Ni kweli kabisa Benjamin,wanawake huona mengi na wanavumilia ,wanaume wakitoka nje ya ndoa wanasingizia vitu zenye hakuna,Mara oh analala Kama mbao Mara ni mchafu
Nikweli wanawake tunavumilia sana sababu tunapenda. Nje anawanawake kama wote, sababu nikipato. Huko nje aaudumi vizuri sana, kwako akwambia akutafutia. Pia kuna wanawake wasiku hizi hushika waume kwa dawa za kimapenzi, nakumfanya atekeleze nyumba yake. Haya yako sana
Siwaona hakuna dini hapa kwani kma mwanaume Hana time na ww ndio umeambiwa uende nje Kwa nn usimwambie niache mm niende zangu ukaolewe na mwanaume mwengine why uende ukazini nje ushetani huo pande zote mbili Kwa mume na mke that is the reason hatuogopi mungu hatuna dini
Hichi kipindi nicha nn haswaa itakua vp mko hapo watangazaji wawili wakislam ikawa mnapewa point amabazo hazina maana na mnaona hapo kosa ni ukosefu wa dini na kukuogopa mungu Hilo haamtaki coz dunia imewasawqza nyote mungu atuongoze
Ndio palle mungu akaweka sheria tuoe zaidi ya mmoja mpaka wa nne ila wachristo mkadanganywa na walio andika bibilia zao mpya sahii mkambiwa ati mke moja bc Hilo kapingana na munngu kabisa mwanaume ameumbwa kua hatosheki na mmoja bt uoe sio kuenda kuzini nje kuleta na ukimwi bure Ila ukioa utafuata Sheria mzuri tuu
@@andallaathman3856 Absolutely wrong..Hio ilikua sheria ya Musa pekee sio from God because of the rebelliousness of of israelites then otherwise God created one man and one woman.
@@cikuciku2355 ww hufuati Sheria hata ya mungu ati Musa hata hio bibble pia hamufuati Ibrahim alioa wangapi ? Kma ni Musa na mungu akitoa kitu kwetu Sisi hua ajua kuna madhara kwetu yy atupenda ndio akautupa nafasi kuoa Hadi wa nne ukiwa na uwezo sio lazima bt sahii wapinga oooh kisha hukai na mkeo pekeake Una vishangingi nje yandoa waziini siwaona ukishtuka wamletea ukimwi na maradhi mengine mkeo ambae Hana kosa hio ndio mola akutuppa nafasi na ukipiga hisabu Leo Kenya tuu wanawake wako mara tatu yetu kila mtu abaki na mmoja tuu hao wengine waende wapi wasagane sio ? Fikiria kitu mwanzo Kwa nn mungu aseme hivyo nyinyi hamufuati hata bibilia ndio shida bc msioe kabisaa kma yesu yy hakuoa na ww huoi nop alisema owani sahii ati mafather hawaoi wao Hilo nikosa hebu fikiria mwanaume alotimia kikweli yuwala vizuri kisha uchanganyike na masister kanisani ama majumbani huko kisha huna mke ghai crsly jameni ?
@@andallaathman3856 Original plan of God was creation of Adam and Eve period...Ni wapi Bible inacelebrate the so called concubines?? No where actually they are just mentioned and then the bible goes silent meaning God will never recognize the so called polygamous marriage. The most celebrated women in the bible and forever will are Sarah,Hannah, these are Legal wives so hio sheria yako ya wake wengi is out of your and majority of men lust of their flesh...And again it's not a must for one to marry or get married Paul the apostle alisema hata mtu adipooa/ olewa it's better for they avoid mashida that goes through marriage and such a person attention take yote utakuwa 100% committed to God...Were the 12 apostles of God married? Were the ancient Prophets of God married when God called them?? I bet you know the answer. Mimi si mkatoliki koz there they worship idols and they don't preach the truth. Ati Abraham alioa wangapi?? And why is it that only Isaac is forever praised?? Please stop ignorance juu you want to satisfy your flesh ok!!!
@@cikuciku2355 ndio kakwambia ww husomi bibilia hio shida yenu kabisa coz Ibrahim alikua rafiki ya mungu katika viumbe vyote alikua na watu wacha saraha kitura nae wa tatu na Paul yy alisema msio kabisa haswaa Kwa sababu yy hakuoa ndio maana na wanasaikolijia wanasema alikua ni mpungufu wa nguvu zakiume hao hao wachristo kma kweli ww wafuata Bible kikweli waisoma bc usioe kaa hivyo na usizini tuone kma utaeza we wacheza na mungu nyinyi mmekufuru hamufuati yesu wala mungu just following mandishi mliogeuziwa na wazungu hio waliowaongezea kachumbari na kupunguza sasa njia ya Sawa hamuoni kabisa naushindani hata lugha ya yesu huijui wala ya Ibrahim wala ya Musa wasoma tafsiri jifikirie huezi pata tafsiri vilivyo huoni Bubble haina lugha yake original jiulize hiloo swali
Nahuyo mwanamke alijua wapi kua huyu mume haezi kazi haezi mapenzi kma hakua ni mtu aiasha tembea na watu karibu wote amejua machine zote kisha wtaka atulie kwako nop mbona mama zetu wa zamani wamekaa na Hadi kuzikana ndani ya ndoa Kwa sababu akiamka mama hakuona mwanaume mwengine ispokua yy tuu atakae muoa sasa hajui Jambo lengine lolote ajua lile afanyalo mumeo ndio Bora hakuna kitu kingine bt ila wazururaji
Mbona ukweli ikitoka kwa mdomo ya mwanaume kila mwanaume anaanza kusema Zulu anaongea prrrrrrrrrrh hehe waaa naona ni vile anatoboa siri zenu za ndani Zulu sema kabisa
Zote hizo ni sababu zakijinga hizo kwani mungu aliporuhusu zzaidi ya mmoja nikua ana hikma yake ajua kua hatuuezi kaa na mke moja that is the reason ww wapiga kelele tuu bure hatuogopi mungu ndio shida
Ni kweli kabisa Benjamin,wanawake huona mengi na wanavumilia ,wanaume wakitoka nje ya ndoa wanasingizia vitu zenye hakuna,Mara oh analala Kama mbao Mara ni mchafu
Huyu Benjamin ako sawa kabisaaaaa
Zulu shinning kama kawaida.I love advice za this man
Napenda advice za Zulu Sana..
Thanks for your advice Lulu, Rashid, Benj3, binsafari.
4444444444444444444444444444
4444444444444444444444
55554454555555554
44444
Maudhui mazuri kwa mama Bimsafwari na Zulu hongerni
Nikweli wanawake tunavumilia sana sababu tunapenda. Nje anawanawake kama wote, sababu nikipato. Huko nje aaudumi vizuri sana, kwako akwambia akutafutia. Pia kuna wanawake wasiku hizi hushika waume kwa dawa za kimapenzi, nakumfanya atekeleze nyumba yake. Haya yako sana
Lulu amepigwa na kibaridi aje baada ya Rashid kuuliza swali ya kuja na style mpya😂😂😂🤣🤣
Nakipenda kipindi chenu lakini tafadhali mtafuteni mwanaume mwingine (Benjamin ni .......... hana mawaidha tosha) wanawake wako 👌
Benjamin I agree with you on serial cheating characters being faithful is intentional
Siwaona hakuna dini hapa kwani kma mwanaume Hana time na ww ndio umeambiwa uende nje Kwa nn usimwambie niache mm niende zangu ukaolewe na mwanaume mwengine why uende ukazini nje ushetani huo pande zote mbili Kwa mume na mke that is the reason hatuogopi mungu hatuna dini
Napenda swali la lulu
Benjamin ako Sawa na mafunzo yake,nimependa.,,,mume akosi vijisababu ndo acheze niche.
Communication is the key in marriage /relationship
Benjamin unammaliza Rashid na kicheko 😂😂😂
Nkweli kabsa
I love Benjamin, mafunzo yake iko Sawa. Bi mswafari advocates slavery
HAKI MNASAIDIA WATU SANA HUKU NJE WATU WANAUMIA SANA NDOA ZINAFUNJIKA SHETANI NI MUONGO.
Zuluuuuuu🎉🎉🎉🎉
Hichi kipindi nicha nn haswaa itakua vp mko hapo watangazaji wawili wakislam ikawa mnapewa point amabazo hazina maana na mnaona hapo kosa ni ukosefu wa dini na kukuogopa mungu Hilo haamtaki coz dunia imewasawqza nyote mungu atuongoze
I don't want to get married period by Steve Irungu Jermaine
Hiki kipindi yafurahisha kweli. Mafunzo timam!
Marriage to hell I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
This Guy know too much, wanaume hawatosheki
Ndio palle mungu akaweka sheria tuoe zaidi ya mmoja mpaka wa nne ila wachristo mkadanganywa na walio andika bibilia zao mpya sahii mkambiwa ati mke moja bc Hilo kapingana na munngu kabisa mwanaume ameumbwa kua hatosheki na mmoja bt uoe sio kuenda kuzini nje kuleta na ukimwi bure Ila ukioa utafuata Sheria mzuri tuu
@@andallaathman3856 Absolutely wrong..Hio ilikua sheria ya Musa pekee sio from God because of the rebelliousness of of israelites then otherwise God created one man and one woman.
@@cikuciku2355 ww hufuati Sheria hata ya mungu ati Musa hata hio bibble pia hamufuati Ibrahim alioa wangapi ? Kma ni Musa na mungu akitoa kitu kwetu Sisi hua ajua kuna madhara kwetu yy atupenda ndio akautupa nafasi kuoa Hadi wa nne ukiwa na uwezo sio lazima bt sahii wapinga oooh kisha hukai na mkeo pekeake Una vishangingi nje yandoa waziini siwaona ukishtuka wamletea ukimwi na maradhi mengine mkeo ambae Hana kosa hio ndio mola akutuppa nafasi na ukipiga hisabu Leo Kenya tuu wanawake wako mara tatu yetu kila mtu abaki na mmoja tuu hao wengine waende wapi wasagane sio ? Fikiria kitu mwanzo Kwa nn mungu aseme hivyo nyinyi hamufuati hata bibilia ndio shida bc msioe kabisaa kma yesu yy hakuoa na ww huoi nop alisema owani sahii ati mafather hawaoi wao Hilo nikosa hebu fikiria mwanaume alotimia kikweli yuwala vizuri kisha uchanganyike na masister kanisani ama majumbani huko kisha huna mke ghai crsly jameni ?
@@andallaathman3856 Original plan of God was creation of Adam and Eve period...Ni wapi Bible inacelebrate the so called concubines?? No where actually they are just mentioned and then the bible goes silent meaning God will never recognize the so called polygamous marriage. The most celebrated women in the bible and forever will are Sarah,Hannah, these are Legal wives so hio sheria yako ya wake wengi is out of your and majority of men lust of their flesh...And again it's not a must for one to marry or get married Paul the apostle alisema hata mtu adipooa/ olewa it's better for they avoid mashida that goes through marriage and such a person attention take yote utakuwa 100% committed to God...Were the 12 apostles of God married?
Were the ancient Prophets of God married when God called them?? I bet you know the answer. Mimi si mkatoliki koz there they worship idols and they don't preach the truth. Ati Abraham alioa wangapi?? And why is it that only Isaac is forever praised?? Please stop ignorance juu you want to satisfy your flesh ok!!!
@@cikuciku2355 ndio kakwambia ww husomi bibilia hio shida yenu kabisa coz Ibrahim alikua rafiki ya mungu katika viumbe vyote alikua na watu wacha saraha kitura nae wa tatu na Paul yy alisema msio kabisa haswaa Kwa sababu yy hakuoa ndio maana na wanasaikolijia wanasema alikua ni mpungufu wa nguvu zakiume hao hao wachristo kma kweli ww wafuata Bible kikweli waisoma bc usioe kaa hivyo na usizini tuone kma utaeza we wacheza na mungu nyinyi mmekufuru hamufuati yesu wala mungu just following mandishi mliogeuziwa na wazungu hio waliowaongezea kachumbari na kupunguza sasa njia ya Sawa hamuoni kabisa naushindani hata lugha ya yesu huijui wala ya Ibrahim wala ya Musa wasoma tafsiri jifikirie huezi pata tafsiri vilivyo huoni Bubble haina lugha yake original jiulize hiloo swali
Huyu nzulu ni Kama ambulance no break waa
nikweli
Mwanaume niyule yule utamfanyia kilakitu lkn atatokaa hayaaa hapo kwasautii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lulu swali xuri sana sauti yasukari
Hahaha tia bidii kweli lkn hapo bi msafwari kasema kweli unaezakuwa namke kilakitu lkn mwanaumee ataachaa kabati yanguo ataenda kulala kwamwanamke nyumba nguo juu yakambaa wanaume bn
😅😅😅Inawashwa km jeneleta
Hawa wanaume wa Kenya wanahitaji counseling kabisa mnakata ushauri lakini ndoa zinavunjika at an alarming rate
Nahuyo mwanamke alijua wapi kua huyu mume haezi kazi haezi mapenzi kma hakua ni mtu aiasha tembea na watu karibu wote amejua machine zote kisha wtaka atulie kwako nop mbona mama zetu wa zamani wamekaa na Hadi kuzikana ndani ya ndoa Kwa sababu akiamka mama hakuona mwanaume mwengine ispokua yy tuu atakae muoa sasa hajui Jambo lengine lolote ajua lile afanyalo mumeo ndio Bora hakuna kitu kingine bt ila wazururaji
Mapenzi nikama musimo yamatunda uwa yanakujiya kwa wakati wake mengine jaza wewe lakini hatuna budi
Sisi wanaume tuliubwa na matamanio ya wanawake .
Ukikosa mshipa lazima utatoka inje.
Kitu kichangiacho nishetani na ukosefu wa kuwa na dini nakutoogopa mungu khalas hakuna kingine na tabia ya mtu alio lelewa bc
I feel like this jama nzulu hananga break anaogea prerrrrrrr kama cartoon wa kariobangi
😂😂 U have made my 9t
Jesooooo,,,mbona
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona buda😂😂😂😂😂
Mbona ukweli ikitoka kwa mdomo ya mwanaume kila mwanaume anaanza kusema Zulu anaongea prrrrrrrrrrh hehe waaa naona ni vile anatoboa siri zenu za ndani Zulu sema kabisa
Zote hizo ni sababu zakijinga hizo kwani mungu aliporuhusu zzaidi ya mmoja nikua ana hikma yake ajua kua hatuuezi kaa na mke moja that is the reason ww wapiga kelele tuu bure hatuogopi mungu ndio shida
Naona ni kama hauwaelewi,, hata ukawa na hao wanne, wengine bado hulala nje.
Ukipewa hao wanne, utakana mabinti wengine wote ukae utulie?