RAY C afunguka kuhusu Lady Jay D Enzi zao, Roll Model wake kwenye Muziki, Kuhusu Kiuno bila Mfupa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Heshima ya Bongo fleva wiki hii amekabidhiwa Ray C , Legendary mwenye sauti ya kipekee aliyewahi kusumbua na Nyimbo kama, Na wewe Milele, Uko wapi, Mahaba ya Dhati nk.
    Moja kati ya msanii mkubwa aliyewahi kua mshindani wake ni Lady jay d amabye RAy C anadai hakuwahi kua na Beef naye pia hawakuwahi kurecord Wimbo ukasikika lakini uko wimbo walifanya pamoja.

ความคิดเห็น • 6