Mwenyezi Mungu Akubariki kwakutuokoa kutoka mfumo wa mambo haya tunayo ishi
Pastor barikiwa saana
Mungu Atukuzwe Kwa ajili Yako pr. Semba,, na Mungu asimamie ndoa Yako pia maana umesimama kati ya pambano kuu, maana Shetani akiharibu ndoa, ameliharibu kanisa pia,
Be blessed
Ubarikiwe Pastor kwa somo zuri, Pray for me 🙏🙏🙏
Asante mchungaji kwa masomo mazuri yamenibariki mimi. Nakufuata toka DRCongo/Goma. Siku nyingi nimetafuta Numbers zako za simu hadi leo sijafaulu kuwa nazo.
Amen sana
Pr ubarikiwe sanaaaaaaaaa
Balikiwa sna Mchungaji. N aomba jamen alie na number za Mch. Paul Semba anisaidie ba jamen!
Ivi pr orione ndo nini??
@@paulsemba_TV Pasta nashauri, ungeendelea kuiita kama zamani, kuna wakati nilipata shida kukupata, hadi nilivyo jua umebadili jina kwenda ORIONE
Nabarikiwa sana na mahubiri, Mwenyezi Mungu akubariki sana