BIASHARA 15 ZA BIDHAA UNAZOWEZA KUFANYA BILA YA MTAJI MKUBWA NA KUTENGENEZA KIPATO CHA UHAKIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Chagua biashara yoyote Kisha ifanyie Utafiti wa soko katika eneo ulilopo, jipime uwezo na Jenga ujuzi wa kuifanya... Utanishukuru baadae

ความคิดเห็น • 16

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel  3 ปีที่แล้ว +4

    Hizi Biashara Ni Miradi Mikubwa Sana... Siamini Kwenye Biashara 15 Ukose hata 1... Labda tatizo liwe kwenye saikolojia yako tu. (Pengine uoga, aibu, hutaki kuanzia chini n.k) Baadhi hapo hazihitaji hata sh.100 yako lakini mapato yake ni guaranteed!!!
    Mungu ametupatia uwezo wa kuumba vitu tuvitakavyo.. wazo halitakuja limekamilika eti laingiza pesa na wateja wengi. Lazima ujifunze mbinu zaidi na uwe mtu wa kazi mpaka wazo lako lianze kukuingizia pesa.
    Mwanzo unaweza kuwa mgumu lakini haimaanishi kwamba hautafanikiwa.
    Hauna hata sababu 1 ya kukosa cha kufanya ama kukosa pesa.
    Nakuombea upate wazo hapo,... Hakikisha unafuatilia kozi yetu ya masoko na mauzo, pamoja na copywriting kwa wewe unayetaka kufanya mtandaoni... ili biashara yako utakayoanzisha isikose wateja na mauzo ya kutosha.
    >> Chagua wazo 1,
    >>Fanya utafiti wa soko kujua uhitaji wake sokoni ....
    >> litengenezee mchanganuo maalumu (Business plan),... weka Focus ya kukomaa miaka hata mitano mpaka biashara hiyo ikue na kusimama yenyewe.
    Bahati Mbaya wengi hawaangalii matatizo ya soko ili wayatatue na kupata pesa.
    Wengi wanaangalia matatizo yao binafsi na kutafuta Cha kuuza bila utafiti, mpango ama nia ya dhati ya kuhudumia soko. Matokeo yake biasahara zao zinaishia kudumaa, wanakosa pesa.
    Unaweza kutumia mwongozo niliokufundisha kule mwanzo kuchagua wazo lingine la Biashara. Sio lazima utumie list hii Pekee.
    Yote kwa yote, ni marufuku kabisa kukosa cha kufanya....
    Soko linatafuta watu siriaz wenye kutatua matatizo yao kupitia huduma ama bidhaa bora... Kuwa miongoni mwao wewe ili soko likuzawadie pesa za kukutosha.
    ✓ PESA SIO RASILIMALI PUNGUFU, ZIKO ZA KUMTOSHA KILA MTU BAHATI MBAYA WENYE KUZITAKA KWA KUMAANISHA HAWAPATIKANI KWA WINGI......! (alisema rafiki yangu ambaye amekuwa millionaire chini ya miaka 30😋)
    UKIWASAIDIA WATU WENGI KUPATA WANACHOKITA BASI HATA WAO WATAKUSAIDIA KUPATA KWA WINGI UNACHOKITAKA (Alisema hayati Zig Ziglar.. tajiri na mtaalamu mzuri wa Biashara)
    Mungu akubariki sana katika mchakato wako wa kuhudumia watu wake kwa kuanza na ulichonacho 🤝🙏
    Maandiko matakatifu yanasema... "Ukiwa muaminifu katika kidogo Basi yeye Atakufanikisha katika makubwa Uyatakayo"
    Ni Mimi ninayejali mafanikio yako
    © Samuel Ng'ogela

  • @user-zc9qs8kk1z
    @user-zc9qs8kk1z 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hiii ya kuku nimekuelewa sana.

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  9 หลายเดือนก่อน

      Safi sana huwa unafanya ama wafikiria kuanzisha

  • @scholasticamchokopa6515
    @scholasticamchokopa6515 9 หลายเดือนก่อน

    Asantee kwa somo nzr

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  9 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana

  • @maryammaulid1085
    @maryammaulid1085 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Nina laki 7:na nipo kijiji nifanye biashara Gani tofauti na chakula

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  9 หลายเดือนก่อน

      Umeona biashara katika hizi nilizokutajia? Kikubwa zaidi fanya utafiti wa soko kubaini mahitaji na matatizo ya soko ili upeleke suluhisho

  • @hashiruadidas3387
    @hashiruadidas3387 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana binafsi nimependa hapo Kuna biashara 3 zipo kwenye dam 1)ushonaji mm fundi mzuri Sana 2) ufugaji kuku 3)Bustan zamaua napenda Sana hatakwangu hukosio Aina. Zamaua
    Je? Kufanya zotekwapamoja inawezekana? Plz ushauri kamahutojali

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  9 หลายเดือนก่อน

      Nashauri anza na moja kwanza hasa hiyo yenye kuhusisha ujuzi wako zaidi bila mtaji mkubwa mf.ushonaji then ikianza kukulipa ndipo utaongeza nyingine
      Kuna kuwa na vyanzo vingi vya mapato na kuwa n vyanzo vingi vya mahangaiko (multiple sources of income vs multiple sources of struggles) kama biashara ya 1 haingizi hata 2m au 5m au zaidi kwa mwezi.. tulia hapohapo mpaka isimame

  • @ElizabethWanjira-pq2or
    @ElizabethWanjira-pq2or ปีที่แล้ว +1

    Izo vitu mtu anaeza pata ajy kama za vipodozi na electronic

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  9 หลายเดือนก่อน

      Yes inawezekana

  • @user-en5zr7tr9r
    @user-en5zr7tr9r 9 หลายเดือนก่อน +1

    Somo linaeleweka

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  9 หลายเดือนก่อน

      Asante karibu sana

  • @veronicastephano8974
    @veronicastephano8974 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu hapa kwenye biashara no11 mambo ufugaji wa kuku.umenigusa kuniambia kuna watu wanaishi na kuku sio kama wako kibiashara

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel  3 ปีที่แล้ว

      kuishi na kuku VS kufuga kuku 😁... Wewe upo kundi gani Veronica

    • @veronicastephano8974
      @veronicastephano8974 3 ปีที่แล้ว

      @@Coachsamwel 😀😀😀 hapa mimi niko kwenye kuishi na kuku mwalimu sio kufuga