Khaligraph is providing a platform for all EA but, some Hip Hop artists misunderstand his POV. Amapiano imetuelemea watanzania. Atleast kafanya tunaskiliza kitu mpya. Instead of dissing Khali, Tz rapper have to release consistently.
Daaaa ni makofia from Kenya shabiki sugu wa hip hop, tanzanian wako juu sana kaligraph ni mdogo sana asjaribu kudisi bongo wana rap mbaya awachane na Tanzania
Huyu jamaaa kazungumza pasipo kutanguliza chuki wala utaifa, he just spoke truth without favoring one side. And that's how an artist should be. Once you choose to be artist you choose to entertain everyone and that's why you find tanzanian songs playing in kenya and kenyan songs playing in Tanzania. I'm wondering why you are fighting so hard to be above tanzania; chill guys let your works speak😅 Once you start to compete with someone it shows clearly that you compete with him or her because you are afraid that he is successful than you or he'll be more successful than you. So stop all the drama and keep on working only.
kwamba Bien ana Hera kuliko diamondplatnumz,ivi unahakili kweli???, angalia makampuni anayomiliki diamondplatnumz wewe, streams Spotify, views TH-cam, endorsement za diamondplatnumz, Bien mwenye anakwambia diamondplatnumz is richa ever compare to his fellow East Africa musicians
@@benardomare410 Are you trying to say Tanzanians can't speak English?! You're completely wrong brother! Tanzanians speaks as good English as you. nglish is nothing than a language, you can learn and master it, just like your native language. And yeah I am Tanzanian.
Waandishi wa habari bhana yani hua wanataka ujibu tofauti na anavo kuuliza ili tu anachokitafuta Cha kuwachonganisha kiende salama ili atakapo kutana nae yule alie kushindanisha nae amwambie jinsi ulivomdis😂 any way dunia ya sasa tofauti na ya zaman watu wameweka tumbo mbeleee mbeleeeni kwanza😢
Tuko na peace kuwashinda.. na hatuna njaa kama nyie.. sasa hio hela inawasaidia nini kama kuna njaa na fujo na kuandamana kila wakati..?? Alshabaab kuwashambulia
Pesa ya TZ haina value so mtu kama OG ama Bien ama Bahati akienda TZ na pesa yake atanunua hao musicians with their properties wote, so Kenya ndo kusema na TZ hawatuwezi kwa vyovyote vile
Jealousy ni ww amesema upande wa rap sisi wakenya hatujuagi rap za Tanzania sisi, bongo tu na Bieng hajaongea kuhusu bongo ameongea kuhusu rap ama ujaelewa
Hivi nyie waandishi mnawashwa nini na Tanzania? Mna matatizo mjue, dakika sita zote za mwanzo kwenye interview mmekazana kuuliza na kulinganisha uwezo wa wasanii wa kenya vs wa Tanzania. Huwezi kuta interview Tz wanauliza maswali ya ku-compare wasanii wao na wa kenya. Ucheni ushamba na hii inaonyesha dhahiri kuwa mnawashwa,mna wivu, mna chuki na hampendi maendeleo ya Tz.
Wewe ukae ukijua kitu chochote kikitrend lazima maswali yaulizwe si chuki ni views mbona Hawa wakenya wenyewe kwa wenyewe hufanyiwa comparison yupi yuko mbele ya mwengine kimziki na hawalalamiki juu wamezoea, watanzania mnatakaga kubembelezwa kama mayai mnachukulea vitu person anzeni mazoefu haya😅😅😂😂 Alaaaah
Bien is so smart and plays by the rules + He is so real
You can tell a clever chap by how one answers a set of questions. Bien uko sawa 💯🫡
Khaligraph is working too hard he deserves million + subs
Bien is the real OG talks like a legend
Went to this guys concert in frankfurt, bana hawa wasee ni wakali. Good vibes all the way.
Support kenya 🇰🇪 daima ❤
Hehe... Bro, naweza aje pata job Germany ki urahisi???
Tuko will be like "Bien says King Kaka is self proclaimed King"
He is brave answering quiz
Speaking as a Kenyan, we have no beef with TZ ilikuwa tu kuamsha rap yenyu kama ndugu nothing more. Bien is an affirmation of that
na ya kwenyu mmeshindwa kuamsha, mnaamsha ya jirani.
@@anithaphilip3526Tunaamshaje na haijawahi kulala.
Calm, wise and bold. Bien Keep it going. God bless the way.
Bien your wisdom is outstanding 💯💯💯
hiphop aint dead,jus took a couple of shots, i bring it back to life. i wanna see kali battle fid q( dramatic) fid q is a beast
Khaligraph is providing a platform for all EA but, some Hip Hop artists misunderstand his POV.
Amapiano imetuelemea watanzania.
Atleast kafanya tunaskiliza kitu mpya.
Instead of dissing Khali, Tz rapper have to release consistently.
Bien ni shida sana🔥🇹🇿
Bien anaroho safi sana 🇹🇿
A very sharp interviwee
Bien ni m smart unyama mwingi sana 🔥
Sharp and mature can see good leadership skills.
Khaligraph Jones na wakenya mnajua uwezo wa TZ kwenye kufoka... Wa TZ tuko vizuri sana, na kikubwa kinachotusaidi ni lugha ya kiswahili
Tz mko ju ❤
Khaligraph yuko vzuri bt the rest of Kenyan rappers👎🏿
Khali started something good for EA. Hiphop spins around beef always and keeps the views and likes up!
Kenyan rap is on another level
Khaligraph is on another level the rest hamna kitu
Stop nonsense
😂😂😂😂😂kama kutwang kwa rap ni noma.
Bien is a beast 🔥🔥
Saut soul wako powa sana sisi watiz 🇹🇿 tunawakubali sana pia nyanshishiki ,octopizzo
Nyinyi huita sauti sol mashoga
@@billjames1216nikweli mashoga
Usiwadanganye ww Tz hap tunamjua yanshisk na saut bas
Tz mko poa❤
Hamjui Otile brown
😂😂😂he knows what exactly to say and when to say it
We are brothers and sisters period❤️🫶🏿
The big man is a genius 🔥🔥
Daaaa ni makofia from Kenya shabiki sugu wa hip hop, tanzanian wako juu sana kaligraph ni mdogo sana asjaribu kudisi bongo wana rap mbaya awachane na Tanzania
Sisi wakenya na uganda hatujui rap za Tanzania 😅
Mnajiskizia pekeyenu
Watu wanaojielewa ndo hawa hatukani watu Nakubali sana Bien from Tz
Goat for answering questions
Huyu jamaaa kazungumza pasipo kutanguliza chuki wala utaifa, he just spoke truth without favoring one side. And that's how an artist should be. Once you choose to be artist you choose to entertain everyone and that's why you find tanzanian songs playing in kenya and kenyan songs playing in Tanzania. I'm wondering why you are fighting so hard to be above tanzania; chill guys let your works speak😅
Once you start to compete with someone it shows clearly that you compete with him or her because you are afraid that he is successful than you or he'll be more successful than you.
So stop all the drama and keep on working only.
True
kwamba Bien ana Hera kuliko diamondplatnumz,ivi unahakili kweli???, angalia makampuni anayomiliki diamondplatnumz wewe, streams Spotify, views TH-cam, endorsement za diamondplatnumz, Bien mwenye anakwambia diamondplatnumz is richa ever compare to his fellow East Africa musicians
Honestly mimi binafsi napenda bifu ya Kalii iendelee na waingie artist wengine hatuwaskii toka Kenya kama Bamboo,Juacali,Octoo itaamsha sana Hiphop
Toa jua Kali hapo.
Kenya tuko poa but Tanzania is to be respected💯💯
In the meantime, tumedrop shit hatari🔥🔥 Make sure umewatch mzing👊🏿👊🏿
🇹🇿 🇹🇿 tunawapenda 🇰🇪
Bien I respect you sana and I don't wanna lose my respect for you,usijiingize kwa hii vita ya ujinga.
"Aty kipara kaa Bièn Nilkua napiga ngoto"😊😂
Kuna Biggie, Tupac and there's Wakadinali🔥
Diamond mtetezi wawa Tanzania kimziki est Africa 🌍 kwenye maendeleo yamziki🎉
"let pple call u a king,usijiite king"
Ati tupac anaua biggie ,biggie anaua nani??😂😂😂nipin na pedi wako bro😅
Smart guy
Big G.. Bien🔥🔥
Hii 254 sikosangi interview za bien na ohanga pekee
Weuh I think I need to meet you..or rather your advisor slips kiasi but salute….
Pesa ya saudi,Qatar, oman,iko juu kushinda dollar's na pound, siyo ati sasa warabu wanaweza nunua America yote ,
Wakenya na wa Tz mugombane nasi hapa RWANDA tujijenge,mtatuona wakati ujao.
😃😃😃😃 vitavya kunguru furaha ya panzi
@@eliyatolage6004 si kwa ubaya maze.
Wise man 🫡
Bien the bald head man akili SI nywele kweli,this guy is intelligent
Bien ni mjanjez.Respect to the man.
Kijana ya western 🎉🎉🎉🎉
Smart fella
Wisdom from Bien
Khaligraph ujizika kwa masanduku😂
😂😂😂😂 hajaambia OG poa
Kaligraph has done a great job, beef ibaki kimuziki
😅😅😅 straight on point
Yaani kila kitu tuko juuu❤😂
Bien is smart
Anaongea vizuri Yuko right huyu jama
😂😂😂😂kenya si walikua na yule Jaguar aliacha mziki. Kwani wanao wasanii wengine?
Ngoja kidogo ncheke😅
The realest
I like it
Kenyan rap is a one man show khaligraph akizikwa tunakuwa orphans kwa rap
fanya research
@@glenjojo1895 Deep wako but ni one even comes close
This was funny😂😂
Smart
The Guy ❤
Kali graph alichoma hakuna usanii wa kujisifu subiri usifiwe KUNA RAP HAT CHINA KUNA RAP HATA ARABIA
Wakenya Hata Kiswahili Hajui..😂😂
CMO's making artists in Kenya Get Disrespected... leaders ain't sssssshhhhh
BIEN ALL THE WAY
Hey @plugtv you should respect me because I'm the only tanzanian guy who watches and comment on your channel.
This English ni ya wakenya lol
How force you to watch
@@benardomare410
Are you trying to say Tanzanians can't speak English?!
You're completely wrong brother! Tanzanians speaks as good English as you. nglish is nothing than a language, you can learn and master it, just like your native language.
And yeah I am Tanzanian.
@@johnmshenga1998 what do you mean how?
Didn't get you asshole, kajifunze kwanza kiingereza ndio uje kubishana na mimi
Hii ndo English unayo? We say, Tanzanians speak not Tanzanians speaks okay?
Bien alikua ametema jaba saa hio,,wamgempea tumaji man😂😂😂😂
aww si wale mashoga 😅
Mali c the goal. Ni hiyo muziki venye imeimpact on pples livies
Wanaongea kana kwamba wamejitua mzigo.
Sasa mboya na story ya private jet ni nini hio sasa
PULLOOP,,,,,, UHUNYU ni nani?🤔.... All Facts Though
Kumbe Kigali ni noma manze !
Noma ju ya nini? Juu aliland uko na jet 😅😅acha kua fala
Hopehuyo sungurathe rabbit ameskia ...watu wamwite king ...si Yy ajiite
its easier for a Kenyan to accept reality than a TZ, WATZ never get out of their cacoon
This guy is tall..umeona vile anaangalia Eve,,kama kadudu
😂😂
Bro nyamaza tu maana tukianza kutaja wa TZ walioacha mziki tutakesha 😂😂😂
@@jamalmalik890 angalia sasa unaibisha watz...what does that have to do with my comment
Sauti solo wanahela kwa sababu wa nahilo lishoga Lina fanya ibada za kishetani 😅😅😅😅
Saut soal mnaongozwa Kwa ushoga na usenge.
Waandishi wa habari bhana yani hua wanataka ujibu tofauti na anavo kuuliza ili tu anachokitafuta Cha kuwachonganisha kiende salama ili atakapo kutana nae yule alie kushindanisha nae amwambie jinsi ulivomdis😂 any way dunia ya sasa tofauti na ya zaman watu wameweka tumbo mbeleee mbeleeeni kwanza😢
Mboya huuliza maswali haina miguu🤣
😂😂😂
TZ artists wako na doo kuzidi Kenya artists thou
Sasa 1000 kenyan shillings =17,000 Tanzanian shillings 😂😂
@@abigael1958 Huna akili
Tuko na pesa kuwashindaaa😂😂😂😂😂😂
Tuko na peace kuwashinda.. na hatuna njaa kama nyie.. sasa hio hela inawasaidia nini kama kuna njaa na fujo na kuandamana kila wakati..?? Alshabaab kuwashambulia
Pesa ya TZ haina value so mtu kama OG ama Bien ama Bahati akienda TZ na pesa yake atanunua hao musicians with their properties wote, so Kenya ndo kusema na TZ hawatuwezi kwa vyovyote vile
Do you think Forbes wanatumia ksh or Tsh katika kuweka takwimu za wasanii wenye pesa??
mi ni mkenya lakini value ya pesa hai define wealth ya country
Sio kweli hata Kama Pesa yenu inathamani lakini kuipata pesa kwenu nchi yenu ndio Kazi
Wasanii wenu wote wakenya hawamuwezi diamond Pesa
Pesa ya kenya ni dollar kwa watanzania 😂😂😂😂😂
Ati 2 pac anaua biggie ahaha
I think diamond owns rolls Royce,msanii mgani Kenya ako na dinga noma tucheki😂
Wasanii wa Kenya wanafanyia pesa zao ujenzi wa mansions si kununua rolls Royce alafu ujue pesa zao wakija uko Waneza nunua juu zitakua mingi
Sautl sol labda washinde wasanii wa kibongo kwa ushoga tu ila kipesa na kiuwezo uongo hawana kitu
Kwa sababu because 1m kenyan shillings is 17m Tanzanian shillings 😂😂😂
Kenya wana wasanii wa zee
Being ni kigeugeu
TZ hakuna rapper yuko juu, name one.
Ndio maana namkubali sana huyu jamaaa legend👏🏾👏🏾
Jealous sio mzuka ndugu wa kenya!...nyie mmetuzidi kwa kula mokokaa mwingi!...ilo tunalikubali!...kwenye mziki kaeni chini mtushangilie😂😂
Jealousy ni ww amesema upande wa rap sisi wakenya hatujuagi rap za Tanzania sisi, bongo tu na Bieng hajaongea kuhusu bongo ameongea kuhusu rap ama ujaelewa
Biff kila place unaeza thani tuko bama 😂
N ukwel bien
Hao majamaa mashoga wanasaka mabwana mitandaoni kwa nguvu
Hivi nyie waandishi mnawashwa nini na Tanzania? Mna matatizo mjue, dakika sita zote za mwanzo kwenye interview mmekazana kuuliza na kulinganisha uwezo wa wasanii wa kenya vs wa Tanzania. Huwezi kuta interview Tz wanauliza maswali ya ku-compare wasanii wao na wa kenya. Ucheni ushamba na hii inaonyesha dhahiri kuwa mnawashwa,mna wivu, mna chuki na hampendi maendeleo ya Tz.
Akuna chuki apo watu wanatafuta view wewe shinda apo😅😅😅
Wewe ukae ukijua kitu chochote kikitrend lazima maswali yaulizwe si chuki ni views mbona Hawa wakenya wenyewe kwa wenyewe hufanyiwa comparison yupi yuko mbele ya mwengine kimziki na hawalalamiki juu wamezoea, watanzania mnatakaga kubembelezwa kama mayai mnachukulea vitu person anzeni mazoefu haya😅😅😂😂 Alaaaah
*Personal
Guys this beef between TZ and KE has gone two far private jets really?
Khaligraph ni mtu wa masanduku😂😂
Hii imekua ujinga sasa