Gal are you serious kidding me. Cos I always run away from my own shadow sometimes. You really a brilliant person. Good job 👏. If you love it ??. You love ❤.
Good to see a young beautiful woman take up this job so as to dimistify this job. I don't see why people make fuss of this topic as if ni aliens hukuva sio watu kama nyie
I salute you fridah waguthii kamau kama umewahi kufanya kazi NAKURU COUNTY MORGUE ukiwa na Jack na venye jack kilikuwa kibaya 🙉yaani ukiskia hiyo mortuary ikiitwa ya jack sio yake 😆😂🤣jack kilikuwa kinashika madame kinakufungia huko ndani kama umekataa mambo yake 😂ukijaribu ufufuke ukiwa huko ndani jack alikuwa anakuuwa na nyudo.uwee hio mortuary sema kuogopwa juu jack 🏃
le me shorten my husle kwa morgue,i worked for 2 yrs in one of the biggest referals hosp in kenya we ferried the departed from the wards to the morgue clean e'm and embalm e'm,well sitarudia hizo process za embalming amewambia na amegusia,i was in a contract basis,then i went to a private morgue worked as a casual for another 2 yrs,was later recommended to a county mortuary but hapo nikapata chance ya kujiunga na husle nyingine,wengi huniuliza how i ended up working as a mortuary attendant,before nilikua nahusle sides za ronga,karen na mara mob nilikuwa natoka gizani,it was the toughest year kipata hiyo fare ilikuwa noma so nilikuwa natrek from the mensioned places to my home na nilikuwa napitia hapo LA Cemetry naingia hapo natokea hiyo side ingine na hii ilikuwa ni usiku like 0830hrs-0945hrs hivi na usisahau naingia ndani inside the cemetry pass through hizo tunjia na kutokea hiyo side ingine,sikuwai ona big deal kule ndani nilikuwa nakutana na stray cats,monkeys and baboon and nothing more,so nikajipea morale kuwa someday i will work in a morgue later that year my cuzo lost his wife so tukaenda City mortuary tuliingia as a family but some left hata kabla hatujaona mwili,hapo nikaona mtoto akitiwa embalming fluid,that caught my attension na ikabidi niende pale kwenye ile embalming station kujionea,i made friend with them staff nikawambia that is exactly what i wanted to do it was my passion,kuja kushtuka our family left kitambo kule ndani kufika nje napata wengine walitoroka haijulikani walienda aje,wengine kutapika and so on but mimi niliona ni kitu ya kawaida,ndipo that same year nikaingia kwa that referal hosp and its a long story for another day,just as she said with this kinda job you will loose friends,but kuna wale wataelewa,nakumbuka nikiambia mama nafanya kwa morgue,nililala kwa couch miezi kadhaa😂akiwa kwa bed alone,nikileta nyama kwa nyumba haikuwa inakulwa na yeyote walikuwa wanaona ni kama nimechonga a chunk of msee huko ndani nikawaletea,but alikuja akakubali na tukaishi kama kawa,sijawai tumia drugs or something,well to me japo niko husles zingine that was the best job ever na it will still remain to be the best job nishawai fanya na nitawai fanya,na for your infor it pays well tena sana,but you have to be passionate about this job ndio uifanye.....
I like this lady she speaks national language these guys can not even see she’s avoiding to talk kikuyu thanks gal
Yawah😏😏😏kuna wengine hatuelewi na wako tu kukoroga...
Because she understands Kiuk but she can't speak fluently
Wueh! Kwa kweli mwenye alisema " what a man can do a woman can do better" wasn't wrong! I salute you
Gal are you serious kidding me. Cos I always run away from my own shadow sometimes. You really a brilliant person. Good job 👏. If you love it ??. You love ❤.
Filinda it's always good to have confidence with your work. Embraced I.
Nice interview and continue loving yr job go gò gâl bestie
Wow that's a humble lady God bless her
My sister filinda 🤗🤗🤗🤗👌 nakupendanga sana .
Good job well done
Waoh my classmate keep up with the good work gal. St Marks gal 2014
Kazi n kazi Bora pesa
Good to see a young beautiful woman take up this job so as to dimistify this job. I don't see why people make fuss of this topic as if ni aliens hukuva sio watu kama nyie
🤔🤔🤔🤔🤔very strong lady I salute you madam
😂🤣😂🤣😂😂🤣kururia mko funny Sana na maswali
Mami you are strong.....Mimi labda nitakufanga every minute
🤣🤣🤣
It's a calling and passion. Wewe uza soko pole pole
😂😂😂
Kazi ni kazi all the best gal.... kururia unakaa uoga utaweza kulala kweli
Women are good at any job.i salute all
I salute you fridah waguthii kamau kama umewahi kufanya kazi NAKURU COUNTY MORGUE ukiwa na Jack na venye jack kilikuwa kibaya 🙉yaani ukiskia hiyo mortuary ikiitwa ya jack sio yake 😆😂🤣jack kilikuwa kinashika madame kinakufungia huko ndani kama umekataa mambo yake 😂ukijaribu ufufuke ukiwa huko ndani jack alikuwa anakuuwa na nyudo.uwee hio mortuary sema kuogopwa juu jack 🏃
Weeh kwa jack mm huogopa weeh🤣🤣jack alikua wazimu🤣🤣🤣
@@Gee7031 😆😂🤣kumbe ata wewe uko na history ya jack
Stay away from weed
Good job wise naweza pata job kama hio....wangui can I see too back the camera
Nilitaka hiyo job but sikupata guidance i salute you girl
Mimi nawezataka kuusomasea iyo kazi
Mi to
Am jobless am intrested, tell that madam anitafutie kazi ya kubomoa nywele na.kupaka make up pliz
Is this channel for Kikuyu only? 😮
Beauty with brains 💜
We wacha...it's not beauty and brains it's beauty and fearless
Waaaooo......huyu dem ako strong sana..
Good job madam aki nilipenda kufanya hi job
At least Kiswahili language,gudoz madam daktari all da Best.
I would ask, kuna at times unapata mwili imepeanwa the wring body. What happens mkapeana different body if mnaekaga tag on arrival
If one hungs self and the body is brought to the mortuary with a rope in the neck are you allowed to cut/remove the rope before preserving.
I have had this passion since but I lucked funds to study this course unaweza nisaidia vipi Fridah
You are a strong 👩, it's not easy
Waah such a strong woman 😮
Hawa si waongee kiswahili yawa sisi wote si kikuyu
That guy in grey t shirt, on the right…. Wacha kushika shika bibi ya wenyewe😢
Aja kufikiria na coomer
I once worked as a driver in a moque wee ata wa Leo nasikianga nyimbo sikiimba kwa akili yangu ,,,4yrs ago
Call me 0729363396
ok
May God bless you soo much
Am watching but ile uoga niko nayo eeeiii jesooo
Huyu dame hutubaba Sana tiktok,nampenda sana
Anaitwa nani tiktok
Filinda mortian👌
Anaitwa aje tiktok
@@peninanjeri7755 filinda
Kazi ngumu jesoo 🤔 mm cwezii taka mchezoo
Ongea kiswahili the interviewer utapata large audice
Weuh!! Wiira ni wiira congrats to her.
Sio kila mtu huongea Kikuyu you need to balance 😢
Huyu ni yule. Tiktoker 🤔🤔🤔
I salute you gal
The guy in white t-shirt has good questions
Noted that
Na hii tooth brush ni ya kila mtu yake ama ni moja kwa kila mtu?
Hahahaha ata niliuliza hiyo swali
Hawa wanaume walimit kuzungunza Kikuyu shiet😏
Munampeleka bio ajatuabia sufuria ni ya nini
Naweza pata job huko
Kuna vacant nikuje?me i will do that job
What she does is ok. America iyo ni normal
Ngai avoid eye contact with this lady ndiui aramuona atia.
😂😂😂😂😂
Good job dear you ar strong
Fanya kazi mammy Bora pesa I need to help someone who need for training how can I get Yu dea
What if stima ipotee
Filinda my girl...
Kanzi ni kazi bola bidii
Congrats #Strong girl.
I love this because l do it
God bless you soo much
WEE KWA JACK FEAR UKO UNAWEZA ONYESHWA HADI MTU AKONA DUDU🤣🤣
Call 0729363396
Strong lady
Jeff huwa unanimbamba ukiuliza maswali, wee
Good job beautiful lady
I love this lady she is my friend in tiktok n she have been doing videos while on duty
What's her tiktok name pliz?
Filinda
aki speak kwa language kila mtu anaelewa
Tumia lugha ya taifa
She is a strong woman,job Sahi Iko aje for them 😂
Reke nie thie na mbele na gútua maacani.... tondu maah weuwe 🤦🏼♀️🤦🏼♀️
Sasa unaogopaje Mwili Iko hai unatoka mbio😂😂si inafaa uogope Mwili imekufa🤔
I salute that lady.wish to join her
I need this job but but not in KENYA
Me too aki.kwanza abroad inakaa kulipa poa
Strength of a woman
Aki tigai gutheka .🤣
Jifunzeni kuongea kiswahili kina Jeff
Waah🤔
hapo sina maoni
Wewe host uko na tabia mbaya mbona waongea kikuyu na sio kila mtu ni msapere 🙄
Because their channel is a kikuyu channel. It’s a free world. Their language, their choice.
Kae mundu mukuú akinyagwo magego
Kai waigua atia
Can I join her
Sasa why are you guys talking kikuyu na kila mtu si kikuyu
Kuna vacant nije I lyk the job
The difficult interview u had
Salary ni ngapi
it pays alot some hapo kwa comment yangu
STOP SPEAKING KIKUYU NOT EVERYONE UNDERSTANDS......
Good job
I wanted to subscribe but national language not to those men's.
Hahaha huhu
le me shorten my husle kwa morgue,i worked for 2 yrs in one of the biggest referals hosp in kenya we ferried the departed from the wards to the morgue clean e'm and embalm e'm,well sitarudia hizo process za embalming amewambia na amegusia,i was in a contract basis,then i went to a private morgue worked as a casual for another 2 yrs,was later recommended to a county mortuary but hapo nikapata chance ya kujiunga na husle nyingine,wengi huniuliza how i ended up working as a mortuary attendant,before nilikua nahusle sides za ronga,karen na mara mob nilikuwa natoka gizani,it was the toughest year kipata hiyo fare ilikuwa noma so nilikuwa natrek from the mensioned places to my home na nilikuwa napitia hapo LA Cemetry naingia hapo natokea hiyo side ingine na hii ilikuwa ni usiku like 0830hrs-0945hrs hivi na usisahau naingia ndani inside the cemetry pass through hizo tunjia na kutokea hiyo side ingine,sikuwai ona big deal kule ndani nilikuwa nakutana na stray cats,monkeys and baboon and nothing more,so nikajipea morale kuwa someday i will work in a morgue later that year my cuzo lost his wife so tukaenda City mortuary tuliingia as a family but some left hata kabla hatujaona mwili,hapo nikaona mtoto akitiwa embalming fluid,that caught my attension na ikabidi niende pale kwenye ile embalming station kujionea,i made friend with them staff nikawambia that is exactly what i wanted to do it was my passion,kuja kushtuka our family left kitambo kule ndani kufika nje napata wengine walitoroka haijulikani walienda aje,wengine kutapika and so on but mimi niliona ni kitu ya kawaida,ndipo that same year nikaingia kwa that referal hosp and its a long story for another day,just as she said with this kinda job you will loose friends,but kuna wale wataelewa,nakumbuka nikiambia mama nafanya kwa morgue,nililala kwa couch miezi kadhaa😂akiwa kwa bed alone,nikileta nyama kwa nyumba haikuwa inakulwa na yeyote walikuwa wanaona ni kama nimechonga a chunk of msee huko ndani nikawaletea,but alikuja akakubali na tukaishi kama kawa,sijawai tumia drugs or something,well to me japo niko husles zingine that was the best job ever na it will still remain to be the best job nishawai fanya na nitawai fanya,na for your infor it pays well tena sana,but you have to be passionate about this job ndio uifanye.....
Wah! I fear her already 😣...🫱🏻🫲🏽👊🏻
Hey, there is story i saw in TH-cam that dead bodies at times they rise up, sometimes they laugh in unison, is it true?
Cheap
Good job beautiful lady