Nyimbo za namna hii ndizo zinatakiwa kuwa hadi mtandao na kuweka kwenye albamu. Siyo nyimbo za ufunguz wa gesti, sijui wizugizi... Hizo chezeni km live show harafu kweny albamu muweke zile zenye ujumbe wa kudumu usio na mpaka kama huu hapa.
Huu ndio wimbo namba moja wa mwaka 2019 wenye kuelimisha na uliobeba ujumbe mzuri.Kijana huyu aendelezwe Kama Kuna mtu anamsapoti kimuziki namaanisha mdhamini wake ajue kabisa ana msanii siyo Kama wale wa kujitapatapa.pongezi Sana kwa huyo msanii kijana ama kweli ameimba Kama Kuna tamasha la nyimbo za asili kubwa la kiserikali apelekwe na akapewe nafasi ya kuimba najua atashika namba moja. Pongezi ya pili ni studio aliyorekodia hapa tunajifunza kuwa hata studio zilizopo vijijini zinaweza ingawa studio ya mala siyo ya zamani Sana lakini inajaribu kutanuka hivyo basi studio hii inapopiga nyimbo kali Kama hizi ndivyo inavyozidi kutanuka hatimaye kufahamika kwa wasanii wote wa nyimbo za asili.
Jaman naomba mnitumie namba yennu ya CM niwatumie zawd yoyote nyimbo hii imenishka Sana jaman hongela san ngelela bingwa wa nyimbo za asili yetu
Hongela san kwa wimbo
Wimbo bora sana
Nimeikubal
Hongera sana manju wa kisukuma endelea kuelimisha
Ngelela we fundi nakuomba ukomae sijawahi kukuona ila nakukubali sana
Hongera sana kijana huu wimbo ni fundisho kwetu sisi vijana
Kwel
Nakukubali Sana mwamba wangu piga kazi mungu yupo
Daaaah jamanii ahsante kwa wimbo wa hekima da but inaniliza dah nmewamiss zaid wazaz dah 😭😭😭😭😭😭😭 nitumien namba nwatumie pesa hongereni saanaa
Nimekubali kwa wimbo huu asante sanaaa
Ujumbe nzuri sana ubarikiwe sana mdema
Mda wako kaka pambana mungu yup pambana
Safi sana wimbo uliyobeba jumbe za maana wasukuma juuu sana
Kati ya nyimbo ya kisukuma yenye mafunzo ya maisha hii no 1 mkubali mkatae kwa sababu ya ushabiki
Ningekuwa na uwezo watuzo hii nyimbo ingebeba tuzo yangu maaana hakuna km hiii broo
Wimbo nimeupenda sana
Hamad Shija hongera
Gong'hana mdima dubhile bhagigwa ukubhabhile bhise
Nyimbo za namna hii ndizo zinatakiwa kuwa hadi mtandao na kuweka kwenye albamu. Siyo nyimbo za ufunguz wa gesti, sijui wizugizi... Hizo chezeni km live show harafu kweny albamu muweke zile zenye ujumbe wa kudumu usio na mpaka kama huu hapa.
2024 na bado nausikiliza huu wimbo
Huu ndio wimbo namba moja wa mwaka 2019 wenye kuelimisha na uliobeba ujumbe mzuri.Kijana huyu aendelezwe Kama Kuna mtu anamsapoti kimuziki namaanisha mdhamini wake ajue kabisa ana msanii siyo Kama wale wa kujitapatapa.pongezi Sana kwa huyo msanii kijana ama kweli ameimba Kama Kuna tamasha la nyimbo za asili kubwa la kiserikali apelekwe na akapewe nafasi ya kuimba najua atashika namba moja.
Pongezi ya pili ni studio aliyorekodia hapa tunajifunza kuwa hata studio zilizopo vijijini zinaweza ingawa studio ya mala siyo ya zamani Sana lakini inajaribu kutanuka hivyo basi studio hii inapopiga nyimbo kali Kama hizi ndivyo inavyozidi kutanuka hatimaye kufahamika kwa wasanii wote wa nyimbo za asili.
Asante kwa ujumbe wako mzuri ndugu
Laaaa, kaka yaani nimelia Sana baada ya kuusikiliza huu wimbo, Umetisha Sana hii ni ngoma ya pili kwako ya kwanza nakile mabhoga
Dah huu wimbo unafundisha sana
ngelela mwanasamo
Winbo bora sana na ulobeba mafundisho, hongera yake mtunzi.
Safi sana bwana mdogo kwa kazi nzuri.. Utunzi una mafunzo yenye uhalisia na unatafakarisha...
Jaman sichoki kuusikiliza unafundisha sana jaman uko makini
Na upend xna mzk wako unajua pambna
Kulia ni lazima
Very nice
Wimbo naukubali sana
Safi sana nyimbo kali
Jayp One d
duuuuuuuuhhh!!!
Naipeda tu sauti ya ngelela
Natafuta nyimbo za Jilunga mwanasele baba ake buhemba na magise
Naomba namba ya ngelela nitumie kwa namba hii 0745353515
Nimekupnd DNA mung u akuzdixhie 🤣🤣🤣🤣🤣
Inabidi 😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
😭😭😭😭
😭😭😭😭