Galatone - Mshenga (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2021
- Watch now Music Video by Galatone performing Mshenga (Official Release) The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Elvis & Shot by Vass.
Stream/Download:linktr.ee/galatone
Listen to Galatone on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/galatone
Apple Music: / galatone
Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
TH-cam: / galatonetz
Spotify:open.spotify.com/artist/4CYq2...
The Official TH-cam Channel Of Galatone. Subscribe for the Latest Music Videos, Performances, and More: / galatonetz
+For More Information Booking Galatone:
Contact:Officialgalatone@gmail.com
Follow Galatone on Social Media
Instagram: / galatone_tz
Facebook: / galatone.platnum
Twitter: / galatone2
©2021 Galatone.All rights reserved.
#Galatone #Mshenga - เพลง
Bonge ya ngoma mzee 👏👏ila kibongo bongo wanataka mpaka utakane
Hizi ndio nyimbo za kupata views 1m , kali sana
Sijui nikuite jina gani .braza.weweeee uji motooooo
Huyu jamaaa fundi sana yani sijui yuko wap huwa namiss sana mziki wake
Huyu jamaa hanaga kazi mbovu 👍
Dah bongelangoma yan nimeuludia huuwimbo zaidi yamala 10 ongelasana kijana
Demand ya mziki wangu kuwawekea mabano
Ngoma kal sanaaa pongez kwako galaton ila moyo upo naweeeeeeee daaah sio pow
Kaz nzur mdogo wangu ....tulia sasa uludi kwenye levo yako nakukubali sana by meneja simpo
Mzee wa nitakupa samaki unikubalie nitakupa sa ma kiiii
sound kali sana mzee wangu shikilia apo apo
Big up sana mdogo wangu hunaga kazi mbovu
kuma mayeeeeeeh hivi ulikuwa wapi wewe?????mjinga wewe?yanikweli uka tupotea kweli?au ndo shemeji aliamua kuku ficha? ila poa hi ni bonge la ngoma baba tuli ku miss ayisee mzee baba,sheji piga chini tupe mziki we tu
Kipaj hakijifich wala hakizeeki.....ujio mpya na mshenga
Mwenyezi Mungu aing'arishe nyota yako zaidi zaidi inshallah
💯💯⭐⭐💪💪💪💪
Nyimbo Ni ya mto ujumbe tosha yaan🕯️🕯️
Ngoma Kali shida video umefanyasehem moja tu
Ebwan eeeh wew noma xn
pata like from kenya.....bungoma massive kaka
Mwana unajua sana... imba baba
wewe ni king wamashair 🎶🎶🎶
Mshenga kali bro kideo cha mwendo
Kusema ukweli jamaa namkubali sana tena sana Tangu alivyotoa samaki yupo fire 🔥🔥
Thx
Ngoma kali sana kaka
Nmekuelewa Sana kwa hii ngoma mzee
Ngoma Kali kiukweli galatoni nakubali kazi nzuri zote
Ukweli ukweli ukweli br umeimba bonge la nyimbo be blessed br
Kal galatone leta mingi unajua mzeey
kitu tamuuu mkuuuu
Bado Unakitu jesh pambana 👊
Dogo unajuaaaaaa mpaka unaboa
BIG UP SANA GAIATON NYIMBO BILA TUSI
Uyu mshkj namuelewa sana aiseee
Galatone umejuwaa kunifurahisha snaa daah
Veema-sana ikopoa 🙏🙏🙏Kamaa nao tu utafka malengo
Haina noma
Ngoma Kali Sana G tone
Ngoma Kali Sana blood ongeza bidii
wakwanzaaa mimi ongeraa mkuuu .kama umekubali hii
Like, subscribe hapa
Duh mtu wangu wa kitamboo nakukubali tokea enzie izo
Shukran
basi kama mshenga atazingua atakuwa ni yeye tu maan umemuelekza kila kitu....good music....we mic u bro
Gala mbona ulikuwa kmy sana fundi wangu maana ww uko vzr sana ni msanii nambali moja kwangu mm huwa Nina kuelewa sana mm ujuwe ww
sound flan unique sana, yan kuna mda unafikiria kwamba kuna watu wanatakiwa waendeleze mziki flani tu iv, bigtime
Unyama nimwng nyimb kalii
Kazi nzur we Fundi Wa mashaili
Tanzania tuna madini sana
Este som toca no meu coração 💓💓💓 bom som🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿um abraço moçambicano
Mshenga kamwambie naumia roho 😘😘😘😘😘mpangilo wa vina na mizani salute kwako bro galatone
Uwezo binafisi
Jamaa unajua sana kwann ulikuwa kimy kipind chpte ich
Kaka naamin vitu vzr ndo havipat nafasi ila ipo day pita kwabio yangu pia uinjoy🙏🙏
Bless!!.
Pandegan nakupata kaka tuongee kidogo mzee mwenzangu
My playlist samaki,mshenga APA tena
Nakubali mghoshi
mshenga kweli yupo serious nimependa sna huu wimbo
Galatone mtume mshenga aje kwetu.. napenda nyimbo zako sana. Hii kali kuliko samaki..
All the way from mombasa kenya.
Love uu alot..
Ntafanya hivyo" 001 huko ndo penyewe sasa!!.?
@@galatonetz in sha allah usishindwe kuja 001 kwa johoo..
@@faizahafidh7092 Aaaaminalllah ntajitahid Allah akitupa uhai!!..
@@galatonetz in sha allah. Nice talking to u.. ma3salama.
Mziki mzuri haswa 👊👊
Uko na sauti nzuri sana galatone melody kalii
Ngoma ya Moto sana🔥🔥🔥
Mshenga anajilimbwasa uyo
Ni Balaaaaaaaaaaa!!!!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kali sanaaa
Ni Kali sana bro
Nakubali Kaka video Kali location Kali inaendana na truer story
Shukran
Hivi mdogo wangu kilichokupoteza nn make unazidiwa na watu wawili tu talent! Alikiba, mavoko then galatz follows
Hatare motooooo
Kaka una talanta kazi nzuri
Video kali sana
hujawahi niangusha brother pambana
Mshengaaaa
Shukran
Mkali 🎉🎉🎉🎉
Kali sanaaa
Nakubali kuludi kwako galatone
Nizaidi ya kipaji mzee galaton
Dah. Noma Sana.
Bonge la bumbu kmmke 👏👏💣
uyu fundi sana galatone
Ngoma yangu kali ya funga mwana na kufua Mwaka. Big up Galatone Masauti
Shukran baba mzaz" ulichokifanya kwangu MUNGU nishahidi" umetisha mnoooooo
Unaweza Sana broo
Kali sana from+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mshenga👉🏼🔥🔥🔥
Brother!!!!
Yoooo❤
talent iko kwenye damu Galatoni big up more fireee
Galatone kaka mungu akulinde unafanya kazi yako kwa ufanisi mkubwa mashairi mazuri kila kitu kinaeleweka hongera zako ila usipotee sanaa.
Inshaallah!!.
Tuko pamoja shabiki namba 1 kwako
From 🇧🇮 +257 Mr. Galatone very talented bro gd music
Nife,nice,nice xana kisuuu
A real compose Galatone is.
Karibu bro tena Nona ulipotea sna
Soldier mzee wa madini nakubali kazi kali
💯💯💯💯 Kaka umetisha Sana
Aisee bro good work bhachu hapa from Korogwe Tanga
Jamaa hatari....Kenya tupo
Hakika unajuwa kutupa muziki wenye ladha mwanana sanaaaa. Hongera sana na Mola akubariki zaidi
Shukran
Huu ndo mziki sasa tuliumiss sana 🤗🤗🤗🤗🤗🤗safi kaka
Galawolela
Why nmechelewa kuipata hii galatone mwanangu kaz nzur kila uingiapo kwa mawimbi nakubal naaaaaaasa!!
Kali .galatone .twasogea 1m
Kaliiiiiiii 🔥🔥🔥 bigap sana kaka
Umerudi msanii wangu Nakubali sana bro Galatone
Mshenga imekimbiza ndugu
Nakukubr bro pambn
Nakubal xn kaka unakipaj kikali Xema upewi nafx watu wakuxkie daahh!!🧐