GENIUS X66: S2KIZY, USIIGE NA WEWE, MIMI SI MBONGO, AJIBU KULIPWA MAMILION NA JAY MELODY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • GENIUS X66: S2KIZY, USIIGE NA WEWE, MIMI SI MBONGO, AJIBU KULIPWA MAMILION NA JAY MELODY

ความคิดเห็น • 25

  • @DjissarHtown
    @DjissarHtown 2 หลายเดือนก่อน

    I’ve been watching this kid aisee ni super talent trust me utafika mbali sanaa proud of you

  • @SwifraKitemwe
    @SwifraKitemwe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Geniusjin ×66

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu makiniii😅😅

  • @jamaaafrikatv6590
    @jamaaafrikatv6590 3 หลายเดือนก่อน +1

    Danzo Tabata boi, mtoto wa kanisani, kiongozi wa viwawa 😂, unatisha SANA Kaka, ithinking it's your time, keep up man

  • @IssaCheka-eu1sk
    @IssaCheka-eu1sk หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mbongo kwao kilimatinde wilaya ya MANYONI

  • @Pemba680
    @Pemba680 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa mkali sana

  • @Avibrtz
    @Avibrtz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania tunahuruma sana hawa akina Genius si wakenya tunajua ila tumewapa ustar 😢 ila ingekuwa wakwetu kupata TU hii interview nikisanga

    • @chuchufplatnumz4888
      @chuchufplatnumz4888 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ubaguzi ndugu. Wako ndugu zetu WA kibongo wengi Tu wanaopata Kenya. Mr Nice mpka leo Maisha bomba kuptia Kenya, Fredrick Muller ndugu yko kbsa WA Morogoro yko anafanya mziki Safi Tu, hkohko Kenya.

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@chuchufplatnumz4888syo ubaguz kaongea ukwel tz inaupendo wa pekee

    • @cristaezekiel1036
      @cristaezekiel1036 2 หลายเดือนก่อน

      Ebu imba wewe tukuone 😂😂😂😂ww si mtz?ebu imba huku tz tukuone 😂😂😂😂
      Acha wivu bwana ,tatizo nyota

  • @chidi_don
    @chidi_don 3 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kiatu
    @kiatu 2 หลายเดือนก่อน

    Binadamu wote hawatakiwi kusema uongo sio swala la udini

  • @faxkeentv5850
    @faxkeentv5850 2 หลายเดือนก่อน

    Fundi

  • @hostkayava6768
    @hostkayava6768 3 หลายเดือนก่อน

    it's jin ex dabo six

  • @Samtellg
    @Samtellg 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman kuliza siyo ujinga hivi huyu Jini wanaundugu na huseni machozi?🙏

    • @MinisterElisha-d
      @MinisterElisha-d 3 หลายเดือนก่อน

      Memi apa ndo ndugu yake

    • @SuedChuby
      @SuedChuby 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga😏

    • @Avibrtz
      @Avibrtz 3 หลายเดือนก่อน

      Hapana huyo nimkimbizi kutoka Kenya hana udugu na Huseni

    • @Fadhiljumanne
      @Fadhiljumanne 3 หลายเดือนก่อน

      So ndungu ni wanatoka mkoa mmja

    • @Soundprobeats
      @Soundprobeats 3 หลายเดือนก่อน

      Kuuluza ni ujinga acha kujitetea

  • @MasanjaMakolo
    @MasanjaMakolo 3 หลายเดือนก่อน

    Naona kabisa gin×66 anavochukua mikoba ya S2kizzy siku chache zijazo

    • @Soundprobeats
      @Soundprobeats 3 หลายเดือนก่อน

      Hujui ulisemalo

    • @MasanjaMakolo
      @MasanjaMakolo 2 หลายเดือนก่อน

      @@Soundprobeats sijui nilisemalo vipi Sasa kwani S2kizzy Si kapokea mikoba kutoka Kwa T-touch na queck rock Sasa Kuna ubaya gani ye kumuachia mikoba ginnix66 au mikoba unaichukulia ni uchawi au