ameeeeeen... ''jomaler duto rituru'' in my mother tongue. I came to learn how to sing the song after a video of Kings Ministers Melodies was uploaded in this channel
NZK 160 - Watakatifu Kesheni 1 Watakatifu kesheni, Nguvu za mbingu zagonga; Washeni taa tayari Kwa kurudi kwake Bwana. Yuaja, Yesu Mfalme, Yuaja mwenye fahari, Yesu yuaja enzini. Karibu Yesu uje. 2 Piga mbiu, tangazeni Habari ya ukombozi Ya Mponya wa upendo Nayo nguvu ya samaha. 3 Falme nyingi zaangushwa, Panda ya saba hulia; Tangaza neema yake Kabla ya kupita saa. 4 Mataifa yapotea, Nchi zajaa uchungu: Kristo anaharakisha. Unabii unatimizwa. 5 Wenye dhambi njoni sasa, Kristo awapatanishe, Mbio twaeni neema, Kitambo muda waisha.
Amen kweli yuaja mwenye fahari and be blessed you sing very nicely
ameeeeeen... ''jomaler duto rituru'' in my mother tongue. I came to learn how to sing the song after a video of Kings Ministers Melodies was uploaded in this channel
Mwenyez Mungu tubariki tujalie mwisho mwema
Haki,let,s continually be watchful because we know not the hour.
NZK 160 - Watakatifu Kesheni
1
Watakatifu kesheni,
Nguvu za mbingu zagonga;
Washeni taa tayari
Kwa kurudi kwake Bwana.
Yuaja, Yesu Mfalme,
Yuaja mwenye fahari,
Yesu yuaja enzini.
Karibu Yesu uje.
2
Piga mbiu, tangazeni
Habari ya ukombozi
Ya Mponya wa upendo
Nayo nguvu ya samaha.
3
Falme nyingi zaangushwa,
Panda ya saba hulia;
Tangaza neema yake
Kabla ya kupita saa.
4
Mataifa yapotea,
Nchi zajaa uchungu:
Kristo anaharakisha.
Unabii unatimizwa.
5
Wenye dhambi njoni sasa,
Kristo awapatanishe,
Mbio twaeni neema,
Kitambo muda waisha.
Amen
AMEEN
Amen. Beautiful rendition.
Wooow...nice song n good voices too
Amen!
Yes Jesus come
Ameeen am truly am blessed amazing song.i was asking which music school can I enroll so that I learn piano coz I eager to know it very much 😆😆
Jomaler duto rituru