DARASA LA 8-MATUMIZI YA -KA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @ericbahizi6526
    @ericbahizi6526 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana mola akubariki mno

  • @jeremiahmachere4844
    @jeremiahmachere4844 2 ปีที่แล้ว

    Napenda mafundisho yako☺☺☺☺☺

    • @bwanashamsi
      @bwanashamsi  2 ปีที่แล้ว

      Naridhia kaka. Hivi karibuni nitazidi kuongeza video nyingine.

  • @beargirl461
    @beargirl461 3 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏asante sana Mwalimu kwa kunisaidia!

  • @collinskiswaswa2670
    @collinskiswaswa2670 ปีที่แล้ว

    Hongera Mwalimu kwa kazi kuntu.
    Ila niko na swali,
    Kuna tofauti gani kati ya matumizi ya ka ya wakati ujao na ka ya kuonyesha nia/azma

    • @bwanashamsi
      @bwanashamsi  ปีที่แล้ว

      Ka ya wakati huja baada ya kiambishi ta cha wakati hujao
      Mfano
      Mwalimu atakayetufundisha ni mgeni (ka kirejelei cha wakati hujao.
      Ka -azma/lengo /madhumuni
      Huonyesha kusudi au sababu ya kufanya jambo
      Mathalani
      Mama ameenda shambani akalime

  • @roseonsomu2981
    @roseonsomu2981 4 ปีที่แล้ว +1

    Well done Tr Obino..

  • @Farhianoor9
    @Farhianoor9 ปีที่แล้ว

    Mwalimu thanks Can you get for me time to teach me kiswahili by online

  • @peterkingoina2087
    @peterkingoina2087 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu stadi Kabila Asante sana inawasaidia wanafunzi wengi sana