ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ndo mbunge pekee anaweza kutumia mb zangu 🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa ndugu yangu
Kiukweli jamaa ilitakiwa awe upinzani,point za msingi zote
Hapa safi
Huyu ni mbunge pekee anajua matatizo ya watanzania kwaundani zaidi yakutatua matatizo ya watanzania
Huyu jamaa anaewaza out of box.Very brilliant mind
Napenda sana point zako, sijui nini cha kufanya ili point zake zitekelezwe
The most important MP
Hao wanaocheka wanacheka nini,, huyu mzee hua ana akili sana
wat a leader
Huyu mzee anaongeaga point mwanzo mwisho
Jamaa huyu mzee kishimba aje kuwa mbunge wa bahi maana anajicho la mbali kuliko nolo
Prof Kishimba mzee wa mawazo ya nje ya box
Akili mingi sna huu mzee
Ofcoz mzee huwa anaguswa Sana na maisha ya watu mtaani,. Mzee anajua kwakweli
Sasa mbona huyu mzee ana mawazo mazrr lkn hayafnywi kz?
Anatufikirisha sana huyu,4 +ve change
Bungeni huwa namsikiliza huyu tu na wabunge kama wawili au watatu. Ana akili mingi na sio siasa za ovyo.
Huwa nafurahia sana huyu jamaa akiongea, bunge ni lake
Mungu tu ndio anajua wananchi shida tunazopitia wananchi 😢😢😢😢. Yaani wengine wameenda bungeni kucheka , na kunsizia , ama kupiga meza . Wanao tumia wazifa wao kupoteza mda na kula Mali ya Umma mungu amlaani
oooo
Anafaa kuteuliwa kuwa wzr wa kero
mtu mwenye akili , hekima na busara huwa anaongea sauti ya chini n kunyenyekea. Kishimba wewe ni kiongozi
asante kwa habari nzuri sana
Talk,change and decide✅
Akili kubwa sanaaa
Mungu akulinde mzee 😂
Mbunge wa kazi...sema!
Wampe hat uwazirii
Huyu Mzee ana point Sana aisee nilikuwa nampuuza kumbe lecturer hatari hivi.
Aachen ujingaa, hiyo waziri atalipwa hela gani?. Wananchi wansteseka yeye anaomba wizard ya upuuzi. Kashazeeka huyo Hana mawazo ya maana .😊
@@valenakomba9218 ni Upuuzi kushindwa kuendesha Wizara ya Upuuzi yenye waziri mpuuzi ili iondoe Upuuzi wa kupoteza zaidi ya tr 3 kipuuzi.
@@valenakomba9218 nimegundua wewe una chuki na huyu mzee kushauri acha roho mbaya upate amani ya moyo
Prof kishimba 🙌
Point
Tuyafanyie kazi.Hasa nyie.
😂😂😂😂😂😂😂😂 inachekesha ila ni funzo kubwa mno
ETI NAE NDO ANACHANGIA MWAXOO😂😂😂😂😂😂😊😊
Ndo mbunge pekee anaweza kutumia mb zangu 🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa ndugu yangu
Kiukweli jamaa ilitakiwa awe upinzani,point za msingi zote
Hapa safi
Huyu ni mbunge pekee anajua matatizo ya watanzania kwaundani zaidi yakutatua matatizo ya watanzania
Huyu jamaa anaewaza out of box.
Very brilliant mind
Napenda sana point zako, sijui nini cha kufanya ili point zake zitekelezwe
The
most important MP
Hao wanaocheka wanacheka nini,, huyu mzee hua ana akili sana
wat a leader
Huyu mzee anaongeaga point mwanzo mwisho
Jamaa huyu mzee kishimba aje kuwa mbunge wa bahi maana anajicho la mbali kuliko nolo
Prof Kishimba mzee wa mawazo ya nje ya box
Akili mingi sna huu mzee
Ofcoz mzee huwa anaguswa Sana na maisha ya watu mtaani,. Mzee anajua kwakweli
Sasa mbona huyu mzee ana mawazo mazrr lkn hayafnywi kz?
Anatufikirisha sana huyu,4 +ve
change