Pius Msekwa Ashangazwa na Uongozi Wa Rais Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @mosesmazigo995
    @mosesmazigo995 3 ปีที่แล้ว

    Global tv huy siyo mtangazajii ila anataka kujionesha hajuiii kuhojii

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji Huyu katoka Wapi??????.Uwezo wake mdogo namshauri atafute kazi nyingine

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtangazaji kweli au kuforce

  • @julianamasunga4147
    @julianamasunga4147 6 ปีที่แล้ว

    mshaurini siyo lawama akalime.... hakuna aliezaliwa anajua wote tunajifunza......

  • @davidkatunge2835
    @davidkatunge2835 5 ปีที่แล้ว

    Enzi zenu Nani alikuwa anaongea nyani haoni kundule!!!!!!!!😂😋☺️😊😚😉😙😗😆😀

  • @antidiussamwel9082
    @antidiussamwel9082 6 ปีที่แล้ว

    Rudin darasan mjifunze kuandika vichwa vya abar duhhhh !

  • @mosesmwakyusa8463
    @mosesmwakyusa8463 6 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji uko poa ni vitu vidogo tu vya kulekebisha

  • @leonardkatono6362
    @leonardkatono6362 6 ปีที่แล้ว

    et ndo mifumo ilivyo,mzee akil haichaj tna

  • @twaliwamhagaha1217
    @twaliwamhagaha1217 6 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji hufai kabisa,hujui kuuliza maswali kwa mtiririko unaovutia.Pia unakigugumizi hivyo huendani na hio kazi

  • @mramba1966
    @mramba1966 6 ปีที่แล้ว

    Clobal ajiri watu mahiri.

  • @juliussalim9005
    @juliussalim9005 6 ปีที่แล้ว

    Mtanzania aliyemtukana magufuli

  • @sannycpaul9423
    @sannycpaul9423 6 ปีที่แล้ว

    Fala boya wewe halafu hivi Eric ni shemeji yako maana cjui kakutoa wapi bwege wewe head news uloandika hapo unajua nn mabake faken

  • @lovenessloveness4508
    @lovenessloveness4508 6 ปีที่แล้ว

    Dooooh huyu mtangazaji hajui ..kimfanyia mtu interview kabisa .clobal ebu mpange mtu mwengine huyu kimeo kabisa ..hawezi au hajui ...loh

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 6 ปีที่แล้ว

    Kwa hili Mh. Msekwa binafsi sikuelewi. Rushwa ihalalishwe! Rais JPM anakosea kuipiga vita? Kwa hiyo ihalalishwe?! LA HASHA. Lazima ipingwe kwa nguvu zone ili haki itendeke. Hata Mwalimu Nyerere hakuipenda.Mwache JPM aishughulikie.Rushwa si sehemu ya HAKI. Usimsingizie Mungu kuwa ni YEYE tu anayeweza kuzuia rushwa. I

  • @saidbakongo4662
    @saidbakongo4662 6 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio viongozi walioifikisha Tanzania ilipo, anasema rushwa haizuiliki, yupo kiongozi mwingine wa Serikali ya awamu ya nne aliwahi kusema Mafisadi hawawezekani. Sasa niulize swali mbona Serikali ya awamu ya tano imeweza kupambana na ufisadi japo haujakwisha kabisa lakini kuna nafuu kubwa. Kwa hiyo hata rushwa kama Serikali inaamua inaweza kisha au kupungua kwa kiasi kikubwa. Kama nchi za wenzetu wameweza kwa nini sisi tushindwe.

  • @piusmapondo857
    @piusmapondo857 6 ปีที่แล้ว +5

    Hamna mtangazaji hapo global mmechemka hajui hata kuliza maswali

  • @kitarafrankee4851
    @kitarafrankee4851 6 ปีที่แล้ว +5

    huyu mtangazaji simuelewagi kabisa ni mtazamo wangu lakini

  • @Silverstic
    @Silverstic 6 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji wa ajabu kichwa cha habari hakiendani na habari

  • @Aidenkuye
    @Aidenkuye 6 ปีที่แล้ว +1

    Nilifikiri ni mimi tu simwelewi huyu mtangazaji!
    Inaonekana jamaa ana kigugumizi, hii kazi haimfai hata kidogo, mbadilisheni kitengo tafadhali mnatunyima uhondo!
    Yaani simwelewi kabisa anachouliza, nimebaki kukisia tu kutokana mheshimiwa anavyojibu...

  • @yusuphmbaluka44
    @yusuphmbaluka44 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu mtangazaji kazi hii haimfai maana co kwa kigugumizi hicho ni bora atafute kazi nyngine tu

  • @stephanothomas3585
    @stephanothomas3585 6 ปีที่แล้ว

    Mtangazaj mbulula anamuhoj mtu km wanapga story kijiwen.. Afu babu Msekwa nae anasema Bunge lake lilikua na vijana wengi kuliko hili lasasa Mmmmh! apo Babu katudanganya!!!

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 6 ปีที่แล้ว +1

    kuongea huwezi mtangazaji tafuta kazi nyingine

  • @saidmohamed470
    @saidmohamed470 6 ปีที่แล้ว +1

    Na nyie mshakuwa wajinga maana kichwa cha habari ni tofauti

  • @blasiokajuna
    @blasiokajuna 6 ปีที่แล้ว

    mtangazaji unafanya kazi nzuri lakini jitahidi kabla hujafanya interview andaa maswali ya kuuliza halafu jitahidi kuongea taratibu maana ukiongea kwa haraka unakuwa hueleweki.....Ni ushauri tu

  • @fabiansewando9608
    @fabiansewando9608 6 ปีที่แล้ว

    Global tv mnazinguwa. Wapi alipomshangaa mh rais?

  • @emmanuelshilagi3673
    @emmanuelshilagi3673 6 ปีที่แล้ว +1

    mzeeulichosemanisawa lakinikosoekidogo lushwaniaduiwahaki sotetunajua jemzee ukotaayarikubebamkuki mangao tumuondoezimwi huyu kataarushwa ustoe kumbuka azimiolaarusha. lilivyokuwa cheonizamastakitumiakwamanufaayangukujilimbikiziaimali walakuwanyanyasawatuwengine

  • @allymasenti8748
    @allymasenti8748 6 ปีที่แล้ว

    Mzee yk sw shida nihuyu mtangazaji hivi kweli anajierewa??

  • @twaliwamhagaha1217
    @twaliwamhagaha1217 6 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji hufai kabisa,hujui kuuliza maswali kwa mtiririko unaovutia.Pia unakigugumizi hivyo huendani na hio kazi

  • @daudimaguha9447
    @daudimaguha9447 6 ปีที่แล้ว

    Watangazaji wetu wanataka waonekane wamesoma,, utaona wanatikisa hadi vichwa kama wanaongea kizungu,, shule,,,

  • @loisiritoremollel1548
    @loisiritoremollel1548 6 ปีที่แล้ว

    Mzee Msekwa hongera sana hekima na busara zako kuhusu bunge na serikali yetu ya sasa imesikika.

  • @hamisimsalapai7785
    @hamisimsalapai7785 6 ปีที่แล้ว

    sio kila mtu anastahili utangazaji.. jamaa angepelekwa kitengo kingine kakini utangazaji No

  • @hamisimuya8509
    @hamisimuya8509 6 ปีที่แล้ว

    da huyu mtangazaj wambadirish kitengo kingine

  • @issasalum274
    @issasalum274 6 ปีที่แล้ว

    Story haihusiani na kichwa cha habari. Waandishi kuweni makini na kazi zenu.

  • @clementdiyay5789
    @clementdiyay5789 6 ปีที่แล้ว

    sauti yadangote kumuonya ikowapi acheni kudanganya

  • @sheluizonola7782
    @sheluizonola7782 6 ปีที่แล้ว

    mtangazaji hana tatizo yuko vizur tuache majungu jamani

  • @sabatoongara8763
    @sabatoongara8763 6 ปีที่แล้ว

    Katika kazi lazima challenge iwepo kaza tu but I.

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 6 ปีที่แล้ว

    Yah speaker Ongeraaaa tunaona oja za kuwafurahisha watu

  • @paschalombay391
    @paschalombay391 6 ปีที่แล้ว

    duh! naona wengi wanamsema mtangazaji vibaya huyo yupo analixha familia yake, na nyinyi mnaokosoa 2 cjui kama mnaweza kulisha familia zenu kwa kazi hyo

  • @aishamadenge6883
    @aishamadenge6883 6 ปีที่แล้ว

    Hata mm jmn hy mtangazagi ananiboa sjui wengine

  • @nyemewilson4298
    @nyemewilson4298 6 ปีที่แล้ว

    Anayeoji mhhhh!! Kama vile hajabobea.

  • @kachasagynoma1756
    @kachasagynoma1756 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzeee yp sawa

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 6 ปีที่แล้ว

    huyu Jamaa udako ndio unaomfaa

  • @amedegabri4435
    @amedegabri4435 6 ปีที่แล้ว

    mtangazaji jifunze kuongea kiswahili, utaenda sawa.

  • @butungo1
    @butungo1 6 ปีที่แล้ว

    Mbona Mh. Rais hajatajwa hapo?

  • @godcompeter9844
    @godcompeter9844 6 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji gan ase

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 6 ปีที่แล้ว

    we ukawa utawajua tu.

  • @richmahegah7740
    @richmahegah7740 6 ปีที่แล้ว

    pccb wafanye kazi haswaa

  • @malifesa.
    @malifesa. 6 ปีที่แล้ว +3

    punguza speed ya kuongea utaenda vizuri bt nw cio gud na pia andaa maswali yaende systematically

  • @namelessunknown1377
    @namelessunknown1377 6 ปีที่แล้ว +7

    Ww kaka utangazaji haukufaii kalimee woii huvutiii

  • @shd12m55
    @shd12m55 6 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji ziro brain

  • @stewartmillanzi3918
    @stewartmillanzi3918 6 ปีที่แล้ว +3

    Rushwa inaondokaje wakati viongozi wanaotawala ndo wanaoongoza kuwanunua wapinzani kiasi cha kuwapandisha cheo wanaotoa rushwa.

    • @Digitalhhhhhgfgg
      @Digitalhhhhhgfgg 6 ปีที่แล้ว

      Stewart Millanzi Hadi Kwenye siasa Mbowe Ili ateue lazma Apewe rushwa

  • @kibakuriponcha4487
    @kibakuriponcha4487 6 ปีที่แล้ว

    p1 sana