الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤الحمد لله دائما وابدا، واشهد آله إله إلا الله محمد رسول ☝!!!Shukran jazzaq Allahu kheir sheik Athuman Allah azd kukuhifadh ,n akulinde n shar n hassad ,Allahu azd kukup elmu uzd kutuelimisha n tuyafat kwa kutak radhi zake Allah
Subuhanallah nimuhimu waumini wakiislam tukazidi kuitafuta elimu kwani hata sisi wanawake mtu anakaa na nguo tokya asubuhi ikifika mida ya swala anaswalita ileile lakini tukienda maharusini nimtihani yarabi tuongoze kwenye heri wajawako
sheikh othman malim my words can not describe the way I appreciate him, may Allah swt bless him abundantly and indeed bless all the Muslims and inshallah make the kafiris become Muslims
Kila ninapokuona wewe naona maadili mema kwa nini awakupi nafasi kubwa kitanzania uwaongeza Wana dini wa kweli..Mwenyezi akufanyie wepesi Maalim Othuman.
Kuvaa kanzu ni pambo la kiislam sio kwa waarab,ila waarabu nchini kwao wameeka ni utamaduni kwao kuvaa kanzu, ni kweli sheikh kuna watu wanasema kanzu ni vazi la waarab inafaa utoe Elmu kuhusu kanzu…Allah akuhifadhi Sheikh wetu kipenzi…
Allhmdullah Allah azidi kutuekea vingozi wetu wa dini ili kutuelimisha na Allah awalipe ujira ulokua mwema fidunia wall akhera na xx atujaalie malipo yalokua mema na atuelimishe tusoyajua na tuyafanyie kazi tusoyajua
Anllah akupe falaja katika maisha yako ya dunia na kesho akhela 🤲 nakupenda kwaajili ya Anllah ♥️🤲
na mm nawatakia ramadhin kareem
الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤الحمد لله دائما وابدا، واشهد آله إله إلا الله محمد رسول ☝!!!Shukran jazzaq Allahu kheir sheik Athuman Allah azd kukuhifadh ,n akulinde n shar n hassad ,Allahu azd kukup elmu uzd kutuelimisha n tuyafat kwa kutak radhi zake Allah
Ewe yarabi tusamehe dhabi zetu katika waisilam wote utujalie mwisho mwema
Asalaam aleikum mashaallah tabarak rahmaan shekh othmaan napenda mawaidha yako
Subuhanallah nimuhimu waumini wakiislam tukazidi kuitafuta elimu kwani hata sisi wanawake mtu anakaa na nguo tokya asubuhi ikifika mida ya swala anaswalita ileile lakini tukienda maharusini nimtihani yarabi tuongoze kwenye heri wajawako
Allahumma Amin yaalabi 😭🤲
Allah atujalie usafi wa mwili na waroho
Naam
Amina
Allah maamiin yarab
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH SHRIKH
Mashaallah shukran Ahsante sheikhe wetu nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Masha Allah shukrani kwa darsa barak Allahu feeq
sheikh othman malim my words can not describe the way I appreciate him, may Allah swt bless him abundantly and indeed bless all the Muslims and inshallah make the kafiris become Muslims
Ameen
Shukran maalim wetu allah akujaalie kher
MASHAALLAH, JAZZAKALLAH KHERI. Bega kwa bega mpaka Firdaus
Allah atujalie mwisho mwema pia namuomba Allah anijalia kukutana nawew sheikh wetu
Jazak Allah kheiryan...Allah akujaalie umr taweel wenye kheir...tuzd kuelimika
MASHA ALLAH SHEIKH
Masha Allah
Subhanaallah mungu ni mwema kwetu
Mashaallah
Maa shaa llah. Shukran yaa sheikh
Jazakallahu kheir, 🙏
MASHA ALLAH SHEIKH 🤲
Mashallah mola atujalie mwisho mwema
Shukran sheik wetu
Mashaallah mashaallah hadith na kisaa vizuri kuna watu wanapenda kudharaulina subhanallah Allah atujaalie tuwe waja wa imani sbarwani
❤❤❤shukran
Masha allah allah hu akbar
Allahu akibru
Allah atuongoze kwa ajili yake
Kweli Sheikh, Tunajisahau Sana kwenye usafi wa vyoo vyetu vya misikiti
Baaraka Allahu Fiikum
Tunakupenda Burundi
Mungu akulipe
May Allah bless you shiekh othman maalim.
Nakuombea kwa Alla mwenyezimgu akuongezee umri mrefu
tabarakaAllah 🤲🤲
Ameen yarabi
Twaibuu swahih 🇰🇪
Mashaa Allah Mashaa Allah
Asalaam aleyhkum
Mashallah sheih
Shukran sana
Shukran
Kila ninapokuona wewe naona maadili mema kwa nini awakupi nafasi kubwa kitanzania uwaongeza Wana dini wa kweli..Mwenyezi akufanyie wepesi Maalim Othuman.
Maashallah
Kuvaa kanzu ni pambo la kiislam sio kwa waarab,ila waarabu nchini kwao wameeka ni utamaduni kwao kuvaa kanzu, ni kweli sheikh kuna watu wanasema kanzu ni vazi la waarab inafaa utoe Elmu kuhusu kanzu…Allah akuhifadhi Sheikh wetu kipenzi…
Asalaam alaykm asante kw mawaidha mazur tunayafanyia kz shekh Allah karim
Assalam aleikum,Shambi wa kijumbani-kisiwani
SHEIKH SHUKLAN
Allhmdullah Allah azidi kutuekea vingozi wetu wa dini ili kutuelimisha na Allah awalipe ujira ulokua mwema fidunia wall akhera na xx atujaalie malipo yalokua mema na atuelimishe tusoyajua na tuyafanyie kazi tusoyajua
Ni kweli shehe unayoyasema vyoo vyetu ni vichaf sana miskitn sijui kw nn elim izid kueneea tunajisahau waislam
Kuna wale wanaofanya udhinifu Kisha mda wasala anaenda sali iv ina swii
Uwislam.unarahaa
Do,a husababishwa nin kupewa nikiTasa ayaa yakwanza jee ukonsahii upon hoja malumu
Yani uislam haukuacha kitu
Nikheri waislam tukumbuswe tumeendekeza mambo ya kidunia
Mashaallah