Bone marrow ni ugonjwa mkali sana, pole sana kaka kama kuna mtu ambae amechangia baba na mama mmoja anaweza akapata msaada ila kama wakuchangia wazazi aiwezi kusaidia, Mungu hakupe uponyaji wa haraka
Sasa miaka yote iyo alikuwa wapi leo aumwe ndio amtafute kipindi anamiaka 20 alikuwa wapi kumtafute 30 alikuwa wapi kumtafuta leo 45 na nimjonjwa ndio amtafute
Mm naona aendelee tu kuwa bize na hotel yake ,mana ata mama akamfata atamsaidia nn saii?? Yy alivyokuwa na nguvu zake anaweza kutafuta pesa alijiona yy ndo yy sasa saii hana nguvu kawa spana mkononi ndo anamtafuta mama?hii ni fundisho sana kwa wale wote wanaowadharau wazazi wao.
Jamani mpaka machozi nahisi uchungu mkali popote alipo huyo mama ajitokeze ukoo wa nderingo wachagga saidia kupatikana kwa huyu mama.tutofautiane tuu ila ipo siku tutahitajiana miaka 47 hajawahi kumwona mama
Picha nnayoipata hapa inawezekana walikua wakiambiwa mama yenu ni mtu mbaya, aliwakimbiaa.. na wao wakakua na hasira na hawakutafakar na kujaribu kuutafuta upande wa pili. Maana haiingii akilini.. halaf wote wawili?
Dah inasikitisha kweli yaani miaka yote hiyo ameshindwa kumtafuta mamaake leo kwa vile anaumwa ndio anakumbuka kuwa alizaliwa na mama? Allah ndio mwenyekujua yote siwezi kumjaji Ila tuzifunze kitu hapa
Raha alikula peka ake ,,,maradhi anatafuta mama amuuguze,,hahaha!!tunatakiwa tujifunze kitu hapa jamani!!mzazi ni mzazi hata aweje asee tena ni mama chaaa!!hapo angekua anetafutwa ni baba wala hakuna ambae angestaajabu mana wababa izo tabia zakutenga watoto imekua sugu kabisa kabisa
Allah amjalie awez kupona, yawezekana atakuwa anamtafuta anasir anataka kumpa
When he was not sick he never want to ask for his mother why now ?
Alipo kuwa mzima hakumtafuta Leo yamemkuta. Mungu akusaidie umpate lakini hakuna mahaba ya mzazi hapo kabisa
Mmmmh!! ni sheeeeeeeeedah! Allah ampe afueni, ila mbona hakumtafuta toka mwanzo jaman
Mungu amsaidie ampate mamake. Tujifunze kitu
Hatar sana tuu Mung amjaalie kheir inshalaa mung tangu siku hizo alikuwa wp
Mungu ampe afueni insha alla
Hv walimpata??
Geah ihi family sio uwezi kaa miaka yote iyo bila mama .awa watoto sio
Bone marrow ni ugonjwa mkali sana, pole sana kaka kama kuna mtu ambae amechangia baba na mama mmoja anaweza akapata msaada ila kama wakuchangia wazazi aiwezi kusaidia, Mungu hakupe uponyaji wa haraka
Sasa miaka yote iyo alikuwa wapi leo aumwe ndio amtafute kipindi anamiaka 20 alikuwa wapi kumtafute 30 alikuwa wapi kumtafuta leo 45 na nimjonjwa ndio amtafute
Mm naona aendelee tu kuwa bize na hotel yake ,mana ata mama akamfata atamsaidia nn saii?? Yy alivyokuwa na nguvu zake anaweza kutafuta pesa alijiona yy ndo yy sasa saii hana nguvu kawa spana mkononi ndo anamtafuta mama?hii ni fundisho sana kwa wale wote wanaowadharau wazazi wao.
hii kaliii
Kama mm ndiyo mama wala sijitokezi sitaki ujinga mm
hii ni sawa na mtu akiwa mzima anabanjuka tu akiumwa ndio anamukumbuka mungu ni mtihani mkubwa mbele ya haki
hapo ndio ulemsemo ulio sema nani kama mama,sasa mama apatikane akiwa hai kama amekufa itakuaje mtihani mzito huwoo
mm nasema ivi lisilo haja lina udhuru
Jamani mpaka machozi nahisi uchungu mkali popote alipo huyo mama ajitokeze ukoo wa nderingo wachagga saidia kupatikana kwa huyu mama.tutofautiane tuu ila ipo siku tutahitajiana miaka 47 hajawahi kumwona mama
Kwaiyo hanataka msaada wakuokoa maisha yake
miaka yote hio leo amepewa mawiki akumbuka kumurafuta ajuwaje kama bado mzima we ugulika usubili siku nakuombea mwisho mwema
duuuh hii Dunia ina maajabu.
huyo baba nae mnafiki amsaidie mwanae
Picha nnayoipata hapa inawezekana walikua wakiambiwa mama yenu ni mtu mbaya, aliwakimbiaa.. na wao wakakua na hasira na hawakutafakar na kujaribu kuutafuta upande wa pili. Maana haiingii akilini.. halaf wote wawili?
Fatma Karata kam n ww ukiambiw mama yko alkuw mbay huwz kumtfut jmn
mama ni mama tu hat kam alikutupa huwz jua nn xabab
watu walivyo naupendo wa mama lakin huyu wataofauti
Hussein Kombe yani we acha
Ugua tu kaka ulipo kuwa mzima ujamkumbuka mama
Dah inasikitisha kweli yaani miaka yote hiyo ameshindwa kumtafuta mamaake leo kwa vile anaumwa ndio anakumbuka kuwa alizaliwa na mama? Allah ndio mwenyekujua yote siwezi kumjaji Ila tuzifunze kitu hapa
Raha alikula peka ake ,,,maradhi anatafuta mama amuuguze,,hahaha!!tunatakiwa tujifunze kitu hapa jamani!!mzazi ni mzazi hata aweje asee tena ni mama chaaa!!hapo angekua anetafutwa ni baba wala hakuna ambae angestaajabu mana wababa izo tabia zakutenga watoto imekua sugu kabisa kabisa
Mama ni mama sasa dunia hinMvunda
Ba
kama asingepata lukemia angemt&futa? mpaka ameoa hata bila kumkaribisha, au kumkumbuka mama sasa annaumwaa, ndo anakumbuka
Mtihani.kweli.lakini.mungu yupo.atampata.mama yake
bila kuumwa asingemtafuta mama 😢😢😢
Baada yakuumwa ndio ukumbuke kuna mama ebu kafie mbele
kuna mdada namjua anaitwa asha deligo labda ndio ukoo huo
Ohhh da gear mambowhy
kuna mdada namjua anaitwa asha deligo labda ndio ukoo huo
MPE habari labda anamjua