Mimi naamini hapa Tanzania makocha wajitahidi Sana kumfuatilia huyu Mzee WA data, kunamapungufu mengi ambayo anayazungumza kuhusu makocha na team Kwa ujumlaaa, uzima uwe nawee Mzee WA data
cs sfaxien inabidi wafungiwe kwasababu walikuwa wanalala sana halafu watu wamekalili kuwa zikiongezwa dkk za nyongeza zikiiisha ndio bas kitu ambacho sio sahihi
Facts,,, numbers' evidence,,, honest,,, data,,,,,
Special professor,,,mbwaduke
Safi sana Mchambuzi hodari ❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera sana mzeee wa data nilikugoja sanaaa leo
Kazi nzuri kaka
Mzee wa data malizia jina kibu Denis aka mabululu😂😂❤❤❤
Mimi naamini hapa Tanzania makocha wajitahidi Sana kumfuatilia huyu Mzee WA data, kunamapungufu mengi ambayo anayazungumza kuhusu makocha na team Kwa ujumlaaa, uzima uwe nawee Mzee WA data
Assalaam alaykum
Nilikuwa nakusubiri kwa ham sana mzee wangu mungu azidi kukulinda
Kaz nzur
Hapa ndo kwenye data sasa
Magoli ya vichwa yote Rasta zinapeperuka tu, wanasimba tunainjoi..... Tabia ya wagawa utamu ni wanakaza sana kama Utopolo alivyomkazia Mazembe 😂😂😂😂
Mchambuzi wangu bora wa mda wote tuko pamoja
Mzee unajua
Ndio maana cmkubali miraji , Hana data za kisomi ni dhana tuu.
cs sfaxien inabidi wafungiwe kwasababu walikuwa wanalala sana halafu watu wamekalili kuwa zikiongezwa dkk za nyongeza zikiiisha ndio bas kitu ambacho sio sahihi
na wanaleta vulugu wakati wao ndo walikuwa wanapoteza time
Fact
Nimesubir upload yako nipate uchambuzi furaha ikamilike
Shukran Jazeera mzee wa data,,