Nyimbo za Mungu 182 : Unitembeze Bwana Wangu || Swahili Song || Tabernacle de Kolwezi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Nyimbo za Mungu 182 : Unitembeze Bwana Wangu || Swahili Song || Tabernacle de Kolwezi
1.
Unitembeze, Bwana wangu, katika njia ya kwenda mbingu;
Unipatishe vile nguvu niende mbele nawe, Yesu.
Chorus
Niende mbele nawe, Yesu, katika Neno lake Mungu;
Uniwezeshe kila siku niende mbele nawe, Yesu.
2.
Shetani ananijaribu, lakini utanipa nguvu;
Unisaidie, ninaomba, niende mbele nawe, Yesu.
3.
Maneno ya dunia hapa siyatamani tena, Bwana;
Kuliko vyote ninataka niende mbele nawe, Yesu.
4.
Ninakata-a zambi zote, nataka tu nikupendeze;
Hata kufika kule mbingu niende mbele nawe, Yesu.
Nyimbo za Mungu 182 : Unitembeze Bwana Wangu || Swahili Song || Tabernacle de Kolwezi
#Maranatha