Katika watu wanao peleka watu motoni ni wasanii na wanamuziki hebu tuitizame nchi yetu watu wanavyokwenda uchi nyinyi hamulioni hili maana munaparurana nyinyi kwa nyinyi wakati nchi yetu iko taabani mimi namkumbuka nasoro bachu ana anza mawaiza yake ilikua kuzungumzia kujistiri kwa wanawake na alifanikiwa nyinyi muna anza kutukana masheikh mbona hivi
Jamani ?? Mbona mimi sijaona baya alozungumza kikubwa angalia linalokufaa ondoka nalo! kama hakuna mbona shekhe sio yeye peke yake kamsikilize yule unaemtaka kumsikiliza tumuogopeni allah jamaa kila tunachofanya allah anatuhifadhia tutakuja kufilisika siku ya kiama maisha yenyewe sasa watu twalala wazima twaamka tuko na majina mengine na hatukuumwa.
Hili ndilo kundi la firqatu najia kundi la walokole wao peke yao ndio walosalimika mengine yote ni motoni huu ni uyahudi umepachikwa kwenye uislamu hii sio dini alokujanayo mtume s.a.w.
jamani huyu ni khatari kwa sbb hakisoma, wote wanalingania kheri ila tofauti ya mash hab nenda kasome mbwa wee ngurue mshenzi wewe, wewe utaingia peponi wajijua km utaingia peponi
Muogope Mungu acha kujitukuza na kujiona msafi wewe ni nani wakuingiza watu motoni na Maganyakulo sio kigezo cha kuingia pepo Muogope Allah
Huyu anaupumbavu mimi ni salafi ila cna msmamo huu nawapenda sana hawa masheikh na nawaombea dua waingie peponi
Hauna kitu ya kusema nyamaza
Kwani hiyo pepo anagawa babaakoo
Katika watu wanao peleka watu motoni ni wasanii na wanamuziki hebu tuitizame nchi yetu watu wanavyokwenda uchi nyinyi hamulioni hili maana munaparurana nyinyi kwa nyinyi wakati nchi yetu iko taabani mimi namkumbuka nasoro bachu ana anza mawaiza yake ilikua kuzungumzia kujistiri kwa wanawake na alifanikiwa nyinyi muna anza kutukana masheikh mbona hivi
Mpumba saana wey mjinga wende ukalime
Inavyo onekanamwanafunzi huyu ilmu alokwenda kusoma ni ya kukufurisha watu maskini namuonea imani sana anapoteza mda wake hapo
Jamani ?? Mbona mimi sijaona baya alozungumza kikubwa angalia linalokufaa ondoka nalo! kama hakuna mbona shekhe sio yeye peke yake kamsikilize yule unaemtaka kumsikiliza tumuogopeni allah jamaa kila tunachofanya allah anatuhifadhia tutakuja kufilisika siku ya kiama maisha yenyewe sasa watu twalala wazima twaamka tuko na majina mengine na hatukuumwa.
Hili ndilo kundi la firqatu najia kundi la walokole wao peke yao ndio walosalimika mengine yote ni motoni huu ni uyahudi umepachikwa kwenye uislamu hii sio dini alokujanayo mtume s.a.w.
na wewe kundi la katoliki jibwa wewe
jamani huyu ni khatari kwa sbb hakisoma, wote wanalingania kheri ila tofauti ya mash hab nenda kasome mbwa wee ngurue mshenzi wewe, wewe utaingia peponi wajijua km utaingia peponi
𝐖𝐚𝐣𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐡𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐨 𝐳𝐚 𝐩𝐞𝐩𝐨 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐣𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐤𝐨𝐬𝐞𝐢
Nani uko kwetu
Ufunguo za pepo na moto uko nazo wewe kumbe
Mjinga wa kwanza ni wewe