Polisi jijini Nairobi wanachunguza kutoweka kwa mwanafunzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • Polisi jijini Nairobi wanachunguza kutoweka kwa mwanafunzi wa miaka 12 katika hali tatanishi mtaani south b, kaunti ya Nairobi. Akolde Dut Paul, alitumwa dukani kununua bidhaa tarehe 23 machi mwaka huu lakini hakurejea nyumbani. Wahudumu wa duka alikonunua bidhaa hizo wanasema walimwagiza kurejea nyumbani kumleta mzazi baada ya kupatikana na peremende ya wizi

ความคิดเห็น • 52