemaji wa kampuni, kusema hawezi. Msemaji hata kusema ""RRuvu "" hawezi

  • @hakarim786
    @hakarim786 หลายเดือนก่อน

    The solution is simple
    Nchi nyingi kama china wameweka egates wakati wa kutoka kituoni baada ya safari
    Ambapo inatakiwa Ku scan ticket yako tena na kama iko Sawa na kituo ndipo mlango unafunguka

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 หลายเดือนก่อน

    Jitahdi kuboresha Ulinzi Taifa hili limeharibiwa na CCM imefanya Wizi kuwa sehemu ya Maisha ya Watanzania so Kila palipo na Mradi wa Umma Watu wanashindana Kuhujumu Mradi Mana wanaona Kila inapotoka Ripoti ya CAG hakuna Hatua zinachukuliwa

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 หลายเดือนก่อน

    Poleni TRC hyuo jamaa wa takukuru hajui analolifanya

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 หลายเดือนก่อน

    serekalii iiongezeeee ulinziii na ufatiajii mkubwaa hususani wafanyakazi wa treni wawee wazalendoo zaidii kuepuka uhalifuu wowoteee

  • @lilangasayi1689
    @lilangasayi1689 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni wazembe tuu,sasa takukuru wasingesema mngejua lini

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 หลายเดือนก่อน

    Weka nauli flat, kama mtu amepandia dar kuja Moro, iwe sawa sawa na aliyepandia katikati

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k หลายเดือนก่อน

    Eti waliwakamata😂😂😂dada acha uongo😂😂😂

  • @HeladslausLuwanda
    @HeladslausLuwanda หลายเดือนก่อน

    Kusafiri na sgr mpaka uwe na kitambulisho, mbona kama haija Kaa sawa!!

    • @bnyangoma
      @bnyangoma หลายเดือนก่อน +1

      Kuzuia ulanguzi. Ukiacha free watu watanununua ticketi nyingi watakuuzia bei ya juu.

  • @princecharmy6838
    @princecharmy6838 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo siruhusiwi kumkatia Mama yangu ticket ama ndugu yangu? Maana apo kwenye kitambulisho italeta shida kidogo mm nipo mbali na anayesafiri ni ndugu zangu ndo ninaowakatiaga tickets

    • @zubeiramlanzi2480
      @zubeiramlanzi2480 หลายเดือนก่อน +2

      Weka details zao tu ambazo ziko kwenye IDs zao

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa siunaandika jina la anayesafiri

    • @bnyangoma
      @bnyangoma หลายเดือนก่อน

      Kama unaona haiwezekani kata ticket ya mgr ile train ya zamani bado ipo.