Yani nimeshangaa hii nyumba ni ni 3k 😢jamani wakenya eish. Huyu shakupa baraka ndugu yangu ,,vile alirudi kunywa hiyo tone la chai Kwa hakika alikkuwa anakubariki kabisa
Hata mm nimeshindwa nakushangaa nyumba ya 3k ikiwa hvyo wallah tunagandamizana wenyewe kwa wenyewe 3k hiyo ni nyumba ya stima na maji ndani najua mtauliza wp wengine lkn vuka likoni utapata
She has such a beautiful, infectious smile. God bless her
Waaoooh. What a smile . May u never lack
She is kind and am glad she was blessed through Phelix
A beautiful soul. She's full of kindness.
God bless a cheerful giver. Shalom.
Mama Roho safi phelix ubarikiwe
Roho✔️
English ✔️
Swahili✔️
God bless you phelix
God bless you brother, you surprise them, inreturn... a big smile and hope, may God reward you greatly even in the heaven 🙏
Very humble lady God bless you phelix🙏
God bless you 🎉
Kindness pays. Thank you phelux
Very humble 😊😊
To support
07 13 48 14 36 phelix joel or
Paybill 400 200 Account 661 096
#makandafoundation #TheMessenger
I love the lady she is loving
GOD 🙏🙏🙏 bless you
Very humble lady bro be blessed ❤
May God bless you more and more Mr phelix
Wakati unafikiria umefika mwisho Mungu anafanya mambo yake
Be blessed 🙏
Hu ndio ukenya wetu sasa the gen z kushikana mkono
Yani nimeshangaa hii nyumba ni ni 3k 😢jamani wakenya eish.
Huyu shakupa baraka ndugu yangu ,,vile alirudi kunywa hiyo tone la chai Kwa hakika alikkuwa anakubariki kabisa
Hata mm nimeshindwa nakushangaa nyumba ya 3k ikiwa hvyo wallah tunagandamizana wenyewe kwa wenyewe 3k hiyo ni nyumba ya stima na maji ndani najua mtauliza wp wengine lkn vuka likoni utapata
@@abdallagakweli6366 hii ni majaabu haki
Wow good job barikiwa
She is so beautiful
Hii ndiyo maisha watu wanapitia ee Mungu linda watu wako usiwaache
Thank you Mr Phelix for blessing her
Nikiangalia hizi videos nakumbuka mwenye alisema,"huenda hata Phelix Makanda ni babangu ni vile hajawahi toa mask nimuaone poa"barikiwa sana
Kazizr Allah akulipe kilalahr❤❤❤
Hadi amemalizia kunywa chai ya Felix
Aki ako na roho ya kupeana aki mungu amlinde Huyu mama
Humble one🙏🙏
Be blessed phelix ❤
"Natoka tu hapa karibu😂😂😂" hii kitu hunichekesha hata akuwe Western 🇰🇪
Ama mm ni mkenya😂😂
@@andrewmumo6603 eeh wakati anaulizwa we ni kabila gani🤣🤣🤣
That was how much