@@kiswahilinamwalimuogello Shukran mwalimu,unafanya kazi nzuri sana,Mola akubariki sana. Kupitia kwako nilielewa irabu na konsonanti,tafadhali sasa nisaidie fonolojia vipande sauti na arudhi,nimeshindwa kuelewa.
Naomba kuzua ubishi kidogo hapo mwisho... Maneno.mbwa na mpwa naona ni silabi mbili kila mojawapo... K-KKI wala SI silabi moja ya konsonanti tatu. Ja-ngwa, mbwe-ha ni mifano mwafaka ya silabi ya konsonanti tatu. ...sijui unaonaje
Asante sana mwalimu
👍💯
Hapa hakuna bakshishi
Heko mwalimu kwa kazi bora.
Tunazidi kuelimika.
Kazi nzuri sana mwalimu,nakuomba ufundishe fonolojia,mimi ni mwalimu mkurufunzi chuo cha walimu cha Eregi,nina shida kwenye fonojia.
Asante, Nimeupokea ujumbe.
@@kiswahilinamwalimuogello Shukran mwalimu,unafanya kazi nzuri sana,Mola akubariki sana. Kupitia kwako nilielewa irabu na konsonanti,tafadhali sasa nisaidie fonolojia vipande sauti na arudhi,nimeshindwa kuelewa.
Kipindi murua
Naomba kuzua ubishi kidogo hapo mwisho...
Maneno.mbwa na mpwa naona ni silabi mbili kila mojawapo... K-KKI wala SI silabi moja ya konsonanti tatu.
Ja-ngwa, mbwe-ha ni mifano mwafaka ya silabi ya konsonanti tatu. ...sijui unaonaje
👍💪💪💪
Kongole mwalimu
Asante Mwalimu Silas
Naomba kujua neno daktari lina silabi ngapi.
da-k-ta-ri
dak-ta-ri
Nataka unieleze kuhusu karatasi ya 3 ya kiswahili katika ksce na alama zake na sahi kijana yangu yuko form3
Nitumie email yadacalvin@gmail.com