I always say the best 97s podcast is always the next one...... You guys never disappoint...... Lakini hamjafanya dante poa...... Give a man a safe space to open up.......
Nimekaa hivi nikakumbuka ni msee wa keyboard alinitoa kwa hizi tushimo huchimbwa za kuweka maji ttime ya kujenga. Manze mi niliruka ndani, na huyo msee wa keyboard alihave kuruka dirisha kuja kunitoa hapo nani. Funny thing kila mseee alikuwa amefunga macho akiomba ni yeye alikuwa anaona😂😂😂
Asiwai toka akae hapo sasa ikuwe the four horsemen🤣🤣🤣
Walai 4 horse men😂
Kalala amebeba 1k followers wa 3men army apo kwa live view😂🎉
King kalala ,,, Trevor ,Dante frank and prince Kev episode would slap honestly 😩❤️
It would be sth else 😂🔥🔥
Baaass but musisahau ya ule boy macho chongo😂😂sammyro
Wacha hizo
King Kalala arudi back officially ❤🎉 asiende tena
Leo mumenimaliza😅😅😅😅😅 Dante you are so funny,majibu zako..... Ati ilikua kitaaambo,ilikua bahati mbaya
Aki walai kalala ,,long live the clan ❤
in two days,,, n feel nkaa 2 years guys 😂😂😂
Hiyo relationship ya kalala na Dante ni strong mbaya sana 😂😂
Adi wewe umeona 😅😅😅😅
Finally, kalala is back😂😂😂😂😂😂😂
Can't wait
Walai tena
Walai😅😅
The four horsemen 😂😂😂
ULIMI NI KITU IN DOOR😂😂😂😂😂😂😂😂........
Nini shida ya TREVOR NI kichwa kubwa ama ni akili ndogo
napenda sauti kwa ground ikiskika. 3 men army all the way...
Baaaassss finally mmetuskiza 😂😂 long live the clan, can't wait for Monday
Finally kalala the king she's back 🎉🎉🎉🎉
Weee Dante umekafunga show vizuri
When we needed her the most, she came🎉🎉
Wiiih kalala ndo amefanya niwatch adi mwisho 😊😊❤❤ much ❤
Clearly they all love her……. The energy is topnotch❤❤❤❤❤
dante hiyo yako ni personnal sana ......ati ndo maana ulikuwa unadate shoga
Kalala asijaribu kuenda tena ...Nice to see u guys
finally the episode tumekuwa tukitegea...... audio ni fity now the video...🤩🤩🤩
Watu hawajui bible wakipatana,,,l remember of my friends
Finallly can't wait hii itakuwa moto yani fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂Dante need a hug 🫂 tumeelewa ulinyonga ulikua young we understand bro
Daaamn..tulikuwa tumekuhata Kalala😂😂😂long live the klaan.....wagwan wadau🔥🔥🔥
LONG LIVE THE CLAN❤❤Msee you were missed... can't wait for this episode ❤❤😂😂
Finally the female king is back...Kalala is just a different energy
Time ya kugrow itaishi kuwa .... that's why am Ur knew sub 🎉❤
dante anawatrust na mnamtoroka, dante I gatchuu😂😂😂
MM nimelike ady before niwatch juu najua ni kitu motoo😂😂
Sasa leteni Kev 😊
Akiii
Nimecheka from the start😂😂😂😂ati matako inafanya fuuuuuuuu akipita karibu na wewe😂😂😂
😅😅😅😅😅
I always say the best 97s podcast is always the next one...... You guys never disappoint...... Lakini hamjafanya dante poa...... Give a man a safe space to open up.......
Jamaa amefungua zote😂😂
kalala ako mcute walai🤩😘
Likes za kalala zikam through 😂😂😂😂❤
Finally the group iko whole this is mad love
Enyewe ulimi ni indoor 😅😅😅😅 Trevor you are genius bro😅😅😅😅
Longlivetheclan...alafu ata mnishow aje Dante akona mtu, he's glowing nowadays😅
finally long live the clan😂ik its gonna be lit
You guys unaniundia siku joo nawapenda tu sana❤❤❤❤❤❤❤
Nimekaa hivi nikakumbuka ni msee wa keyboard alinitoa kwa hizi tushimo huchimbwa za kuweka maji ttime ya kujenga. Manze mi niliruka ndani, na huyo msee wa keyboard alihave kuruka dirisha kuja kunitoa hapo nani. Funny thing kila mseee alikuwa amefunga macho akiomba ni yeye alikuwa anaona😂😂😂
Show tamu🎉🎉🎉🎉 kama kalala kako
petition to have kalala on every episode😂
🤣🤣🤣🤣🤣dante aki open up got me rolling 🤣🤣
Trevor hapo kwa snacks nakusupport😅😅😅
Yaaani our gal is back in the podcast 😍😍😍😍😍nasikia fiti
Mnaeza lipua dunia😂😂😂😂😂😂😂
Glad to see Kalala hii nayo imebamba🔥🔥
Baaaaaaass can't wait😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 king 👑
Hapo sasa the King in the building ❤🎉
Haki venye dante anajitetea aty "ilikwa kitaaambo nlikwa mYoung 😂😂😂😂"
Lengendary ending,AIYAYAYAYAAAA😂😂😂
55:53 design kalala amekaa ndio imenirudisha hapa miguu far apart moriooo
welocme back KING KALALA salute💪
Let's all agree 3men Army is always a banger❤😂. However,King Kalala spices it deliciously 🎉
Trevour na #NAPKINS kwa kichwa .....
This people will kill me hizi maristo sasa wanazitoa wapi surely 😂😂
Hawa wote wako mangwaii😅😅😅😅
just arrived ,,long live the clan
Enyewe hamuogopi God😂😂😂😂😂
Finallly vybe imerudi tena to maximum
Ati kuja na mmoja mmoja😂😂😂
Kalala innit💯💯
tongue ni indoor had me rolling😂😂😂😂
Kalala ako maji😂
Nmekojoa nkicheka😂😂😂😂 niue sasa
Kwa pastor Ng'ang'a ushers wanafaa hadi wapewe hardship allowance🤣
Siwezi kaa siku mbili bila ugali😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Long live the CLAN❤
Long waited thing😂 king her self 😂
Kalalaa anakaa ako liiit kama stoopid😅😂😂😂😂😂😂🤣😅
Glad you've brought back kalala😍..3men army siku zote🔥🔥
do another one with king Kalala she a vibe
I swear this 3 army men na our gal king kalala makes me laugh so hard😂😂😂😂😂😂
Kwani Trevor na frank ni mapastor😂😂😂 wamekaza tu ushers wasilipwe😅😅😅
@janemukami
All I can hear ni wewe Malaya .matako .mbya wewe dinywa..wewe Mafi .......waaaaaa my guys😂😂😂😂😂😂😂
Aki manz mumetishaa
Hapo mme muonea sana dante😂😂😂 .na ni trever alitaja kunyonga mara ya kwanza
King na maboyz all time manze
Kalala kills me😂😂❤nmemfollow kila mahali bado ndoto
King 👑 Kalala on the building ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
These guys are pure therapy 😂❤😊
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 rewatching at 15 th Sept 2024😂😂😂😂and it's still lit
Nawapenda Bure jamani 💕🦋🦋💜
Long live the clan🎉😊🎉❤❤
this guys are killing it🤣🤣🤣😂
Manze hiyo podcast ibaki hivo sasa❤💯🔥
Kalala si back, we need more of this
8:53 ona vile Frank pembe imemshika Ile mbayaa 😂😂😂 Nani ananotice
Hii nayo siwezi miss the king her self she is there let Me go get some water I know things are going to be on fire🎉
Kalala is my fave 😊😊😊
Dante ameamua ku open up😂😂
He got me laughing the whole night😂😂😂😂aty alijirape
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂zae wamejudge Dante si poa😂
dante 😁😄😄bt alikua myoung
This one for the books😂😂😂🔥
Kalala should do one with Dem Wa fb😂😂😂😂
Dwfb is village kalala is city gal haiwezi
Sasa aje
Hakuna vibes
Kalala league yake iko juu
@@josephonyango7923 hata league language barrier
Hiyo ushamba ya dem wa Facebook hukaa fun kwa washamba kama wewe
Big up,,,,,all day all day 💪
Next mnitaje jameni tukule riba kimoja jamani🤗🤗🤗🤗
😂😂😂😂aki I never knew you guys until obinna show
😂😂😂come back uku n ngoringori
Kalala is a genius 😊
These keep it real and raw as it is....🤣🤣🤣🤣🤣