NDEGE YA KISHIRIKINA YAZUA TAHARUKI LINDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 683

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 4 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu wa kusini wanapenda sana uchawi.Mungu yuko wapi hapo? Yesu anawahitaji nyinyi.

    • @rashidyyusuph4386
      @rashidyyusuph4386 4 ปีที่แล้ว

      Utakuwa mjinga na ujui uislamu na mwislam

    • @rashidyyusuph4386
      @rashidyyusuph4386 4 ปีที่แล้ว +1

      Unawafahamu waislamu wa kusini??? NA katika uislamu hakuna ukanda waislamu ni waislamu wote duniani kwani uislamu ni kitabu na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia kwahy waislamu sheria yao ni moja tu Dunia Mzima

    • @shabbymakapane1910
      @shabbymakapane1910 4 ปีที่แล้ว

      QURANI 73 mstari wa 8-9 Na Litaje jina La Mola wako na Ujitupe kwako kwa kweli.( Usitafute MIZIMU. wala UCHAWI wala . . .).9 ( Yeye ndiye) MOLA wa Mashariki na Magharibi - hakuna Muabudiwa ila Yeye. Basi Mfanye kua Mlinzi.( Wako) QURANI 5 mstari wa 90 Enyi Mlio Amini Bila shaka Ulevi na Kamari na kuabudiwa ( Na kuombwa) Asiye kua Mwenyezi MUNGU. Na kutazamia kwa MISHALE YA KUPIGA RAMLI (Na kwa vinginevyo): ( Yote haya) Ni UCHAFU (ni) Katika kazi ya SHETANI. Basi Jiepusheni Navyo . Ili Mpate kufaulu. (KUTENGENEKEWA) QURANI 2 mstari wa 208 Enyi Mlioamini Ingieni katika Hukumu za UISLAMU Zote. Wala msifuate nyayo za SHETANI: Kwa hakika yeye kwenu ni Adui Dhahiri. ) NDUGU Nna Imani Umeona Mafundisho ya Uislamu nadhani Utakua Umejifunza

    • @shabbymakapane1910
      @shabbymakapane1910 4 ปีที่แล้ว +1

      Halafu YESU Mnapendaga kumsingizia tu Hebu tumsikie Mwenyewe MATHAYO 24 Mstari wa 4-5 YESU Akajibu. Akawaambia .Angalieni Mtu Asiwadanganye 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina Langu Wakisema mimi ni KRISTO nao watadanganya wengi.) 😃😃😃 MATHAYO 24 mstarii wa 24 Kwa maana watatokea MAKRISTO wa Uongo. na MANABII Wa UONGO .Nao Watatoa Ishara kubwa Na Maajabu: Wapate kuwapoteza kama yamkini hata Walio wateule 😃😃😃😃😃😃 Sikia Sasa UCHAWI Ulianza Wapi? MATENDO YA MITUME 8 mstari wa 9 Na mtu Mmoja jina Lake SIMONI. Happ kwanza alikua akifanya Uchawi katika mji Ule.Akiwashangaza watu wa Taifa la Wasamaria. Akisema ya kua yeye ni Mtu Mkubwa. 10 wote wakamsikiliza tangu mtoto hata Mkubwa. Wakisema. Mtu huyu ni Uweza wa MUNGU. Ule Mkuu.11 Wakamsikiliza. Kwa Maana Amewashangaza Muda Mwingi kwa Uchawi wake; 😃😃😃😃😃😃 Someni vitabu vitakatifu Ndugu zangu KABLA HAMJAROPOKA.😃😃😃

    • @rajabuahmed4407
      @rajabuahmed4407 4 ปีที่แล้ว

      Huna akili mbwa wewe hayo maneno mwambie mama yako

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 ปีที่แล้ว +27

    Yesu ndiye mlango,njia ya kweli na uzima,mwaminini Mungu enyi wanadamu

    • @Davistoto1949
      @Davistoto1949 4 ปีที่แล้ว

      Amen hakika

    • @mamafaiza2651
      @mamafaiza2651 4 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ni yesoo duh nyinyi dini ya haki ni islamu

    • @TheGame-nz7um
      @TheGame-nz7um 4 ปีที่แล้ว +2

      @@mamafaiza2651 Islam ni kiarabu itaje kwa kiswahili.

    • @TheGame-nz7um
      @TheGame-nz7um 4 ปีที่แล้ว +1

      Na haya ndo mambo halisi ya waislam

    • @cideboy7836
      @cideboy7836 4 ปีที่แล้ว

      @@TheGame-nz7um Islam kwa kiswahili nikujisalimisha

  • @awadhirajabu6833
    @awadhirajabu6833 4 ปีที่แล้ว +40

    Ukichunguza Watanzania Wengi Ujifanya Eti Wao Wako Na Imani Za Dini Uku Wakijua Wazi Asilimia Kubwa Ya Watanzania Tegemeo Kubwa Ni Waganga Wa Kienyeji Cha Ajabu Watu Ao Ukiwauliza Ivi Wanapenda Waganga Wao Uluka Futi Mia Kukataa Wakisema Wao Awaamini Uchawi Kumbe Niwaongo Mtu Yeyote Mwenye Imani Ya Dini Nilazima Ajue Kua Uchawi Upo Hata Mtume Muhamadi Anajua Uchawi Upo Na Yesu Anajua Uchawi Upo Ndo Mana Anakemea Kwa Kasi Sasa Wewe Mtu Ambae Ujui Kitu Unasema Akuna Uchawi Uchawi Nikitu Ambacho Kila Mahali Vipo Kijiji Kikiwa Na Uchawi Hata Nyumba Ujengi Tena Watanzania Mjue Izi Nyumba Za Mjini Asilimia Kubwa Ziko Na Mazindiko Ya Kichawi Sasa Kwanini Wanaeka Mazindiko Ya Kichawi Wachawi Kwanza Mjue Mganga Ni Mchawi Pia Tofauti Yao Mganga Yeye Ni Mchawi Zaidi Ya Mchawi Wa Kuuwa Bila Kuokoa Wachawi Awafai Mtoto Anaweza Kusoma Sana Siku Ya Mitihani Afanyi Chochote Ukweli Kama Mtu Unasema Akuna Uchawi Basi Jenga Nyumba Kijiji Ambacho Unasikia Wapo Wachawi Ili Ujue Kua Wachawi Wako Au Lah Wachawi Awana Mana Kabisa Mimi Nashuudia Wachawi Wanavunja Vungu Njia Panda Ivi Ukimuona Mtu Anavunja Chungu Njia Panda Je Uyo Sio Mchawi Kweli Nimchawi Tu Msieamini Mtakuta Hata Kanisani Amuendi Niwachawi Wakubwa Ukiona Mtu Anasema Akuna Uchawi Mchunguze Sana Utajua Tu Kumbe Nae Yuko Uchawini Au Ndugu Zake

    • @eliasharun3273
      @eliasharun3273 4 ปีที่แล้ว +2

      Mungu analinda watu wake, Ukiamini ushirikina na ushirikina utakuwa unakufuata.

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว +3

      Yakikukututa ndio utajua uchawi upo naupo saana

    • @kabilamassawe4379
      @kabilamassawe4379 4 ปีที่แล้ว

      @@fatemaligalawa4151 kama unajifanya ujui wachawi wewe utakuwa mwongo. Wewe ni king

    • @kabilamassawe4379
      @kabilamassawe4379 4 ปีที่แล้ว

      @@eliasharun3273 mwongo wewe ndiye chifu

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว +2

      @@kabilamassawe4379 duuu kwanini unasema mm king au siwajui?naonaujaiyelewa mesejiyangu ipitie vizuri nandio ukomenti

  • @yahyamalik5969
    @yahyamalik5969 4 ปีที่แล้ว +35

    Wote wizi hao wanajuana hao! Timu moja hiyo, huyo anataka kuwaaminisha wanakijiji kuwa yeye ni mganga mzuri kumbe tapeli

  • @rashidyyusuph4386
    @rashidyyusuph4386 4 ปีที่แล้ว +24

    Rudini kwa Mola wenu mlezi huu sio muda wa kudanganyana

  • @lazarosimon3431
    @lazarosimon3431 3 ปีที่แล้ว +2

    Muongo , Hihao, kamanikwel wangekuwa wamemkamata ruban. Hapo ndipo nigeamin kweli ni wataalam.

  • @rahabrahab9207
    @rahabrahab9207 4 ปีที่แล้ว +1

    Natafuta WA kunisaidia kukinga Wezi wamenilemea Saidieni wenzangu ...Mungu husaidia anaejisaidia.

  • @bakariathumani3161
    @bakariathumani3161 ปีที่แล้ว +1

    Nikachuka nchanga nikatia kinywani nikaendelea na safari 😂😂

  • @youngzubelyzubely2288
    @youngzubelyzubely2288 4 หลายเดือนก่อน

    Ngende sio powa wakuuu, ulizen watu wa kusin mtaambiwa. Mnaosema njaa,njaa apana iyo ni true stor

  • @sakinabakari9813
    @sakinabakari9813 4 ปีที่แล้ว +6

    Njooni huku mtuchukue tuwalipe mtupeleke nyumbani viwanja vya ndege vimefungwa kuliko kuwatia watu matatizo

  • @fraviusflugence2569
    @fraviusflugence2569 4 ปีที่แล้ว +3

    Achana na uchawi Muokoke Yesu ni Mungu

    • @nancolower_8032
      @nancolower_8032 ปีที่แล้ว

      Yesu ni mwana wa Maria,, ambaye alipewa unabii na uwezo wa kipekee,, km nuhu, Sulaiman walikua na uwezo wao, kusema Yesu ni Mungu ndo ushirikina wenyewe

  • @leahsilau6983
    @leahsilau6983 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaa njaa mbaya 😁😁😁uongo hadi meno yameng‘oka.

  • @mohdbusra6442
    @mohdbusra6442 3 ปีที่แล้ว

    hongereni sana kwa mitego mikali njooni na huku kwetu wacha with wengi kishenzi

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 3 ปีที่แล้ว

    YESU Anawapenda karibuni kwake

  • @mohamedwarsame3073
    @mohamedwarsame3073 4 ปีที่แล้ว +3

    Subhana allah - muogopeni na kumwamini mungu.acheni USHIRIKINA.kkkkkk Ndege gani.ujinga mtupu.

    • @kacherosimba5762
      @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kabisa wana tumalizia tu mb zetu eti ndege

    • @uspanicman9345
      @uspanicman9345 3 ปีที่แล้ว

      Hamjawai kurogwa nyie .. ngoja siku mkiuvagaa mziki.

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana ma pengo 😄😄hao waongo washirikina utege nn mwizi wee

  • @seremkipchirchir4786
    @seremkipchirchir4786 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh!! Mimi nasikiliza haya Kama funzo la fasihi 🤣🤣 🇰🇪🇰🇪 best invention and technology ever seen : size , volume fact and magnification applied with highest specialization

  • @magdalena7223
    @magdalena7223 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mpeni yesu maisha awe dereva wa maisha yenu acheni uchawi hautawasaidia

  • @biberpriyer330
    @biberpriyer330 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahaaaaa uchawi upo lakini tujitathmin Qiyama kinakaribia uuwii Allah atuongoze katik njia iliyo ya haki

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 3 ปีที่แล้ว

    Nchi hii raha sana wengine Katiba mpya wengine Chanjo wengine Watadai ndege yao siku si nyingi.😁😁😁

  • @divaimafuru2394
    @divaimafuru2394 4 ปีที่แล้ว +12

    Hyo ndege ni yangu naitafuta,mdogo wangu aliniazima hakurufisha😟😟😟

  • @allysurrt1237
    @allysurrt1237 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah serekal yetu kama ikiwana wanajeshi wastail hi itapendeza zaidi na tutakua Salama zaid

  • @omaryrjohn65
    @omaryrjohn65 4 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo ndege kwanini isianze safari zamikoani aiseee mbona inabeba abiria wengi alafu ilipe kodi kweny serikali saaaaafi wawe huru na kampunilao la ndege

  • @ramadhanmzee7113
    @ramadhanmzee7113 4 ปีที่แล้ว +8

    Namuomba mungu aendelee kukupa afya njema Odo🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 4 ปีที่แล้ว +3

    Uchawi Upo Ila hao niwaongo, Sana . Na mda wowote mtaibiwa mpaka Mujute.

  • @chegemazuku2623
    @chegemazuku2623 4 ปีที่แล้ว +7

    Duuu!!jamani ama kweli njaa aimpendezi mtu, ndege kichawi unaiona live!!

  • @josephjohn8681
    @josephjohn8681 4 ปีที่แล้ว +8

    Mgangana mchaw lao moja hatawewe kwa mamlaka Yajina layesu vikutoke navisikuingie tena

    • @patrickmuna2582
      @patrickmuna2582 4 ปีที่แล้ว

      Wapumbavu matapeli wakubwa nyie,nendeni mkalime pumbavu njaa zinawasumbua tu kenge nyie

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 4 ปีที่แล้ว +3

    Lindi uchawi n mwingi sana tangu miaka ya 30 na hawtaki kubadilika, na ndy Sababu hata maendeleo hamna.

    • @superwomankulwa620
      @superwomankulwa620 4 ปีที่แล้ว

      Nakukubali mm mzaliwa wa lindi na najua fika uchawi upo ndo mana lindi aiendelei

    • @ummiaziza7742
      @ummiaziza7742 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa kaka

  • @nalobwamugesha6838
    @nalobwamugesha6838 3 ปีที่แล้ว

    Noma sana , ndege ya kishirikina!!

  • @msalabanreko7001
    @msalabanreko7001 4 ปีที่แล้ว +6

    Jmn kama umesikia iyo ndege ni ya kampuni tena kubwa yan hawa jmaa wako shilik kubwa sana

  • @allyjafari4267
    @allyjafari4267 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongeren sana mashujaa

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo muwongo! Vitu vyote ni vyake. Anatumia viin macho kupumbaza watu. Tumeshawazoea. Jaman mtaliwa sana na maan ninyi ni wabishi ngoja mliweeeeee! Mtakuja kuzinduka mmeliwa.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +3

    Na hayo mazindiko mara nyengine ndo yanayodhuru familia zetu na vizazi vyetu. Allah atuepushe na ushirikina, Amiin

  • @dousamrashid1643
    @dousamrashid1643 3 ปีที่แล้ว

    😂😂Wanawachonganisha wenyewe ili wapate wateja hao hao,,, sayans bana😂😂😂

    • @jeremiagervas6942
      @jeremiagervas6942 3 ปีที่แล้ว

      Wanatafuta Kiki wat wenye changamoto wapigwe hela

  • @msigwaonestv9353
    @msigwaonestv9353 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu maana naye atakufa
    Karibu uamsho wa kikristo Tanzania (Uwata) utubu dhambi hukutani tena na adha za wachawi
    Kwa maelezo zaidi google mtandaoni UWATA
    Kujiunga bure
    Unaombewa shida zako bure
    Usihangaishwe na wanadamu

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye Tishit nyeupe ndiyo mwenye dill ya kuwataperi wanakijiji

  • @sarahogama9540
    @sarahogama9540 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu watanzania jamani tuko 2020 bado hamjaokoka mwangojea nini jamani ,,,,uchawi hautawapeleka mahali jamani

  • @lavalava4076
    @lavalava4076 4 ปีที่แล้ว

    Uyo mzenge uyo muongo tapeli namjua sana tena sana ajui chochote iyo ametoka nayo kwakwe msenge uyo

  • @minnahlove7035
    @minnahlove7035 4 ปีที่แล้ว

    Duh nyumbani kbs 😀😀😀😀😀😀😀mnazi mmoja

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +8

    Me napita tu 😂😂😂🤣

  • @abillahseif8021
    @abillahseif8021 4 ปีที่แล้ว

    Kumbee mzee magu kapata tabu kwenda kanada Lindi ndege kibao

    • @agnessmwendwa7542
      @agnessmwendwa7542 4 ปีที่แล้ว

      Muongo uyu katengeneza watu wake walete ili awadanganye watu Pepo mkubwa uyu ashindwe Kwa jina la yesu

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 4 ปีที่แล้ว +3

    "Duuuuuh, African technology!!! Unbelievable this can carry 360 pasengers! can you tell us more , what is in the tank?? Kerosin or blood?? Is it made of metal or bones? How many km.does it cover in one hour?? (Boeng/ Jumbo jet covers 950km/hr) what the name of the engine? How high can it fly?( nomal airplane international 13,000 meter/13 km. above the sea leval), does it make noise / polute the air?

    • @hamoudmohamed8291
      @hamoudmohamed8291 4 ปีที่แล้ว

      Might be male human sperm in the tank😜

  • @johnsonbernald11
    @johnsonbernald11 4 ปีที่แล้ว +1

    Katika wezi hawa ni wamoja wao, nilishawai shuhudia utapeli wao mkoani mbeya hawa waganga.

  • @pembaonlinemedia
    @pembaonlinemedia 4 ปีที่แล้ว

    Siku moja narudi safari na rafiki yangu ambae ni mganga, tunafika home anasema wakati tupo maeneo fulani kuna jambo baya lilitaka kutufika hivyo majini wake wakatupandisha gar fulani na kuondoka na sisi. Nilijua muongo sana maana nafika home miguu inaniuma kwa kutembea. Uchawi upo lakini huu ni uongo kamili.

  • @williammoses1856
    @williammoses1856 4 ปีที่แล้ว

    Duh Tanzania niya viwanda kweli mpaka ndege mnabuni kushinda wazungu.saluti

  • @kinglikalala1101
    @kinglikalala1101 4 ปีที่แล้ว

    Mamaa mganga juma napataa from chikunda newala 😂😂😂😂😂

  • @EVARISTOKINYUNYU-nu6cc
    @EVARISTOKINYUNYU-nu6cc 4 หลายเดือนก่อน

    Waache kwenda msikitini au kanisani! Waanzishe utawala wao, chagueni Leo wa kumtumikia!

  • @alimohd5123
    @alimohd5123 3 ปีที่แล้ว

    Hyo ndege ipelekwe Kabul airport in Afghanistan kuwaokoa marekani from TALIBAN.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +2

    Mhh kama ni kweli basi hao wachawi wana kesi ya kujibu kwa mola wao, ila kama hawa wanadanganya basi nao wasubiri hukumu yao.

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 ปีที่แล้ว

    Kazi za shetani na Hila zake,maelezo ya hekaya zisizo nauthibitisho,kama ni wataalamu kwanini washindwe kuthibitisha kwakuwashika,kwanini waziwidiwe?,MLINZI ni MMOJA tu ALLAH SWT,MWENYEZI MUNGU PEKEE

  • @abduljuma8122
    @abduljuma8122 4 ปีที่แล้ว

    Kimsingi serikali haiamini ushirikina ila watu wake ndio wanaamini ushirikina na wanapishana sana kwa waganga

  • @jafarimohamed1072
    @jafarimohamed1072 4 ปีที่แล้ว

    Wanatisha vijana

  • @calebisaiah3891
    @calebisaiah3891 4 ปีที่แล้ว +10

    Hessbu 23:23hakika hapana uchawi ju ya yakobo Wala unganga ju ya Israel tuliokoka hatuwezwi na uchawi

  • @epiphaniapatrice7289
    @epiphaniapatrice7289 3 ปีที่แล้ว +5

    Mtegemeeni mungu

  • @NasraAbdalah-v1g
    @NasraAbdalah-v1g 2 หลายเดือนก่อน

    Namjuw vzl huyo baba hata mimi niliteseka ila kanisaidi

  • @fidessalema6500
    @fidessalema6500 4 ปีที่แล้ว

    KALAZE MKUNDU. WAJINGA NDIO WALIWAO.

  • @abdullahsayid5280
    @abdullahsayid5280 4 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂😂 muogope mungu wewe usilete fitna katika jamii. Ndugu zangu msiwape nafasi hao mtafarakiana wenyewekwawenyewe

    • @DWAYNEKI
      @DWAYNEKI 4 ปีที่แล้ว +3

      Huja rogwa wewe ka kimyaaa...mbona hospitalini unakwenda ? Kwani panadon wanakupa SiO hio hio miti 99 mwenyezi mmungu ametupa? Kama hujarogwa kaa kimya na waombeee wenzie mwenyezi mmungu awajaalie wasikumbwe na majanga hao

    • @NIUX007
      @NIUX007 4 ปีที่แล้ว

      K

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว

      naam washirikina ni makafiri

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว

      @@DWAYNEKI wewe ni mshirikina

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว

      @@DWAYNEKI wewe ni mpuuzi wa kutupwa kwa kuamini wapuuzi hao

  • @badiuraabdallah1897
    @badiuraabdallah1897 4 ปีที่แล้ว +1

    Ushirikina mbaya jamani allah atunusuri noa

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 3 ปีที่แล้ว

    Lindi hiyo naijua vema hata ukipangiwa kikazi huko yataka moyo. Mwl...NY...mwenyewe alichemka.

  • @allykasoni2729
    @allykasoni2729 4 ปีที่แล้ว +2

    Km umegundua hawa jamaa ktk maongezi yao hawanaga "M" ni mwendo wa " N" tu mfano mtu wanasema ntu' na mnazi m1 wanasema nnazi m1 na mtoto wanaita ntoto! Hebu gonga like tujuane aiseee! 😂😂😂😂

    • @abuusix6320
      @abuusix6320 4 ปีที่แล้ว

      Acha ukabila na uxhamba wako chko ww

  • @swaijrswai5802
    @swaijrswai5802 4 ปีที่แล้ว +1

    Nipewe nambaa za madoctor

  • @mariammwendakazungu5783
    @mariammwendakazungu5783 4 ปีที่แล้ว

    Mh jamani hivi n huyu mtto mdogo n mganga kweli dunia simama nishuke

  • @fatmaalaufi9073
    @fatmaalaufi9073 4 ปีที่แล้ว +5

    Sahivi ndege nyingi hazisafiri inabidi kaka utueleze tiketi tunakata wapi tunataka kusafiri

  • @halimakhamis2725
    @halimakhamis2725 3 ปีที่แล้ว

    Waongo aho miujiza tuu ndege yaho wenyewe wazushi tuu wanatangaza biashala tuu ndege wametengeneza wanyewe

  • @shabanilukindo8858
    @shabanilukindo8858 4 ปีที่แล้ว +7

    Waongo iyoo ishuwametengeza iliwapate dilihapo kijijini kuenimacho

    • @timejames4590
      @timejames4590 4 ปีที่แล้ว

      Hawa wezi nyinyi watu mrudieni Allah hamna Kitu matapeli hao Sana'a wanawaaminisheni mliwe ela zenu haya mi napita tu

  • @abedievance1672
    @abedievance1672 3 ปีที่แล้ว

    Nawaomba watu wa mkoa wa Lindi kukaa mbali na matapeli wanaojifanya waganga,huyu jamaa anachofanya ni kujitangaza aonekane kama hao ni waganga,na hicho kitu wamekitengeneza wenyewe,hao ni matapeli waganga wa kweli hawajitangazi,Tunawaomba sana wataalamu wetu wa jadi kuwaonya watu kama hawa,mambo haya hayaleti taswira mzuri kwa taifa,tuwakatae waganga kama hawa,ni hayo tu ,akili kichwani kwenu,

  • @salmaabdulabdul5200
    @salmaabdulabdul5200 3 ปีที่แล้ว

    Ndege inatenki ya mafuta 🤣🤣🤣🤣 noma Sana

  • @monicagabriel4388
    @monicagabriel4388 4 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani enyi wachawi mgeukieni yesu acheni uchawi amani iko kwa yesu acheni acheni hiyo kazi.

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 ปีที่แล้ว

    Toba jaman huko kwetu kabisaa japokuwa niliondoka miaka Tele na kuhamia Oman hebu siku nikienda Tanzania nikamtembelee kwenye asili yangu niyajue mengi,

  • @conscioustechn007
    @conscioustechn007 4 ปีที่แล้ว +1

    TECHNOLOGIA YA MUAFRICA SIO UCHAWI TUTAISHIA KUWA WATUMWA WA WAZUNGU MPAKA LINI.

  • @karimumanzi6461
    @karimumanzi6461 4 ปีที่แล้ว

    Wababaishaji hao hakuna mganga hapo mang'onyo tu hahahaha

  • @fikiripeter7440
    @fikiripeter7440 4 ปีที่แล้ว +1

    Maisha yao ya kawaida mabovuu ila uchawini matajiri shenzi taipu mipaka nyau.

  • @betsonmugisha9604
    @betsonmugisha9604 4 ปีที่แล้ว

    Wote wachawi tu, mnasumbua sana na mna roho Mbaya sana

  • @askarikamaaskari1936
    @askarikamaaskari1936 4 ปีที่แล้ว +12

    Kama wewe Ni mganga wa kweli jioteshe meno🤣😃

  • @aishagakurya5364
    @aishagakurya5364 3 ปีที่แล้ว

    Daah, hyo kali nipeni namba zao hao wakuje Kenya

  • @mwasitibakari3805
    @mwasitibakari3805 4 ปีที่แล้ว +4

    Msikatae uchawi upo. Mm niliiona live mtaani kwetu alidondoka mbibi yuko uchii km alivyozaliwa.

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 4 ปีที่แล้ว

      Aliongwa aigize, acha uwongo. Haya yameshajulikana na mbinu zao.

    • @danielsantael8799
      @danielsantael8799 4 ปีที่แล้ว +1

      Uchawi upo ndg zangu tusiwe wabishi.hata ktk vitabu vyetu vya dini vinauelezea uchawi tangu enzi na enzi

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว

      Duuuh wapi uko

    • @hamisisabdallah3146
      @hamisisabdallah3146 4 ปีที่แล้ว

      Uchawi upo hakuna ubishi mimi nimeshawahi shuhudia dogo mmoja amejifanya mganga anatoa uchawi katika stahili mkono wake wa kulia ukakatwa mpaka leo huyo jamaa hana mkono

  • @Reemttt-j7o
    @Reemttt-j7o 3 ปีที่แล้ว

    Naitaji kuwaona mnisaidie naomba number yenu ya simu

  • @mmachedijr9345
    @mmachedijr9345 3 ปีที่แล้ว

    Uwongo huwo ndege kudondoka hata majeruhi amna katengenaza mwenyewe tu wapigaji hao

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha uchumi wa kati wana ndege za abiria wengi,makampuni ndo mengi zaidi,Ila Mungu atusaidie kwa kweli

  • @reymaabintabdillah3727
    @reymaabintabdillah3727 3 ปีที่แล้ว

    Yaan iman za kishirikina zimewatawala sana hao ambao mpo nao c muwatajeeee mnawaogopa?

  • @arifgvxbxbdbbbsb8907
    @arifgvxbxbdbbbsb8907 4 ปีที่แล้ว

    Tariq nimekupnda mtoto mashallah

  • @ericalexandre2166
    @ericalexandre2166 3 ปีที่แล้ว

    Sijui niseme kwa bahati mbaya hao ndo maendeleo yetu, upuuzi mtupu

  • @luganoesomu5301
    @luganoesomu5301 4 ปีที่แล้ว

    Sijui Watu wanaishi ulimwengu upi??

  • @aishagakurya5364
    @aishagakurya5364 3 ปีที่แล้ว

    Nawahitaji Kenya 😀😀😀😀

  • @expresshop5740
    @expresshop5740 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya doctor

  • @jojikeneth9024
    @jojikeneth9024 4 ปีที่แล้ว +10

    Ayo Mambo Kama ujawai kuyaona unaweza ukafikir uongo

  • @marrytabuya970
    @marrytabuya970 4 ปีที่แล้ว

    Unadai mmoja ulimkamata,akakimbia akakuachia shuka,sasa hao watatu walioko hapo kwa nini usiwaonyeshe,izi ni zama za kuamka na yesu,na si utapeli wa waganga wanaotafuta wateja

  • @abdallahkambangwa1400
    @abdallahkambangwa1400 4 ปีที่แล้ว

    Mtalamu nae ni mchawi nakubali haswaaaa uchawi nao una kampuni huyu jamaa kaongy vzr lkn mwisho kaboronga

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss หลายเดือนก่อน

    Maajabu haya

  • @EVARISTOKINYUNYU-nu6cc
    @EVARISTOKINYUNYU-nu6cc 4 หลายเดือนก่อน

    Mambo Gani hayo! Kumsikiliza wachawi?

  • @kisoukejothame210
    @kisoukejothame210 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh ilo dege sopowa aisee

  • @mohamedmbaulambaula214
    @mohamedmbaulambaula214 4 ปีที่แล้ว +3

    duuuu! mambo ya ajabu kwel

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 4 ปีที่แล้ว

    Kaja nay mwenyew huy

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 3 ปีที่แล้ว

    basi hapo mademu wanamtamani duuh wanamuona bingwa kumbe mzinguaji tu 😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @EmanuelJoseph-cx3hz
    @EmanuelJoseph-cx3hz 9 หลายเดือนก่อน

    Hao watu wamegeuka sisimizi,ambao wanakaa kwenye hiyo ndege

  • @happyfamilly1049
    @happyfamilly1049 4 ปีที่แล้ว +1

    Wamepata shoooo kweli

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Hii ndege inaweza fika uingereza

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wa mwisho kasitukia mchezo kakumbuka hadi babu wa kikombe kimoja.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 4 ปีที่แล้ว

    MPOKEENI YESU KRISTO AWE BWANA NA MWOKOZI WENU. WACHAWI, WAGANGA WA KIENYEJI WOTE NI MAWAKALA WA SHETANI-IBILISI; NA SEHEMU YAO BAADA YA KUFA HAPA DUNIANI WATAUNGANA NA SHETANI, MAJINI, MAPEPO KTK MATESO KWENYE MOTO WA JEHANAMU. OKOKENI.

  • @lidyahaule5343
    @lidyahaule5343 3 ปีที่แล้ว

    Ina hadi limoti kweli wameendelea wachawi noma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣