Dax Mtiwandege Ft Mwasa Mwasomola_Tenda(official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Artist:dax Mtiwandege Ft Mwasa Mwasomola
    Song:Tenda
    Produced by Musa
    Dax Mtiwandege contacts
    +255 627932648
    Directed by Elly
    ‪@christophermwahangilaofficial‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@mgogosinger‬ ‪@joellwaga‬ ‪@upendonkone‬ ‪@UPENDO‬ ‪@upendomediatv394‬ ‪@UltraBollywood‬ ‪@NeemaGospelChoir‬ ‪@agapegospelband‬

ความคิดเห็น • 44

  • @kenedypaul1776-ni2nl
    @kenedypaul1776-ni2nl 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni kwa kazi nzuri ,hakika ni injiri tosha kutoka kwenye vinywa vya watumishi wa Mungu,Mungu azidi kutenda zaidi juu ya huduma yenu

  • @ElizabethCharles-pi1pd
    @ElizabethCharles-pi1pd 6 วันที่ผ่านมา

    Ewaaaa hongera kaka angu ❤❤😊

  • @LjYoungpmelody
    @LjYoungpmelody วันที่ผ่านมา

    Upovzuli brother

  • @FranceFelician
    @FranceFelician 11 วันที่ผ่านมา

    Ndioooo lazima MUNGU wetu atuguse mwaka huuu ujumbe mzito Sana huuu

  • @MusaKimanga
    @MusaKimanga 10 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa kazi nzuri kamanda, Mungu azidi kukutia nguvu

  • @JustineChalula-j6z
    @JustineChalula-j6z 11 วันที่ผ่านมา

    Huu ni mwaka wa kustawishwa, ujumbe mzito ubarikiwe sana mtumishi ❤

    • @daxmtiwandege5063
      @daxmtiwandege5063  11 วันที่ผ่านมา

      @@JustineChalula-j6z Amen mtumishi wa Mungu J 🙏

  • @mbwaggermndali2038
    @mbwaggermndali2038 11 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi KAZI nzuri sana👏👏👏

  • @RoidaMwangobola
    @RoidaMwangobola 10 วันที่ผ่านมา

    Hongera mtumishi wa Mungu kazi nzuri

  • @BlessingNtibihora
    @BlessingNtibihora 11 วันที่ผ่านมา

    Chorus imesmama aiseee🔥🔥🔥🔥

  • @greenkalenge958
    @greenkalenge958 11 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @gideonjames6998
    @gideonjames6998 11 วันที่ผ่านมา

    Hongera mkuu

  • @nabildeguzman7856
    @nabildeguzman7856 11 วันที่ผ่านมา

    Mtumishii 💯

  • @MARIAHENJEWELE-i2d
    @MARIAHENJEWELE-i2d 9 วันที่ผ่านมา

    Ilikuwa kama utani wakati unasema unataka kumuimbia MUNGU na ulisema nitakuja kuwa mwimbaji utaniona Tu kweli MUNGU anafanya kile unachokitamani kazi nzuri daxmtiwandege

    • @daxmtiwandege5063
      @daxmtiwandege5063  8 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 kumbe unakumbuka hakika ndio ilikuwa haja ya moyo wangu kumwimbia Mungu aliyenitoa mbali kuleeeeeeee,hapa bado sana

    • @MARIAHENJEWELE-i2d
      @MARIAHENJEWELE-i2d 8 วันที่ผ่านมา

      @@daxmtiwandege5063 hakika nakumbuka Sana nilikuwa nakwambia auwezi wewe utaishia kushika nywele Tu hapa kwa mahenge unasema siwezi kuishia hapa Mimi Maria na kama uamini namshilikisha na Rebecca sasa tuimbe wote kweli bwana MUNGU aendelee kukutumia vizuri na kuongeza kalama nyingi Sana kwako sasa usisahau ahadi yako ya kumshilikisha Rebecca ♥️♥️

  • @WillowB_Sindy
    @WillowB_Sindy 11 วันที่ผ่านมา

    Tunataka upako wako mungu baba🙏🙏🙏🙏

    • @daxmtiwandege5063
      @daxmtiwandege5063  10 วันที่ผ่านมา +1

      Hakika upako original wa Yesu tunautaka

  • @estersanga842
    @estersanga842 9 วันที่ผ่านมา

    Amina dax Mungu akubariki

  • @officialmelodynoir
    @officialmelodynoir 11 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri bro🔥🔥

  • @jamesmikoma9082
    @jamesmikoma9082 11 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa Sana Kaka

  • @yustomwenda1021
    @yustomwenda1021 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera sanaaaaaa

  • @DavidNkana
    @DavidNkana 11 วันที่ผ่านมา

    Balikiwa sana

  • @MUSSAJOHN-xv2zb
    @MUSSAJOHN-xv2zb 11 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwimbo mziri

  • @godsonmwaibingila8309
    @godsonmwaibingila8309 7 วันที่ผ่านมา

    AMEN

    • @daxmtiwandege5063
      @daxmtiwandege5063  6 วันที่ผ่านมา

      @@godsonmwaibingila8309 Asante sana dadaangu Liz boss wangu 🙏🙏

    • @daxmtiwandege5063
      @daxmtiwandege5063  6 วันที่ผ่านมา

      @@godsonmwaibingila8309 Amen my brother 🙏

  • @aminamwakalinga3458
    @aminamwakalinga3458 11 วันที่ผ่านมา

    Haleluyaaa