"EZEKIEL NI FAKE PASTOR, ALIMALIZA DRIVER" BIG BOSS REVEALS SHOCKING DETAILS ABOUT PST EZEKIEL
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Watch, like, Share. For mentions and content collaborations, text us at +254733290656
_____________________________________________________________
►Support our shows on PayPal: bit.ly/ZadkDonate
►Subscribe NOW if you are new: bit.ly/3nKxDpK
►Follow Zack on Instagram: / zad_ke
Wakenya hawapendi ukweli,ukitaka mkosane n wa Kenya wambie ukweli
Very very true na ndio maanake tunaangamia
kabisa
Always right and correct,umenijenga ki Imani mungu akubariki sana
Thanks
Yaani ninakubaliana nawe kabisa. Huyu Ezekiel ni sorcerer hatari sana. I sympathize with the people who still attend his church
Fact
I love this
Thanks
Fangia kwako bro
Hello
Ukweli mtupu
Wivu vitina uwache kijana ulisikia wapi respect pastor Ezekiel God knows each hearth
When you serve anointed of God uou become a target to the devil so you must live a righteous life.
who
Hiyo ni ukweli kabisa
Very true he is deceiving people
Mpango wa kando
Rafi tunatumia kila siku .
Soma bibilia vizuri even missiles are there. Kila silaha ya vita iko.
Nakubaliana na huyu kaka aslimia mia..wakenya hampendi ukweli
Do not judge
Wewe matako kabisa,Achana na Ezekiel nungu wewe,usihukumu MTU kablam mungu hajahukumu, kinyocho
Watu wa Ezekiel wako na matusi sana
Watu waezekiel wamefanafa tutawajua na matendo yao...
People like you will keep on perishing due to lack of knowledge.
Laiti ungejua kile unachokisema hapa nina imani ipo siku utatakaa msaadaa kwa baba yetu Ezikiel pole sana hujui unayepingana nae
Mungu peke...binadamu hakosi makosa..elewa na ufunguke macho😂😂
Wewe. Sibe. Zakwako. Wawashwa nanini
Shetani ashindwe....Huyu bwana ni mungu atamjibu
Wewe Big boss achana na Ezekiel
What he is man saying?
Lori iro
bro pasua kabisa nakupenda bure wajinga ndio waliwao,rafiki yangu huku German katepeliwa na Ezeikeil Gari,pasua kupasua bro🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇪🇺🇰🇪
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤝🌷
WACHANA na pst Ezekiel kabisaa
tapeli alinicorn
Nimesoma comments nikasema hatasi wezi angalia wacha nitoke
Hebu toa Ezekiel kwa ujinga wako
Sasa hayo ya babake mwenyewee hampendi si uendee ww ukapendwee basi hivi ukapewa hayo majukumuu unaeza yabebaa ww ni shetani tena kafirì mubayaa sana lakini utajua mtumishii wa mungu haongelewii vibaya ww utajkujaishia mpaka hio kucha
Acha pst Ezekiel kabla Yale magonjwa anaombea hayajakushika nawewe kama diabetes, cancer
Kama Ezekiel n pastor fake mbona analitumia jina la mungu
☝️🤫🤫🤫🤫🤫🤫😛😛🙅🙅
Ooooh! Ni Muislamu ! Hujitia wanajua sana . Kisha atuambie ahadi za Mtume Mohammed Kwa waislamu kuzawadiwa mabikira72 peponi/ Yani Ngono mbinguni 😂😂😂
Mr boss nisaidie nimegwama kifedha nataka kujenga nyumba ya kuku 100 lakini nimegwama plz nisaidie
Nitafute
@@BIGBOSSKENYA mambo vipi vipi channel Yako ya TH-cam inaitwaje?
@@Mwachitiunque ndoiyo yenye nachart nayo BIGBOSSKENYA
@@BIGBOSSKENYA fit sana
Nahurumia huyu fala
MM UMENISINYAA HATA UNGEKUWA MTU AKIKUPINGIA ANAKUPATA UKWELI HII DUNIANI ITAKUFUNZAA
Nyinyi mnatafuta content.mbona huendi kwa wengine..si uhubiri injiri yako tuskie..
Funga.mdomo wako shetani
This guy has too much jealous
Bro wewe ni mjinga tuu
Utalaniwa ww
kitambo ww
Mungu mwenyewe ndio anajua
Nyie mnajua wengine kuliko Aliyewaumba mtajuta wajinga nyinyi
Na wewe ni WA dini Gani?!
It's clear this guy is not serving Almighty God
wachakua mjinga
Hana maana kwako wwe mbwa lkn kwa Mungu ni malaika 😏😏😏😏kama wwe ulijua driver wake alikufa na uliona mbona usiturekodue uposti ndio tukuamini mjinga wwe huna adabu wivu ni ndio inakusumbua,
Bro endelea ivo... shida cjui kama uko na nguvu za kushindana na huyu ezekiel juu dr. olonde amejaribu sai aliingia mitini hasikiki...mikoba zako sai ziweke nguvu tuone matunda
Usijali nimejihami
Fact