Dereva yuko sahihi, sehemu za kukatiza barabara za watembea kwa miguu ziko aina mbili, Pedestrian crossing na Pelican crossing (sifahamu kwa lugha yetu zinaitwaje). Pedestrian crossing kuna alama ya pundamilia ya kuvuka na hakuna taa za bababarani zinazozuia magari hapo, hivyo dereva anapaswa kusimama ili watembea kwa miguu wapite. Na Pelican crossing ni sehemu yenye pundamilia pia, lakini kuna taa za barabarani zinazosimamisha magari na huwaka taa za kijani kwa upande wa watembea kwa miguu kuruhusu wapite. Hivyo ikiwa upanda wa dereva imewaka kijani, upande wa watembea kwa miguu huwaka nyekundu, hapo watembea kwa miguu hawaruhusiwi kuvuka.
Hapo gongaaa mngemweka mama imma ningecheka sana aiseeh yule mwamba yule 🙌🙌😂😂😂
Hii nayo kali!
Kweli waenda kwa miguu wengi hawajui kuwa wanapaswa kusubiri taa ziwaruhusu .
😂😂😂masanja bhna
kwwahiyo ndo umeamua kuiba gari😅😅
Hiii video mbn ni ya mda sana ilikuwa wapii kuweka kwenye TH-cam
tunaanzia dstv kwanza
Ss gari limeibiwa af unalifukuzia kwa kutumia bicycle 😅😅😅
Kachanganyikiwa au
Dereva yuko sahihi, sehemu za kukatiza barabara za watembea kwa miguu ziko aina mbili, Pedestrian crossing na Pelican crossing (sifahamu kwa lugha yetu zinaitwaje). Pedestrian crossing kuna alama ya pundamilia ya kuvuka na hakuna taa za bababarani zinazozuia magari hapo, hivyo dereva anapaswa kusimama ili watembea kwa miguu wapite. Na Pelican crossing ni sehemu yenye pundamilia pia, lakini kuna taa za barabarani zinazosimamisha magari na huwaka taa za kijani kwa upande wa watembea kwa miguu kuruhusu wapite. Hivyo ikiwa upanda wa dereva imewaka kijani, upande wa watembea kwa miguu huwaka nyekundu, hapo watembea kwa miguu hawaruhusiwi kuvuka.
Vizur mungu akubarik kwa kutuchambulia
😂😂😂😂😂😂😂 daaaaaa
Ni fundisho
AINA HII YA VIJANA WANAMCHANGO MDG XNA KWENY ILI TAIFA
Gari za mkopo
Yakwako ambayo siyo yamkopo iko wapi ushuzi wa maharage wewe
Acha ushamba wanaigiza
Wanaigiza ww una sema galila mkopo
😂😂😂@@AndreaMtitu
Zingatia Gali za mkopo
😅😅..
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
😂😂