Naomba unifahamishe vizuri kuhusu mwanamke haruhusiwi kukata nywele, mimi nywele zangu ni ngumu sana zikikuwa sana zinajishindilia hazifai kuchana na pia zinaanza kukatika zenyewe ina maana siruhusiwi kuzipunguza kidogo?
Mtumishi Wa MUNGU. Inakuwaje katika magrupu. Wanawake wakiwa wana fundisha Je? Aya nimakosa Na ninaswali mbona sasa hivi Wanawake wanatokewa na YESU sana hapa ?
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana, Mungu ndiye Bwana wa vita, hallelujah
MUNGU akubariki sana mtumishi kwa mafundisho mazuri 🎉🎉
Wow wow wow wow wonderful message to all mother's and pastor's May God bless you and your family
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Niheri kumpokea ujumbe huu. Kulikokukaidi namtu kwenda jehanam.mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana.
Amen. Indeed I have learnt something. Barikiwa Mtumishi
Amen nabarikiwa sn nikiwa na fatililiya maumbiri yk mtumishi Mungu Akubariki pamoja na family
Amen mtumishi wa Mungu
Amen amen
Sawa sana nalikua bado ku angalia hii video ❤😊
Amen Mtumishi wa MUNGU
Amina Amina
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Amena
Anen
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amina mtumishi wa Mungu asante kwa somo zuri natoka morogoro Tanzania
Amen barikiwa sana
Naomba unifahamishe vizuri kuhusu mwanamke haruhusiwi kukata nywele, mimi nywele zangu ni ngumu sana zikikuwa sana zinajishindilia hazifai kuchana na pia zinaanza kukatika zenyewe ina maana siruhusiwi kuzipunguza kidogo?
Mtumishi Wa MUNGU. Inakuwaje katika magrupu. Wanawake wakiwa wana fundisha
Je? Aya nimakosa
Na ninaswali mbona sasa hivi Wanawake wanatokewa na YESU sana hapa ?
Amina Amina Amina