Hapo kwenye kigezo cha kwanza kabisa ulichosema cha kuishi kwa miaka isiyopungua 10, na miaka 7 mfululizo. Hao wachezaji hawana kigezo icho, wamepataje uraia ?
Kwa ufahamu wangu naelewa Tanganyika imepitia katika katika vipindi vitatu: 1.Tanganyika ya kijerumani kwa maana ya Deutch Afrrca. 2.Tanganyika koloni la Uingereza. 3.Tanganyika iliyo huru chini ya TANU. BAADAYE TANZANIA iliyoungana na Visiwani. Kati ya Tanganyika hizo nani hana haki ya kuwa mtanzania wakati wazazi wake wamezaliwa kati ya hizo Tanganyika.
Kama umekuja baada ya kuona uraia wa wachezaji Gonga like apa
Yaani ni huzuni kubwa sana
.mmmmh miaka Kumi hao wachezaji wamekaa hapa miaka kumi😢😢😢😢😢😢😢😢
Hapo kwenye kigezo cha kwanza kabisa ulichosema cha kuishi kwa miaka isiyopungua 10, na miaka 7 mfululizo. Hao wachezaji hawana kigezo icho, wamepataje uraia ?
Nimekuja hapa baada ya kuskia habari za wachezaji wa singida
Ndugu mbona fetha ninyingi Sana Dora erfu 50000
Kwa ufahamu wangu naelewa Tanganyika imepitia katika katika vipindi vitatu:
1.Tanganyika ya kijerumani kwa maana ya Deutch Afrrca.
2.Tanganyika koloni la Uingereza.
3.Tanganyika iliyo huru chini ya TANU.
BAADAYE TANZANIA iliyoungana na Visiwani.
Kati ya Tanganyika hizo nani hana haki ya kuwa mtanzania wakati wazazi wake wamezaliwa kati ya hizo Tanganyika.
1.Deutch Ostafrica
Aisee Tanzanian banaa Ina drama nyingii mnaenda kusumbua raia mikoanii kwetu afu uku watu mnawapa uraia kienyeji enyeji2