DIAMOND AMJIBU MARIOO MALALAMIKO YAKE AFUNGUKA SABABU YA KUACHIA WALEWALE YA ZUCHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

ความคิดเห็น • 46

  • @stevenchenga1978
    @stevenchenga1978 10 วันที่ผ่านมา +17

    Diamond alishajua tatizo ukishawasaidia tu madogo wanaanza dharau na kejeli..na sisi mashabiki zake tunapenda Mondi anavyowafanyia ivyo asaiv

    • @HERMENTTwigaoy
      @HERMENTTwigaoy 10 วันที่ผ่านมา +3

      Uo ni ukweli kabisa

    • @AminaTapwale-e5t
      @AminaTapwale-e5t 8 วันที่ผ่านมา

      Yeye ndo mungu au kila mbuz anakula kwa ulefu wa kamba yake aende asiende

    • @stevenchenga1978
      @stevenchenga1978 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@AminaTapwale-e5t kila msanii apambane na hali yake mambo ya kusubir kubebwa umeishaa

  • @daltontemboTv
    @daltontemboTv 7 วันที่ผ่านมา +3

    Good Channel Mwanang unaweza Unachambua vyema sanaaa kaka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @VishaStarx55officialmusic
    @VishaStarx55officialmusic 7 วันที่ผ่านมา +3

    BRO HAUNA BAYA

  • @itsOmmyd
    @itsOmmyd 9 วันที่ผ่านมา +2

    Oaa marioo pigaa musiki broo ngoma zishafikaa mjinii znatamba tu hukuu

  • @solomtz7049
    @solomtz7049 9 วันที่ผ่านมา +2

    Waaandishi Acheni fitina. Kuwagombanisha awa watu mnaweka. Mambo ya zamani kuwagombanisha watu tu😢😢😢

  • @errymusic1119
    @errymusic1119 10 วันที่ผ่านมา +8

    Alikiba mbona akwendaa😂😂 mna mtaja tu simba la masimba

    • @MenTPL
      @MenTPL 10 วันที่ผ่านมา

      Hapo sasa 😂😂 hawana cha kuongea

    • @TishaniUlanga-bj3nx
      @TishaniUlanga-bj3nx 7 วันที่ผ่านมา

      Kiba hana impact,hata asipo kuwepo sawa tu

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 10 วันที่ผ่านมา +8

    Nyingi ndio wachonganishi

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nyota ya simba ni kaliiiii sn sbb kutwa simba sio lxm kila.mahali aende

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 7 วันที่ผ่านมา +1

    Siyo Platnamzii😅

  • @JonsonOsward
    @JonsonOsward 9 วันที่ผ่านมา +1

    Du noma san

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 7 วันที่ผ่านมา

    Mnamlaumu sana Diamond hebu muacheni hakuwa na nafasi msiba wa dada best tu alikuwa marekani sijui sasa itakuwa kwa Mario hivi usipoenda kwa Diamond utamsumbua nini

  • @HalifaRashidi-b3d
    @HalifaRashidi-b3d 2 วันที่ผ่านมา

    acha izo cadi broo mbna wakifanya wao uwa amusemi marioo mbona kwenye wasafi festve akuwepo kama kamaindi iyo kwake awezi kumzima mondi kwa lawama

  • @stevenchenga1978
    @stevenchenga1978 10 วันที่ผ่านมา +2

    Asaiv kila mtu apambane na hali yake mambo ya kubebanabebana ndo mwanzo wa dharau badae kama Harmo tu

  • @SalumKasala-lk1vv
    @SalumKasala-lk1vv 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani ni razima Simba kwenda mbona mume wenu alikiba hajaenda kwendeni huko wachonganishi nyie mondi anakijiji aache kwenda aone Kama atampita Simba la masimba dangote ni mwamba

  • @esikingamrperfume1997
    @esikingamrperfume1997 10 วันที่ผ่านมา +2

    Hayo mambo ya kitambo mbona mnafeki headlines 😢

  • @OscarChars
    @OscarChars 7 วันที่ผ่านมา

    Nyie ni wachanish two wandish hata ni bos wake lakn siy lazm kwenda mondii kikubwa dua na albam inatrend

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 7 วันที่ผ่านมา

    Keki ya taifa nikubwa achakulalamika marioo

  • @vitukouswahilini-q2r
    @vitukouswahilini-q2r วันที่ผ่านมา

    Mario sura mbaya kama harmo rapper

  • @cosmikerevocatus4338
    @cosmikerevocatus4338 5 วันที่ผ่านมา

    Wew mchonganishi

  • @vitukouswahilini-q2r
    @vitukouswahilini-q2r วันที่ผ่านมา

    Muje na kwangu munisapoti

  • @RamaKuminya-p8v
    @RamaKuminya-p8v 7 วันที่ผ่านมา

    Acheni uchoko nyinyi wandishi mnapend unafiki sana yani kwenu kwann kila kitu daimond kam vile mmeheno unatuboa wandixhi

  • @SalumKasala-lk1vv
    @SalumKasala-lk1vv 8 วันที่ผ่านมา

    Mario ni mtoto tu avujge Mambo mazuri hayataki moto

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 8 วันที่ผ่านมา

      Mario yupo peace sana wewe mtoto wa Temeke huyo katoka kwenye dhiki ana noma na mtu hawa waandishi tu ndio wanajitungia mambo kichonganishi,,,,Marioo alisema akialikwa atakwenda 'Alhamdulilah nikiwa na mda lazima niende sina ugomvi na mtu

  • @shamamamalisa6513
    @shamamamalisa6513 5 วันที่ผ่านมา

    We mwandishi nahisi unashida kichwani mwako hujui unaongea nini pande zote mbili

  • @Daplatinum773
    @Daplatinum773 9 วันที่ผ่านมา

    Msipendee kumuonea diamond marioo yule anadharau ndio maana hawaelewani na chino

  • @DavinKhanKe
    @DavinKhanKe 9 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi n wachonganyishi

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 7 วันที่ผ่านมา

    Mwanzo mbona aliombwa aingie wbc akakataa sasa imekuwaje waswahili nyie

  • @HdhdhdhdhJdhdhd-o6c
    @HdhdhdhdhJdhdhd-o6c 9 วันที่ผ่านมา

    daimondi Kuma tu ata yeye alisaidiwa akuna anae simama peke yake ndo maisha

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 9 วันที่ผ่านมา

      Diamond anauma sana ndio maana unaongea kwa uchungu

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 5 วันที่ผ่านมา

      Hacha mitusi mwamba huweleweki bila kutukana

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 10 วันที่ผ่านมา

    Mwambino muongo mwanzo alisema alienda ofisini Leo nyumbani teaming nini?🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

  • @alanoudalseari7208
    @alanoudalseari7208 10 วันที่ผ่านมา +1

    anawivu chuki binassi ndani ya moyowake

  • @starvoh247Ally-i4m
    @starvoh247Ally-i4m 9 วันที่ผ่านมา

    Jamen kwani alikiba alienda ama mnatafta kiki

  • @starvoh247Ally-i4m
    @starvoh247Ally-i4m 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani zuchu alienda band je jux je acha mambo yenu

  • @SamirahOmary-c6e
    @SamirahOmary-c6e 7 วันที่ผ่านมา

    Oyaa mnazngua mnazngua sana angalia hizo nywele za chibu sio za sasa alafu hii clip ni ya kipindi kile marioo aliomba diamond amsaini Wcb uyu mtangazaji anatuona sisi machoko wakati mshikaji mwenyew ukimuangalia tu unajua jamaa mshamba

  • @AhmadZumba-p2z
    @AhmadZumba-p2z 5 วันที่ผ่านมา

    Mbona kama wewe ndo unataka kutengeneza tension mzee.... Alafu kumbuka Hao ni wasanii wa label mbili tofauti... Nakubariana Na huyo jamaa alo comment hapo juu kuwa nyie waandishi ndo mnaochochea mabifu ya kipumbavu baina ya wasanii ili kuzipa uhai media zenu... Kwani diamond hajawahi kwenda kwenye event yoyote ya marioo? Tuache utoto bro...

  • @EnzokiddGospeldancer
    @EnzokiddGospeldancer 9 วันที่ผ่านมา

    Munaocomment nyote makuma

  • @MenTPL
    @MenTPL 10 วันที่ผ่านมา

    Afu ninyi warangazaji mpo fake sana,
    Ninyi ni wachonganishi