MSIKITI WA UDONGO ALIOUJENGA MZEE DAUDI HIVI KARIBUNI UTAKUWA WA MAWE INSHA'ALLAH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ili Da'wah iendelee.

ความคิดเห็น • 120

  • @abdulzakaria4588
    @abdulzakaria4588 2 ปีที่แล้ว +11

    Baraka Allahu. Tumsaidiye sheikkh Ramadan na mzee Daudi na family yake wafanye insha Allah kujenge Msikiti ya udongo pamoja na mawe na tuta pata Baraka siku kumi ya Dhulhijja hapa Duniyani na kesho Akhira. Amin. Amin. Amin.

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 ปีที่แล้ว +8

    MASHAALLAH, Allah awafanyie wepesi katika kuendeleza Dini ya uislam. Bega kwa bega mpaka Firdaus

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe umri mreefu umalize msikiti na uswali ndani yake muda mreeeefu na fahamu pia na afiya na jaza yako kwa allah 🤲🤲

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 2 ปีที่แล้ว +5

    Assalam alleykum. ALLAH amjaalie Kivuli siku ya kiama.
    ALLAH amharamishie Moto siku ya kiama.
    ALLAH amteremshe moja kwa moja hadi peponi.
    ALLAH amjaalie akaribishe na makhurulain.
    ALLAH awajaalie wapokewe na AL-HABIB MUSTAFA SAW

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah baba yetu Allah hampe afya njema na umuli mrefu lnshaallah

  • @inamxmdsheekh1978
    @inamxmdsheekh1978 ปีที่แล้ว +3

    اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واجعل قبره روضة من رياض الجنة وأسكنه الفردوس الأعلى

    • @nooor1120
      @nooor1120 ปีที่แล้ว

      اللهم امين يارب العالمين

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 ปีที่แล้ว +6

    Waaleikum salam warhmatu llahi wabarakatuh nyote amma hakika huyu mzee ana mambo ya busara sanaaaa roho saffiiii🌹🌹

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 ปีที่แล้ว +4

    Ya Allah, mfanyie wepesi kijana yussuf,muondolee maradhi aliyonayo kwa uwezo na rehema zako, mjaalie afya njema kijana yussuf

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 ปีที่แล้ว +15

    Ya Allah bring your Shifaa and your infinite Mercy on this child Yusuf! YaAllah bless the Kaguo family with a lot of Sabr, and make thingd easy for the family.
    Ya Allah shower your mercy on this family. Ameeeen!

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 ปีที่แล้ว +2

      Ameen suma Ameen, ya Fatira as Samawati wal Ardhi!

    • @azzocirty306
      @azzocirty306 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 2 ปีที่แล้ว

      Allahumah Amiin 🤲

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 2 ปีที่แล้ว +11

    I Remember story of nabii ibrahim na nabii ismail how they build kaaba mashaalh itajaa vile ibrahim aliomba mungu hii msikiti ijae

    • @Asiyah2000
      @Asiyah2000 2 ปีที่แล้ว

      Walahi very true SubxanAllah ☝🏾

  • @khadijas4201
    @khadijas4201 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Tabarakallah Rahman
    Wala si ya kumcheka huyo kijana kwa kupiga plaster kwa matope ila tujilaumu wengi wetu tuliwo na uwezo hatujachangia chochote

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah sheikh Ramadan Allah awazidishie waliotoa hizo blocks

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah, Allahu Akbar. Allah ajalie msikiti huu ambayo ni nyumba yake Allah aijalie iwe ni yenye kukamilika ili waumini wa maeneo haya waweze kupata mahali kwa kuabudu Allah Ummah Amiin

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakuombea mungu mzee daud watokezee wahisni wakufikishe mkkah wewe na mama watoto🤲🤲amiin

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 ปีที่แล้ว +5

    Ya Allah tunakuomba kwa cku kumi hizi tukufu umfanyie sahali kiumbe wko Yusuf na umuafu maradhi yke na uwape subra na imani wazee wake. Uwape kila la khery

  • @Idysalim
    @Idysalim 2 ปีที่แล้ว +3

    Ma-Sha-Allah, May Allah make it easy for him in his grave and grant him Janatul Firdaus

  • @ahmedrustu1283
    @ahmedrustu1283 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allah bro nice

  • @mwanaidalbarawy4354
    @mwanaidalbarawy4354 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Marhum Mzee Daud amekalia kuwa mtu Mwema Sura yake ilikuwa ina Nuru MashaaAllah M.Mungu amueke pamoja na waja wema Peponi Amin

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Ramadhan Allah ampe shifaa na afya njema mtoto wako Yusuf Kaguo Amiin Thumma Amiin

  • @abubakariddi5786
    @abubakariddi5786 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah Amlaze mahala pema peponi amin

  • @swidiqrajab4519
    @swidiqrajab4519 9 หลายเดือนก่อน +1

    اللهم ارحمه واغفر له واجعل قبره روضة من رياض الجنة

  • @salimnazir6000
    @salimnazir6000 2 ปีที่แล้ว

    Mzee daud una Nuru Kwa kipaji Yako ALLAH ataku stiri dunya na akhera

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe umuli mrefu na pepo ya fildas

  • @idrismohamed2691
    @idrismohamed2691 2 ปีที่แล้ว +1

    Asc ustadh ramadhan mashaallah kazi kwako

  • @maxmody
    @maxmody 2 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah!! Allah awape moyo huo huo in sha'Allah

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 2 ปีที่แล้ว

    Maashallahu lakuwwata illabillah, mzee wetu na mtoto wake wana imani kubwa kama za Abubakar sidiq, na ndo imewapelekea mzee kama huyu na kijana wake kujenga mzikiti qa udongi kama vile msikiti uloqachqa na mtume, innalilahi wainnailayhi rajioon, nilikua sijuo huyu mzee baada ya kuona mazishi yake, ndo nimeona hii ,Allah amjalie pepo yenye lulu, naamini Anafurahi katika kabuki lake amiin

  • @NimoJama-iw6tg
    @NimoJama-iw6tg 4 หลายเดือนก่อน

    My brother keep on doing your Allah will pay you

  • @waendaotvcom204
    @waendaotvcom204 ปีที่แล้ว

    Allah humchagua amtakae na kumpandisha darja amtakae mashallah mzee daudi allah tabarak amemchagua mashallah... kapewa nusra na golden opportunity ya kujenga nyumba ya Allah...

  • @saumkisira9328
    @saumkisira9328 2 ปีที่แล้ว

    Allahuma arhamuh hii video likua cjayiangalia Allah amjalie awe Karibu Na rasulu llah

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 2 ปีที่แล้ว

    ALLAH AKUWEKE PEMA PENYE WEMA MZEE WETU HYO NI SADAKATUL JARIA MASHAALLALLAH ...AKUANGAZIE NURU KATIKA KABURI LAKO

  • @42HUSNA38
    @42HUSNA38 2 ปีที่แล้ว +2

    Ya Rabb🤲 mpe shifaah mtoto yusuf na uwazidishie subra wazazi wake In Sha Allah🤲🤲

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah ampe shifaa na afya njema mtoto Yusuf kaguo 🤲🤲🤲

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 2 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah.
    Foundation ya upande wa Mlima ina taka iwe deep na chuma, otherwise Mskiti uta tiririka wakati wa Mvua!
    May Allah bless Ramadhan and the Kaguo family with your mercy, and bless the sick with your Shifaa! Ameen!

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe subra kwa ajili ya Yusuf na amjaalie shifa na afya.

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah allah awajaalie yalio mazuri maishani mwenu

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 ปีที่แล้ว +4

    ماشاء الله كان ومالم يشأ لم يكون.ولا حولا ولا قوة إلا باالله

  • @fauziadavid4779
    @fauziadavid4779 2 ปีที่แล้ว +4

    Maa shaa Allah Laquwwata illa billah
    they need support with this mosque project and daawa .
    most important in this building its lack of water they need water
    in shaa Allah.
    may Allah s.w.t grant ease upon all shaikh Ramadhan and grant him complete shifaa.

  • @saumkisira9328
    @saumkisira9328 2 ปีที่แล้ว

    Allah haongoze hii family awape husnul hatima

  • @robloxgame2465
    @robloxgame2465 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalam Alaykum warahama tulilah wabarakatuh ! Masha Allah kila mwenye kuchangia Allah amzidishie Amin Amin

  • @othmaniddi7637
    @othmaniddi7637 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Abubakar Mungu hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah

  • @azzocirty306
    @azzocirty306 2 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah karaqllah fikum,,,

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha ALLAH Tabarakallah..ALLAH awalipe kheri nyote baba Daudi na familia yako pia na sheikh wetu kipenz Ramadhan ALLAH ampe subra kwa kila mithiani na amjaalie mtoto Yussuph uzima tele..

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah shekhe Ramadhan ukitaka kunikosha ukituletea mzee daud natamani njie niwaonee wazee wetu allah akiniwezesha

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 2 ปีที่แล้ว +2

    ALLAHÚ AKBAAR.

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alykum www mze daudi mungu akuripe jana ishallah

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว +2

    Bismillahi mashallah

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani wasaidiwe haraka mashallah allah awazidishie imani yarab ameen

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah 💕

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 ปีที่แล้ว

      Waalaikum salam warahmatullah wabarakaatuh Alihamdulillah Mm pia nakupenda sana mzee pamoja na mkeo mwenye jina la mke wangu Mariam nawapenda sana pamoja na Ali Ustadh Ramadan bin kaguo nakupenda sana kwaajili ya Allah

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u 10 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah TabarakahAllah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah mungu ataisimamia kazi hiyo na kuifanikisha insha'Allah na amjaalie pepo kila aloshiriki katika mambo ya kheir

  • @yasinsalim6179
    @yasinsalim6179 2 ปีที่แล้ว

    Innaliliahi wa ina lirejiun mzee wetu Allah akurehemu ❤

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤Inshallah Inshallah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani 🥰 nimeishiwa na maneno kwa furaha niliyo nayo. Allah awabariki wote Amiin.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah

  • @sitnafaraj2813
    @sitnafaraj2813 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Ramadhan Allah akupe mema na aku ongoze kwa mambo unayo fanya kwa kuendeleza DINI yake ALLAH, mzee Daudi pia Allah amuongoze na ampe maisha marefu ili atimize maono yake

  • @ashabady9616
    @ashabady9616 4 หลายเดือนก่อน

    Insha Allah

  • @AbdirahmanhHalakhe-pn2zd
    @AbdirahmanhHalakhe-pn2zd 4 หลายเดือนก่อน

    MASHAALLAH

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaالله Mashaa الله Mashaa الله. الله awalipe janna firdaus.😢😢😢 الله anamuongoza amtakae.

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah tupo tayari kujenga huo msikiti aliouwanza babu isha Allah

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah shukran kwa ujumbe mzuri kutoka kwa Mzee Daudi na wanae na pongezi sana kwa Sheikh na team yote ya Straight Path Daawa, kwa mipango mizuri

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah 🥰

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akulipen Jan sina lakusem
    ninafurahi san

  • @saifalhussaini9702
    @saifalhussaini9702 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalem aleykum.Allah atampa shifaa Yusuph ktk mwezi huu mtukufu wa dhul hija

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 ปีที่แล้ว +1

    Niulize kwani uyo mtoto alikua mzima ? Mitihani duniani hapa ila Isha Allah mungu atampa shifaa tunamuombea dua

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 2 ปีที่แล้ว +1

    maashallah Allah awalipe .Abu bakar kaza buti kakangu Allah atakulipa pamoja waisllam wote

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah baba Daud na familia yako mwenyeezi mungu awajalie umri mrefu baba Daud ili uswali kwenye huo msikiti uliouanzisha na mtoto mwenyeezi mungu akupe afya njema

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalla mashaalla alhamdulilah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Ustaz Sheikh Ramadhan.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว +2

    HUU MSIKITI WA UDONGO UVUNJWE , UJENGWE WA MATOFALI.CEMENT.

  • @ramadhankisingile6539
    @ramadhankisingile6539 2 ปีที่แล้ว +1

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH

  • @sitnafaraj2813
    @sitnafaraj2813 2 ปีที่แล้ว

    Masha’Allah Allah amfungulie milango na amfanye mambo yake yawe nyepesi pamoja na familia yake

  • @hamdishide3137
    @hamdishide3137 2 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulahi I'm number 1

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 ปีที่แล้ว +2

      Mashallah tabarak Allah keep sharing

    • @Sal.0
      @Sal.0 2 ปีที่แล้ว +2

      Ya Allah bring your Mercy and Shifaa to our child Yusuf, and make things easy for our brother Ramadhan. Ya Allah bless the Kaguo family with a lot Sabr, and shower your mercy on them! Ameeen!

  • @abutoabuto8075
    @abutoabuto8075 2 ปีที่แล้ว +1

    InshaAllah ikisha Jengwa ikae maridadi musianze fitina na kutaka kuwa,Comitee,
    Comitee in kila muislamu haimaanishi lazima ukuwe comitee wakupangwa ndo upate faida, tuache tabia ya kujipigia kura ati lazima mtu awe comitee ya masjid,
    Lamwisho waislamu chungeni sana na mkisema wazi hii ni nyumba ya Allah?? basi ,Atahuwe nani usijaribu Ku fkuza MTU kwa Jumba LA Allah,

  • @rooseupojuubuanaaarose3011
    @rooseupojuubuanaaarose3011 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAHUMMA AAMIN

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ❤️

  • @sidkey2524
    @sidkey2524 2 ปีที่แล้ว +1

    Wsc sisi pia tunakupenda baba

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila mwenye Nia ya huu msikitin kumalizwa na uwe wa kisasa ipo siku utamaliza

  • @dramkeni5609
    @dramkeni5609 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/V5ALW4tokzM/w-d-xo.html JOHO ANAKUBALI WALIUZA PORT.

  • @SSs-fn4hs
    @SSs-fn4hs ปีที่แล้ว

    Islam is good bt arabs make people hurts Islamic yani u ashidwa wanaomba 24/7 bt vituko wanafanya halafu wanasema wataenda junat bt huwezi pata mwislamu akisema warabu ni wabaya

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 2 ปีที่แล้ว

    Namba ya mpesa tuchangie chochote kwa akili ya Allah

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu ni wa nchi gani jamani please munambiye

    • @missfuyuza5573
      @missfuyuza5573 2 ปีที่แล้ว +1

      Straight path Daawa is a kenyan channel.

    • @fatmasalim8293
      @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว

      @@missfuyuza5573 shukran jazak allahu kher

    • @sitnafaraj2813
      @sitnafaraj2813 2 ปีที่แล้ว

      Assalam aleykum dadangu, ni wa machakos

    • @fatmasalim8293
      @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว

      @@sitnafaraj2813 shukran

  • @martinekanji8537
    @martinekanji8537 2 ปีที่แล้ว

    Upumbavu wa waafrica Badala ya kujenga makampuni sipitali na mashule wao nikujenga makanisa na Miskiti wakidhania shida zao zitaisha na maombi , Bure kabisa, waizraeli na waarabu wanajenga mitambo na zana za kivita kujieka sawa nyinyi ni upuzi tu.

    • @lovemwantiti8130
      @lovemwantiti8130 2 ปีที่แล้ว

      We ni mjinnga sana kampuni zitakupeleka mbinguni.kafiri wewe.

    • @martinekanji8537
      @martinekanji8537 2 ปีที่แล้ว

      @@lovemwantiti8130 kifaa unachotumia kuandika huo upuzi hakikutoka msikitini Wala kanisani

    • @muddymdigo5164
      @muddymdigo5164 2 ปีที่แล้ว

      Martine usikejeli watu kila mtu anamsimamo wake heshimu maamuz ya mtu

    • @sitnafaraj2813
      @sitnafaraj2813 2 ปีที่แล้ว

      Tutusi watu ni vibaya

    • @sitnafaraj2813
      @sitnafaraj2813 2 ปีที่แล้ว

      Martine, kutusiana si vizuri, kila mtu ana maoni yake na anajua anafanya nini, wewe shukhulika na dunia, dunia sisi ni wapitaji, mambo haya yana fanyuwa na mzee Daudi ni kazi kubwa sana

  • @thuriyabarwani5111
    @thuriyabarwani5111 ปีที่แล้ว

    I want to donate for the Daud mosque Can u send me the proper contact Am in Abu Dhabi

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe umri mreefu umalize msikiti na uswali ndani yake muda mreeeefu na fahamu pia na afiya na jaza yako kwa allah 🤲🤲

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah inshallah

  • @TheLimbo11
    @TheLimbo11 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha ALLAH

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah

  • @ianhassan1116
    @ianhassan1116 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah