it reminds me of my highschool moments ,siku za enta tukiskiza hizi doba tukibanju kwa hall masaa ya usiku tukiwa masenior ,kwa wale mnarada hit a like
Thankyou for your continued support Throughout the year, I wish you blessings and the best of health ❤ please remember to visit www.rhradio.com for endless entertainment during the festive season. 🔥🔥
Aise Lyta ulianza poa..technics ulitumia kumix this mixtape, you no longer use them nowadays,,ungeendelea tu vile ulianza,.mbinu unatumia sai haileti shangwe kabsaa
I accidentally clicked on a gengetone song so I came here to cleanse my soul... Mimi pekee yangu ndio nilikuwa na hii mix shule #Chavakali boys class of 2013
Thanks for the support you have offered us throughout the year, Thanks for the love. I wish you all the best ❤. please remember to visit www.rhradio.com for more entertainment 🎉 🔥
Hii mix naikumbuka highschool tukitoka shule tukienda mtaa kwa nganya ya rockers ama mat zinachuna ndani ya hizo mat wenye waliingia ndio wanajua raha ilikua huko💯💯
cruger outer nanyuki......m nmekula wesere n hii mix nikiwa highschool wuuwewe ustake wuuweh........baaana joh this mixx jooh waah .....hiii ndo imeshkilia memories zetu baaana za idara joh ...big up lyta.........waiting for more
Watching this on 1st September 2024. Hii dance ndio nilifanya nijue niko na talent ya kudance🤦♀️✍️ back in high school hata bila vitu za kutingisha🤣😂. Crazy old days❤️❤️
Thanks for the support you have offered us throughout the year, Thanks for the love. I wish you all the best ❤. please remember to visit www.rhradio.com for more entertainment 🎉 🔥🔥
Outstanding💯💯 .... This is legit......... You are the best lyta....... I love you......... You are number one of all DJ'S in the world.. I would like to see you soon.
this reminds me of funkies sijui kaa ni mi bado huona kaa ile kusuguliwa na dem akiwa na skirt zile enzi za highskul ni tamu kuliko zingine tunapata uku dunda
Thanks for the support you have offered us throughout the year, Thanks for the love. I wish you all the best ❤. please remember to visit www.rhradio.com for more entertainment 🎉 🔥
Thankyou for your continued support Throughout the year, I wish you blessings and the best of health ❤ please remember to visit www.rhradio.com for endless entertainment during the festive season. 🔥🔥
DOWNLOAD LINK: rhradio.com/all_songs/dj-lyta-hot-grabba-vol-3-mix/
Ka ulisikiza hii kitu ukiwa high skul piga like tukisonga 💪
2014
2014 🔥❤️
Form 3 banaa
Hii mix hakuna msee haijui
i was in class 6 by then
hii mix highschool 2013-2016😂😂😂tulikua tumeshika intro yote hadi effects
ka ulikua shule between this period wapi likes😀
nilikuwa campo lakini
Na penda hioo
This mix made my high-school
it reminds me of my highschool moments ,siku za enta tukiskiza hizi doba tukibanju kwa hall masaa ya usiku tukiwa masenior ,kwa wale mnarada hit a like
Bana joh, kwa d.h wale wajanja
Doba ni mizizi si dancehall
True
I thought maranda nka watu serious Hadi hawana enta- day
@@steveomollo4139 maranda tulikuwa tunaenda enta mchana
I'll never forgive dj lyta for this😂😂this is the only mix pple could listen to in high school... Funky, kwa bus, entertainment 🤦
kwa bus sana sna
Which school.😂 sema hapo chini
😢
Kwani kila mkenya alikuwa high school the same time
Loco moco ndio nashaang ni wasee too wa sema age walikua high school plus ndio walipend ma riddim
😂😂😂😂😂
wengine tulikua class six but still listen to lyta
😂😂
This takes me back high school,,, noma sana... Kwanza ikifka tunaenda home for holiday
it was a big hit back in high school meeeeen..hii ilifanya niskize loud music kwa rodi kwa phone kama mluhya ...
NILIKUWA HIGHSCHOOL MANZE 2010-2013.LESHAU BOYS HIGH SCHOOL........hii mix iliweaza ....saa hii niko westy job na nikama mix bado mpya ...memories
If you were in high school between 2010 and 2014 you enjoyed the best of what riddim had to offer...Change my mind 💯💯💥💥
Sure
Accurate very true 🔥 class of 2015 kushuka chini akuna kitu
No lies,pure truth.
Riddim hit hard from 2011 to 2014.....
Who is watching this in 2020😍
I am☺️
2021
Lyta and arika’s mixes used to rock high school funkies those days maehn
J Capri Queen of Dancehall Continue Shining on your way 😪😪😪😪🙄
nilisikiza i mziki form 4 life is good now naishi majuu , mungu ni mwema
Majuu wapi?
Mwenye hajui hii mix ahame Kenya China ndiko kwako🤣
Aki this mix got me when I was in high school 😂😂😂hungeniambia kitu
Aki mm nlikua nazungushiwa hadi nabao bila kutaka na tudem😂😂😂
Hehee... Aki it was a jam💯
@@Just_You22 kabsaa hizo tym naeza taka zirudiwe
heheee;;;;;;
hot grab TBT dhe mdayz
Yaaani mix ni ya years back nikiwa high school na bado inanipea goosebumps 2024 manze,,,,big up lyta.
Thankyou for your continued support Throughout the year, I wish you blessings and the best of health ❤
please remember to visit www.rhradio.com for endless entertainment during the festive season. 🔥🔥
Aki ya mungu si nimesuguliwa na hii mix Dem days🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂...me kwanza ilikuwa kwa mathree
Nawakilisha 2021..na badoh iko liiiit🔥🔥🔥🔥🔥
Siamini nlikua nmeshika III kitu yote adi effects😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 @shiroh can relate 😂
I can easily relatw
Walahi😂😂😂uyu msee Lyta alifanya tukajua riddims
Sema Ku predict next
Nakuambia hadi effects
Aise Lyta ulianza poa..technics ulitumia kumix this mixtape, you no longer use them nowadays,,ungeendelea tu vile ulianza,.mbinu unatumia sai haileti shangwe kabsaa
Siku izi amekuwa mtu bladifakin
Reminds me nikiwa form four 2014😂😂😂😂baricho boys kwa hall
Respect My mans Dj Lyta you made our high school days(2011-2014. Timbila High School )better & fun🔥🔥🔥
Christopher itambo unamjua? Tuko naye huku mathura 😂😂
Hadi siezi ngoja ifike tbt....This was the real banger😍....Dj Lyta alifanya tusilale🙌 BIG UP!!
DJ lyta not only showcased his prowess in this mix,bt portrayed pure talent at its best 🔥💥💪
Who's listening this 2019..
I accidentally clicked on a gengetone song so I came here to cleanse my soul... Mimi pekee yangu ndio nilikuwa na hii mix shule #Chavakali boys class of 2013
Mbona hukuwa unatuekea funkie
Shimo la tewa high school apo entertainment around 2013 hivi😂😂😂
June 2024❤❤ I am still obsessed with this mix❤❤❤ high school 2011-2014🇰🇪🇰🇪 it’s crazy I’m 26 now❤❤❤❤❤ be blessed 😇
Nilimaliza 2014 na nko 33 yrs young😂
Thanks for the support you have offered us throughout the year, Thanks for the love. I wish you all the best ❤. please remember to visit www.rhradio.com for more entertainment 🎉 🔥
This mix tulikuwa tunapractice nayo kurombosa for funkies. High school was fun 😂🔥🇰🇪
Alexis N hukosi wale wa kuiba exam rende ya 2012-2015
@@africanadaro6009 you are right 😂
katika ma dj wanaonipa ladhaaa huyu lytaaa ni mwishooo
Class of 2013 na 2014 tunatambua hii mix mbaya🔥🔥😂😂
Hii mix naikumbuka highschool tukitoka shule tukienda mtaa kwa nganya ya rockers ama mat zinachuna
ndani ya hizo mat wenye waliingia ndio wanajua raha ilikua huko💯💯
Nlikuwa najua songs zote vile zilikuwa zinafuatana kwa hii mix.....mpaka nikanicknamiwa Dj....na ukweli nlikuwa Dj..
This was major 🔥🔥🔥 High school 2013-2016
Big up dj lyta🔥🔥✌️✌️🍁
It remind me nikiwa pale Chinga Boys high school...hii mix ilikuwa inatuchizisha mbayaaaa....
cruger outer nanyuki......m nmekula wesere n hii mix nikiwa highschool wuuwewe ustake wuuweh........baaana joh this mixx jooh waah .....hiii ndo imeshkilia memories zetu baaana za idara joh ...big up lyta.........waiting for more
Watching this on 1st September 2024.
Hii dance ndio nilifanya nijue niko na talent ya kudance🤦♀️✍️ back in high school hata bila vitu za kutingisha🤣😂.
Crazy old days❤️❤️
Thanks for the support you have offered us throughout the year, Thanks for the love. I wish you all the best ❤. please remember to visit www.rhradio.com for more entertainment 🎉 🔥🔥
Whaat my all time favourite this mix reminds me of dem days back in high school my waste karibu ikatike coz of dis wow djlyta bigup .
Outstanding💯💯
.... This is legit......... You are the best lyta....... I love you......... You are number one of all DJ'S in the world.. I would like to see you soon.
Ilikua inashikisha funkie na nganya at the same time✊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
reminds me of 2013 and 14😂😂😂
franklin Kipkurui back when I was in highschool
For real Enzi za ma Gazza😂😂
Reggae
6 years in and I'm still listening to this 💯💯
who is listening it in 2020 during this pandemic called covid 19
Class of 11-14💃 the way I used to twerk to this mix ungedhani nalipwa 😂
Mee too bana
Volume 3 and 4 are my favorite 🔥🔥❤️
much respect my dj mentor DJ LYTA
never a dull moment even in this 2020 pandemic
there was a time class ilikuwa ikibore pale high school double lesson unaimba hadi effects ... hahaha
Hot Grabba zlikua kaa series! Ikitoka ivi ushaanza kusaka! Alafu intro ilkuwa offhead! Alafu kurombosewa nanii. Gai wacha tu!
Hii intro ilikua ikianza, sema kutoka na viti class kuishia enta kuwahi front space
This was my best of Lyta's mix in my entire high sch life. Kelele kwa hao nkiwa holidays again and again haha. Lyta nipe kitu ingine kama hii
High school 2014, hii mix ni Kali,
Ooyaah dj please give out hio download link..😎
Aug 2019 am here😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bend mi ova
Hii ilikuwa inafanya tunapigana vita ingine wazimu na watu wa hiphop hiyo time 😂😂😂
Mimi ndio nilikuwa na flash high school tukienda funky watu wananiita
Kagumo High 2011 through to 2014, LYTA really entertained us!! 🔥 🔥 🔥😂, very nostalgic.
I was the most silent boy and shy,bt once nimeskia tu Lyyyyta,naokotwa kwa dance floor
Glad you enjoyed, please visit www.rhradio.com for streams and downloads
Bst mix. Na imenipata chuo
Sahii ndo najikumbusha Tena...used to love this in high school 2013 Anestar
weuh nimesaka hii mix... asanti manze
Kwani ni mimi solo nilikuwa class 8 huku😂😂😂entertainment was wild mane😂😂😂
tuko wengi
Six years and I'm still in love with the mixtape 😍 aki dj u did a great job
Hakuna raha nishaiskia kama ile ukiskia DJ LYTA PON DE TING TING ukiwa pale funkie 😂😂
2013 pale highschool founder ya scouts 🔥🔥🔥🔥
Dj lyta always mentors me wakiwa na kalonje..
Entertainment pale high school 😂😂👌 those days manze😂😂😂👌🕺💃🕺💃
the best nonstop ever to my side
Who is listening this mix 2024
I'm listening right now
wew sikiliza anguka nayo.. ufala mtupu
Hadi nimedownload tena. Real high school reminder
wow...this reminds me of my school days🤭🤭
this reminds me of funkies sijui kaa ni mi bado huona kaa ile kusuguliwa na dem akiwa na skirt zile enzi za highskul ni tamu kuliko zingine tunapata uku dunda
10 years down the line 🔥🔥🔥💯
Thanks for the support you have offered us throughout the year, Thanks for the love. I wish you all the best ❤. please remember to visit www.rhradio.com for more entertainment 🎉 🔥
mbogi ya quarantine bash....gonga likee
Twoz real hits during high school times 💣💥💃💃
Taking me back to high school life when I was in form one
mi ndo nlikua na hii CD shule
ulikua unatafutwa kama note mpya 😂😂😂 ww ndo kusema 💪💪💪
😂😂😂
😂😂😂
@@hatwibhanngoy3672 🤣🤣ata nlikua nakaa karibu na TV
Too hot enjoyable staff, keep it up DJ lyta
EverBlazing 💥💥mix🎧🎧since dem dayz
wale wa time yetu enta pale high school goosebumps tu
Mans made our school days a vibe
I too have this disk💽, i bought it at high school. And its ever rocking my bones Madly 🔥🥰😘
Class of 2012-2015 leave your likes here❤️👇🏿
4:14 hapa sasa ndio ilikuwa inakuwa more fire.Class of 2013 eeeh eeeeh eeeh eeeh
Thanks so much for the love, I'm glad you love the mix, keep it locked in and remember to visit www.rhradio.com for streams and downloads🔥💥💥💥💥
I also stream from there@@RICHYHANIELTV
thus made my high school life wonderfull
Capri rest in peace
I love the style
Shout out perfect ☠️
Still one of my favorite mixes 🔥🔥💯
I remember my high school life hearing this💯
my best mix ever ata leo naipenda...
MKU ilishika as a storm.. Hostels kulikua hakukaliki.. Kwanza bash wuueeee🤣💥💥.. Best 2013/14 rave moments👌🏾
On 🔥🔥🔥 I love the mix
hii mix ikona memories zake...
Hot grabba 😅 imenirudisha mbali
This mix used to lit up our mats and buu's while driving home for holiday sema kukula haga meen
This made my highschool worth it.....2014 class ........saii tuko 2021
Muhimu tukumbuke highschool na hio maisha ngumu.
Love the mixes lyta... Big up DJ
Erick Abeti
,
Desing madam Wa Histo alikua akinirombosea 😫🥵🥵 2024 who is here I mean now
Thankyou for your continued support Throughout the year, I wish you blessings and the best of health ❤
please remember to visit www.rhradio.com for endless entertainment during the festive season. 🔥🔥
my favorite dancehall mix 2020 am here give a like
Highschool moments 2013/2014 😢 😢