Ujumbe Huu WA POLISI WATIKISA KIFO CHA MZEE ALI KIBAO | WATAKA WANAOJUA WAHUSIKA WAFIKE POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @VicentTarra
    @VicentTarra 8 วันที่ผ่านมา +10

    Hivi wanaofanya haya ni akina nani? Na Kwa nini ni kwa viongozi wa chadema tu? Mbñ hatusikii mtu wa ccm akipotea?

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 8 วันที่ผ่านมา +5

    Samia samia samia dam hiz zinakulilia utaishi milele wewe tumalize wote ubak wewe na wat wako

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 8 วันที่ผ่านมา +7

    Pia mhe.raisi tunaomba umfute kazi waziri wa mambo ya ndani na wambura wafute kazi mara moja

    • @norahfrank
      @norahfrank 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa.hawana maana yeyote kwa wananchi wa Tanzania. Haijawahi kutokea

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 8 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi naungana niwatanzania wengine kumtaka waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa jeshi la polisi wajiuzulu mara moja

  • @jumatajiri585
    @jumatajiri585 8 วันที่ผ่านมา +2

    Serikali ifuatilie mauwaji tz ni kikundi kikubwa sana lakini mungu ataleta maajabu wauwaji watapatikana

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hilo faili litapelekwa halafu litawekwa uvunguni, halafu maisha mengine yanaendelea, imeisha hiyo

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mi naomba serikal ituuzie siraha kwa ajiri ya kujilinda yaan Tanzania yetu sasa ishakuwa Tanzia

  • @MarseliJumasia
    @MarseliJumasia 7 วันที่ผ่านมา +1

    Je jambazi angia kwenye basi na kututeka tutajuaje jambazi na polisi kwa Hali hii

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 7 วันที่ผ่านมา +1

    tanzania eti.nnchi.ya.amani.hii.amani.iko.wapi.ipo.siku.mungu.atasikia.kilio.chetu.tunaumia.sana.mama nnchi.imemshinda.wangekuwani.ndugu.zake.yeye.angejisikiaje?

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukwel inaumiza sana kama vitendo hivi vikiendelea wananch tutaingilia kati sasa

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona ni wengi wamekwishapotea ,uchunguzi wa hao wengine unaanza lini ?Mungu atawalipa wote wenye hizo njama mchana kweupe

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 8 วันที่ผ่านมา +1

    Halafu utasikua mijitu mingine bado utakuta inasema mnaichafua serikali ya mama

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wangap wamepotea na uchunguz Gani mlotujuza wananch wenye mantiki kwa Watanzania.

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa nini chadema tu😱 mbona ccm hata mmoja habuguziwi!? Basi wafuteni chadema kwa nini mnapata tabu

  • @OscarBethel
    @OscarBethel 7 วันที่ผ่านมา +1

    Bado mtatuuwa sana hatunyamazi msitunyamazishe kwa kutuuwa nyie mtaishi milele

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi pekee yangu naona kama hyu rais naye hawezi kuwaangalia watanzania 😢kwasababu hajachaguliwa ndio maana hawawezi kuingoza nchi 😢😢😢

  • @lugemalilajakobo2697
    @lugemalilajakobo2697 7 วันที่ผ่านมา +1

    Haya matukio hatuta yafumbia macho raisi atwereze

  • @umbopaday
    @umbopaday 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hao ni wale walio kwenda kusomea upelelezi nchini Israeli

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 7 วันที่ผ่านมา +1

    Bahati mbaya sheria nyingi ha sheria za ugaidi zilitungwa wakati bunge lilisheheni wabunge wa upinzani hasa kwa sababu zililenga waislam watu hawakujali bila kufiria Athari zake hasa wakati wa utekelezajik utekelezaji

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 8 วันที่ผ่านมา +1

    Masauni jiuzulu hufai nenda kwenu Vikokotoni zanzibar unwe
    UJI WA TAAPU

  • @ClementMercelli
    @ClementMercelli 7 วันที่ผ่านมา

    Polisi wanasema mwenye habari kama ni wao au TISS wanaenda kuripoti bungeni?

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 7 วันที่ผ่านมา

    Police wetu wanachekesha sana kwakweli,

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 7 วันที่ผ่านมา

    So sad 😢😢

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 7 วันที่ผ่านมา

    Ingieni barabarani kama kweli munaweza wakrnya wanaweza ndio maana south Afrika rais anafungu 😢😢😢😢 Tanzania damu za watu zitawalaani😢😢

  • @AugustinoSirong-eo3yj
    @AugustinoSirong-eo3yj 7 วันที่ผ่านมา

    Haya matukio yamezidi.
    Watanzania hali tete, polisi wala hawaonyeshi joto la kuchukua hatua kali, serikali ina maneno ya mzaha, bunge linapiga porojo, duh! Ni hatari

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 7 วันที่ผ่านมา

    Nan analiamini jeshi hili la Police la Tanzania?

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kujiuliza ni ccm na selikali ninyi mnaotelekeleza mauaji haya kumbukeni kuwa mnaweza kutuchezea cc lakini mungu hachezewi Mungu anawaona na nasikitika kuwa kwamba mtawabambikiza watu wasio na atia ila mungu wa majeshi atawakamata Mungu atawakamata tu

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj 6 วันที่ผ่านมา

    Tuseme wakija watu wenye silaha na pingu ambao hawana unifom tukabiliane nao? Police msitutanie haya mambo mnayajua

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 7 วันที่ผ่านมา

    Nan anaweza kujipeleka kwa polisi ,yaan polis siwez waamini

  • @leomika8473
    @leomika8473 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona akiuwawa mtu wakawaida polis uwasaka nakuwakamata waharifu kwanini wanaotekwa na kuuwawa ususa ni vyama vya upinzan wausika hawakamatwi Kuna kitu nyuma

  • @DorkasKamau
    @DorkasKamau 7 วันที่ผ่านมา

    What is going on in our nation our police are very weak

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 8 วันที่ผ่านมา +1

    RIP smen

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 7 วันที่ผ่านมา

    Hii

  • @GjkKessy
    @GjkKessy 7 วันที่ผ่านมา

    Hii tz ni nchi ya ajabu kuwahi kuwepo katika ulimwengu huu, Kwa matukio haya ya utekaji wa watu na mauwaji hakutazuia Nia ya watanzania kuhitaji mabadiliko , ni aibu kusema taifa Lina amani wakati damu ya vijana inamwagika bila sababu: damu ya vijana Hawa ikae juu yenu na familia zenu vizazi hata vizazi

  • @Hemedmikole-r9e
    @Hemedmikole-r9e 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna alie salama inaskitisha

  • @norobo205
    @norobo205 7 วันที่ผ่านมา

    Nan anawalipa hao watekaji?

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 7 วันที่ผ่านมา

    Waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa polisi wafutwe kazi halafu washitakiwe

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna damu itaenda bureee nyie jifanyeni mnachunguza ila damu damu damu haita waacha salama mtakufa vifo vya ghafla iwe ajali au presha Mungu sio mwanadam hata muhonge subirini time will tell

  • @ngwilaemmanuel
    @ngwilaemmanuel 7 วันที่ผ่านมา

    Tola lini mwiz ajichunguze

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 8 วันที่ผ่านมา

    Mtakufa hata kwa ajali tu tutapiga maombi yakila namna hadi mungu asikie kama mtaumaliza huu mwaka nyie ueni kwa upanga

  • @EVALSTIGNONDOA
    @EVALSTIGNONDOA 7 วันที่ผ่านมา

    wambula hafai wala masaun

  • @RobertMshiko
    @RobertMshiko 8 วันที่ผ่านมา

    Subirini kidogo wataenda kukamata walevi na vijiweni ili kuwasingizia

  • @johanneskallya364
    @johanneskallya364 8 วันที่ผ่านมา

    Huu ni ujinga si siku zote mnsema hiyo ni kazi ya kiweledi?,inasikitisha sana maana mlipewa taarifa za kutekwa mapema hamkufanya kitu sasa mnakuja na hoja dhaifu

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 7 วันที่ผ่านมา

    Wapuuz nyie. Kwa Lisu Nini uchunguz wenu na pale kulikuwa na ulinz na kamera. Nani along,oa kamera. Yaaan mnawatia hasra tu wananch

  • @RobertMshiko
    @RobertMshiko 8 วันที่ผ่านมา

    Upelelezi si wenu nani aje naye mmteke? Police ipo siku mtayakumbuka yakiwafika shingoni hata Kenya ilikua hivyo

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 8 วันที่ผ่านมา

    Nchi gani hii watu wanatekwa mchana kweupe na kupatikana wameuwawa mbona hakuna w CCM ALIYEPOTEA AU KUTEKWA NA KUUWAWA SERIKALI INJIIAIBISHA NA KUJIPAKA MATOPE AIBU KUBWA ETI AMANI NA UTLIVU MHE RAIS USITWEET HUTUBIA TAIFA TUKUSIKIE WEWE UMEBEBA DHAMANA YA NCHI HII

  • @user-qy6kt5bb2w
    @user-qy6kt5bb2w 7 วันที่ผ่านมา

    Samiya ni muhuwaja kwataifa yetu

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 6 วันที่ผ่านมา

    Majibu ya watu wajinga wanao tupia police na waziri wa mambo ya ndani huwezi kutupia mtu kabla ya kusubiri matokeo ya uchunguzi

  • @hassanirajabu9191
    @hassanirajabu9191 7 วันที่ผ่านมา

    Waraka was polisi sijauelewa rais samia toa kauli usisubiri waTZ waseme tumechoka

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 8 วันที่ผ่านมา

    WAUAJI NI MAPOLISI NA USALAMA WATAIFA, NA HAO HAO NDIO WACHUNGUZI? SAMIA NA SEREKALI YAKE MLAANIWEEE

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 8 วันที่ผ่านมา

    Hapo sio uchunguzi upatikani kinachotakiwa masauni ajiuzuru na mkuu wa jeshi la polisi wajiuzuri ili wote wameshindwa kazi

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 8 วันที่ผ่านมา

    Nchi imekuwa kama hakuna serikali mwingine anaamka tu anafuta Tarafa ya ngorongoro wale wenyeji waende wapi wapi?

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 8 วันที่ผ่านมา

    Hivi shida ni ninimvona ccmhawapotei wasiojulikana vipi wakati wamemshushà kwenye basi live watu wanaoa sawa munguyupo

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 8 วันที่ผ่านมา

    Hili swala la kutekwa serikali inajuwa acheni kutuletea Malocha picha mnajuwa kila kitu Mungu atatenda damu hizo mnazo mwaga kisa ccm ubaki madarakani Huwo sio utawala halali polisi mnastahilib lawama pingu bunduki mpaka kwenye basi eti mnachunguza spika ulikataa kujadili haya sasa hilo limetokea tuambie kinacho hili nalo unasikia wala kuona raisi wako katatowa tamko wewe je

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 8 วันที่ผ่านมา

    Nyie polisi iposiku yenu

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 8 วันที่ผ่านมา

    Mayoooo alisema nchi ipo salama

    • @user-jh4hg2ev9s
      @user-jh4hg2ev9s 8 วันที่ผ่านมา

      Inategemea maana yao ya nchi ni nini na nani.

  • @YahayaKishakwi-q7b
    @YahayaKishakwi-q7b 8 วันที่ผ่านมา

    Wale walio sema mbowe me mfanya nini

  • @DanielNdahani-n6i
    @DanielNdahani-n6i 8 วันที่ผ่านมา

    Polis hamnachochote

  • @musamhaya5319
    @musamhaya5319 8 วันที่ผ่านมา

    IGP na mkurugenzi wa usalama achieving ngazi haraka na mkamatwe kunyongwa

  • @AliceShao-k3n
    @AliceShao-k3n 8 วันที่ผ่านมา

    𝔐𝔲𝔫𝔥𝔲 𝔞𝔱𝔞𝔴𝔞𝔩𝔞𝔞𝔫𝔦

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 8 วันที่ผ่านมา +2

    Yaweza kuwa polisi hawahusiki na hawajui chochote but kuna watu nyuma yao wanachafua sifa ya jeshi la polisi

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 8 วันที่ผ่านมา +1

      Una maana gani? Au wewe unaweza kumteka na kumwangamiza mwanao au nguduyo na ukawa hujafanya kosa la jinai kwa kuwa uliyemfanyia ni halali yako?!? 😮😮

  • @LevinaAloyce-g7h
    @LevinaAloyce-g7h 7 วันที่ผ่านมา

    Siasa bwana kama ni kweli polis mnafanya haya mungu awaangamiz,kama mna siasa za marekan umsakizie mbwa huy ni mwiz kumb unataka kumwondoa ili uibe we naw mungu akuangamiz, jamaa hakutaka ukamanda kwa gadaf

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 7 วันที่ผ่านมา

    ALI HASSAN MWINYI
    ALIOMBA
    KUJIUZULU UWAZIRI
    Kabla ya kuwa Rais Waziri Ali Hassan alijiuzulu kwa Mauwaji ya Shinyanga.