Ali umeua kenge Ma sha Allah hii ilikua ya kufana
Heko Kwa kazi njema Kauleni
Hongera sana Hassan
Nzuriii.....
Hassan 🤝🤝🤝🤝kitukuzwe
Lukaku😄😄
Kazi mzuri sana.. kiswahili kitukuzwe milele..
Kauleni nafasi
Hassan endelea na kujitahidi kabisa kuendeleza chemshabongo kwa Kila shule hasa huku kwetu kajiado kaunti tafadha
Kazi nzuri ndugu