Baadhi ya sisi mashekhe Alhamdulilaah tuna 'ilmu; ila kutumia hikma katika mawaidha yetu kwa waja wa Allah ('azza-wa-jal-la) ndiyo bado kidogo inatutatiza,ama tuseme tuna upungufu wa hikma pindi tukitumia lugha isiyofaa kama kutamka neno la kutusi au la kudunisha mja yeyote yule kwa sababu hafuati mafundisho flani katika wa'adhi wetu juu ya dini!! InshaAllah Allah atatuja'alia kujiepusha na maneno ambayo tukiyatamka hayatatufanya kusikika ni kama tuko na kibri (wana'udhu-bil-laahi min dhalik).
Baadhi ya sisi mashekhe Alhamdulilaah tuna 'ilmu; ila kutumia hikma katika mawaidha yetu kwa waja wa Allah ('azza-wa-jal-la) ndiyo bado kidogo inatutatiza,ama tuseme tuna upungufu wa hikma pindi tukitumia lugha isiyofaa kama kutamka neno la kutusi au la kudunisha mja yeyote yule kwa sababu hafuati mafundisho flani katika wa'adhi wetu juu ya dini!!
InshaAllah Allah atatuja'alia kujiepusha na maneno ambayo tukiyatamka hayatatufanya kusikika ni kama tuko na kibri (wana'udhu-bil-laahi min dhalik).