Jamani nimecheka saana. Ila nna machungu. Hii ni hatari saana. Sbb watu wanaweza kukanyagana, ikasababusha watu kuumia. Na pia wezi ndio wanapata njia ya kuiba pia. Jamani inatosha huzuni tulio nayo. Hatutamani kuckia tena watu wameumua. From Oman.🇴🇲🇹🇿
Anayefanya hvo anakosea sababu bado hawa watu Wana psychological problem bado hawajawa Sawa kwahy Wana trauma serikali ingefanya research ya magorofa yote kuhakiki usalama pia
Kumbe ni mwendo wa kukimbia😂 wanaofanya huo utani wanaharibu biashara za watu,mtu mwingine akiona hivi hata kama alitaka kufuata mzigo kariakoo anaghairi akijua majengo hayajatulia, Sio poa wajameni mnaotania ,watu wanategemea hizo biashara wahudumie familia,watoe ada tuweni na huruma,afu bado tuna majonzi ya kufiwa na watanzania watu wengine wanaleta utani aisii😢😢
Msikie tu Mimi Jana nilikuwa maeneo hayo uwiii ni balaa hiyo midori sasa ilivyokuwa inaanguka na kututega kwenye miguu Na 🤣🤣🤣🙌🙌🙌 acha kabisa kkoo kuna Watu wana ujinga mwingine wa hovyo sana
@AminaKayaba-b1n kuwa na Amani tu maana jambo likipangwa na Mungu hakuna wa kupinga so usiwazie maana hata ukiwaza kama imepangwa itokee hakuna wa kuzuia
Yani mtu kama huna roho ya ujasiri siubaki tu nyumbani? Mwisho mtu upate pressure ije ikuletee shida Bure, hofu ni lazima, lakini pia kifo hakikimbiwi, Mwenyezi Mungu akawe mlinzi maana bila yeye hatuwezi,
Sioutani ila hio ni ofu juu ya kilicho tokea ata mtaa wetu ilitokea lakini mimi sikutoka dukani hofu juu ya majengo imeongezeka naomba mungu atunusulu na mishtuko
jamani mbona hamna huruma jueni bado kuna watu wanaokolewa na majeshi yetu lakini bado mnaleta masihara lingekufikia wewe hata duka usinge fungua jarebuni hata kidogo kuwa na huruma walio fariki ni wateja wenu marafiki wafanyakazi na wazalendo wezetu kama huna chakufanya nenda kanisani au msikitini kuombie taifa na waokoaje wetu acheni kabisa mnayoyafanya inauma sana tena sana
Unajua saikorojia ni kitu muimu sana jama msije mkawakatisha watu tamaa ya kufika k/koo Kwa sababu watu wanamachungu sana mwisho polen sana na mungu atupe nguvu site kama wa tz
Me nipo k/koo jaman. Unajua watu wa k/koo uwa wanaujinga mmoja likitokea tukio wenyewe ndo wanaona raha kulifanyia matani wakati kuna vitu vingine sio vya kutania kabisa.km lile la p.didy jaman ilikuwa mpk kero kila ukipita sehemu ni utani tu pi.didy p.didy
Kwakweli huu ni mtihani yani wanashtuwana wawo kwa wawo subhanallah 😢
Majengo mengi ya kariakooo yamechokaaa kariakooo yangu ni mlimani city
Allaah Awanusuruh kwa wotee tumrudieeeni kwa haraka mwenyezimngu Tuombeanee nini msamahaa tupoooni kwenye mtihaniii nini 😢 Allaah Atuswameh kwa duniyaaa nzimaaa
Daaaah!! Nmecheka kama mazuri😂😂hii mpaka watu wazoee watakuwa wameteseka sana
😂😂😂😂😂
😂😂
Yaani nime cheka mpaka machozi
😂😂😂😂
😂😂😂 hata mm nimecheka sana
Subhanallah nmecheka kama mazur lkn allah knows tusamehe mungu wetu
Àllah awaepushe Hilo na jenginelo inshallah
Jamani nimecheka saana. Ila nna machungu. Hii ni hatari saana. Sbb watu wanaweza kukanyagana, ikasababusha watu kuumia. Na pia wezi ndio wanapata njia ya kuiba pia. Jamani inatosha huzuni tulio nayo. Hatutamani kuckia tena watu wameumua. From Oman.🇴🇲🇹🇿
Ni kweli kabisa .
Anayefanya hvo anakosea sababu bado hawa watu Wana psychological problem bado hawajawa Sawa kwahy Wana trauma serikali ingefanya research ya magorofa yote kuhakiki usalama pia
Dah mecheka kama mazur wallah 😂😂nisamehe mola wangu
😅😅😅 mi pia kwakwel mungu anisamehe
Nakwenye mambo kama haya wezi ndoo watapitiamo sasa imagine zile nguo zilizo ankuks akiamua mutu kukwapua si chapu ru😢
Ndugu yetu jaman Stanley chovani inasidikika alikwepo humo maeneo ya chooni kwa maelezo bado hatujampata jaman yaani hatuna utulivu huku nyumbn
Kumbe ni mwendo wa kukimbia😂 wanaofanya huo utani wanaharibu biashara za watu,mtu mwingine akiona hivi hata kama alitaka kufuata mzigo kariakoo anaghairi akijua majengo hayajatulia, Sio poa wajameni mnaotania ,watu wanategemea hizo biashara wahudumie familia,watoe ada tuweni na huruma,afu bado tuna majonzi ya kufiwa na watanzania watu wengine wanaleta utani aisii😢😢
Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR
😂😂😂😂😂 daah Hii ni hatari kweli aisee Kariakoo watu hawatokaa kwa kutulia
Amani hatuna kabisa kwa sasa,janga la watekaji na kariakoo daah😢😢😢😢
KIFO hakijawahi kumzoea mtuuu aise....😂😅😊
😂😂😂😂 poleni sana aiseee..!! Ndo maisha yalivyo, mtazoea tu😂😂😂😂
Mzimu bado upo vichwani mw watu kwa namna moja ama nyingine lazima wajihami
Msikie tu Mimi Jana nilikuwa maeneo hayo uwiii ni balaa hiyo midori sasa ilivyokuwa inaanguka na kututega kwenye miguu Na 🤣🤣🤣🙌🙌🙌 acha kabisa kkoo kuna Watu wana ujinga mwingine wa hovyo sana
Jaman wasifanye huo utani watu bado tumeathirik kifkra na akili wasiwas mkubwa, majonz ya kitaifa bad wa muogope mungu
Hasa Sawa MTU anakimbia huku haongei😂😂😂 alafu NINYI mnaunga body mbio Nani anatibua balaaaaa tatizo bado tumeathirika na janga vichwa havijatulia
Dah😮 yaan uking'atwa na nyoka hata jani likigusa utaogopa
Dah Mungu awasaidie japo nmecheka Ila
Mda mwingine hii story inaskitisha😅 Lakini inachekesha pia😂😂😂😂
Ni kweli kabisa
Nimecheka kama mazuri 😂😂😂😂😂 mwenyezi hatusamehe
Yn kwa hali itakavyokuwa wateja kwa sasa co wengi watapanda kwenye magorofa mpk kipite kipind wasahau
Hii ni hatari sana,sio tabia nzuri kwa kweli,ikemewe vikali na serikali yetu sikivu .
Yuu nimecheke sio Kwa mazuri ee mwenyezi mungu tunusuru Wana wako
Midoli ingekua watu nayo ingekumbia jamani, Mungu anusuru lisitokee Tena
Kweli kufa kupo lkn kifo chawenzetu kinaogopesh ufunikwwe na maukuta ubanwe mpk roho itok ww inatisha
nimecheka sana kama mazul mungu atusaidie jaman hatal hii
Mnanishangaza Watu mnaogopa kufa😂kufa ni lazima huwezi kukwepa😁
Unauliza mtu kwanini umekimbia anajibu eti sijui 😂🙆
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh 😢😢😢😢 poleni sana guys hofu nyingi ktk kipindi hiki kigumu😢
Mungu awaepushe
Jamani hii sio poa watu bado Wana maumivu jaman😢
Kwa kweli nimecheka peke yangu
Kwa Mungu Tutaenda tu.... wogaa tuu😂
Tutaadhibiwa kwa sababu ya mzaha wallah 😢
Kuna mkaka anatungua nguo😅😅😅😅nyie
Watzd bhana shidraaa tupu kwakweli wengine wanaiba Tshirt daaah aisee balaa wizi mtupu huo
Sasa Hiv Kariakoo Ukipa Unakimbia Tu Unaondioka Na Kijiji😱
😂 tutakuwa tunakimbia maghorofa ss 😂😂... Aisee watu wataumizana kwa kukanyagana badala ya ghorofa kuanguka🙌🙌
😂😂😂😂😂Kwel
Mungu atunusur mi ap nipo ghorofani roh ipo mkononi kwakwel
@AminaKayaba-b1n kuwa na Amani tu maana jambo likipangwa na Mungu hakuna wa kupinga so usiwazie maana hata ukiwaza kama imepangwa itokee hakuna wa kuzuia
Duh binadamu bhna wameanza kufanya Prank za ajabu sisi bdo tunamajonz wao wanaanza kufanya mzaha watu wa kariakoo bhna 😂😂😂
Ambao wafanya mzaha na kuigiza hili tukio ndio wakuchukuliwa hatua ys haraka mana niujinga
😁😁😁😁😁wengine wanakimbia wengine wanachukua nguo ndoo wakimbie😢
ukute kuna watu wameshakimbia na bidhaa bila kulipa😢😢
Ndio
Uhuru umezidi ndani ya nchi hii na mizaha mingi watu wanaoleta mizaha ya namna hii wachukuliwe hatua
Yani mtu kama huna roho ya ujasiri siubaki tu nyumbani? Mwisho mtu upate pressure ije ikuletee shida Bure, hofu ni lazima, lakini pia kifo hakikimbiwi, Mwenyezi Mungu akawe mlinzi maana bila yeye hatuwezi,
mnakimbia tu ni roho imepata mshtuko lkn siku ikiwa yako hata hizo mbio hazikusaidii kitu
Wallah muna vitu nyinyi watu nimejikuta ninacheka tuu wala sio yakucheka masihara mengine sio mazuri jamaniiiii 😂
Sioutani ila hio ni ofu juu ya kilicho tokea ata mtaa wetu ilitokea lakini mimi sikutoka dukani hofu juu ya majengo imeongezeka naomba mungu atunusulu na mishtuko
jamani mbona hamna huruma jueni bado kuna watu wanaokolewa na majeshi yetu lakini bado mnaleta masihara lingekufikia wewe hata duka usinge fungua jarebuni hata kidogo kuwa na huruma walio fariki ni wateja wenu marafiki wafanyakazi na wazalendo wezetu kama huna chakufanya nenda kanisani au msikitini kuombie taifa na waokoaje wetu acheni kabisa mnayoyafanya inauma sana tena sana
Roho zilimaka watu wanamaradhi ya Siri Siri uganye ivyo mtu aanguke afe 😢
Wanashtuana wanakimbia wanaanza kuibiana jama wawe na roho ya huruma wanaleta maigizo kwenye mambo serious kweli,wachukuliwe hatua😢😢😢
Dooh jmn Hadi lini mambo haya😂😂
angalieni vizuri kuna jamaa kaiba nguo ile ilikua mbinu ya uwizi
Duu watauwa watu jmn kwa pressure 😢
Jamani wenye presha wanaweza kupata matatizo makubwa
😂😂😂haki kifo kinaogopewa jama
Unajua saikorojia ni kitu muimu sana jama msije mkawakatisha watu tamaa ya kufika k/koo Kwa sababu watu wanamachungu sana mwisho polen sana na mungu atupe nguvu site kama wa tz
Watu hawana adabu Jaman 😂😂😂😂mungu nisamehee nacheka ila sina budi 😢
Hapo 😂 wengi wao wana madhambi ya kutosha, sasa wanaogopa wasije wakashangaa wametokea kuzimu😂
Watanzania tuacheni ujinga😂😂😂
@@TwahirMohammed-x2h watu wanaogopa sio siri wee Acha tuu itachukua mda sana kuzoea.
Haki nmecheka sana uwiii😊
Me nipo k/koo jaman. Unajua watu wa k/koo uwa wanaujinga mmoja likitokea tukio wenyewe ndo wanaona raha kulifanyia matani wakati kuna vitu vingine sio vya kutania kabisa.km lile la p.didy jaman ilikuwa mpk kero kila ukipita sehemu ni utani tu pi.didy p.didy
Hili sisuala lakuwambia police nilitegemea wawewamesha kamata,ingekua nichadema wangesha kamatwa,
Daaah ila watu😂😂
😂😂 nimecheka kama mazuri da mungu tunusuru
Hao watakuwa vibaka ndio walioanzisha hizo mbio dah 😢😢😢
Mmeshawapa wezi akili hebu ona midoli inavyoanguka na Wengine wanajificha kwenye nguo
Mbona yamenikuta juzi aisee
kweli jambo hilo si lakufanjiwa utani
Huu mji hauishiwi vituko😅😅😅😅
😂😂😂 nchii ngumu hiii😂
Aloanza kukimbia atafutwe akamatwe alale ndani kwa kosa la kuvuruga amani na kutia hofu.
Watu wako traumatized bado😢
Yaan jana imenikuta hii jamani
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka utajua vizuri
Poleni 😂 mtakaa sawa tu sasa hivi bado mapema sana .
Uyo mtu akamatwe na ni kwasababu hana ndugu aliefia kariakoo angefiwa na mtu wa karibu kwenye ile ajari wala asingetania.
Watu wawemakini kunawengine weziwantishia ghorofa linadondoka ili watu wakimbie wao waibe mali za watu
Niko Barabarani nimecheka Kama Mazuri vile Yaaanii😂😂😂Daaah .!ila Bongo
Yani watu wanakenua Kama mazuri sasa
Jamaniii mbona hivyo lakini
😂😂😂😂😂polen sana
Poleni xana mtaokolwa2 mtatoka salama
Hii ilikuwa jana , wanajeshi walikuwa wanakimbizaa vijana 2 walizamìa kwenye majanga, wakaenda kuiba.. sasa kila mtu akatimua mbio😅
Watakanyagana arafu wafe watu wafe maana kuna msongamano wawatu mno 😮
😂😂😂😂😂jmn watu wanashda gan kwan😢
😂😂😂😂 aisee nimecheka kam mazuri.mpk waje wazoee wamepata tabu sana
Sasa yule kijana anakunya nguo mumemuona😂 anakusudia nini kuwa nagunga alu alijuwa kuna mwizi😅
Nimecheka kama chizi flani ivi
Mbona watu mnafanya mzaha
Sasa mnatafuta kuiibiwa watakuja majambazi watatishia watu kama hivo watapo kimbia wataanza kuiba biashara zenu muwame makini kwa hilo
Nimelazimika😂 kucheka😂😂😂
😂😂😂 Dah
😂😂😂😂 kwahiyo watu wameanza kuleta shida
Kuweni makini wezi wanaweza tumia njia hiyo kwaajili ya kuwaibia
Daah jaman
Jamani mi nafikiri tusiwalaumu Hilo suala si ndogo mawenge lazima
Nyie acheni tuu duka letu watu tunakaa njee kama popo 😂
😂😂😂😂 ni huzuni kwakweli dah