MBOSSO AJIBU KUHUSU NYUMBA YAKE: NIMESEMA WAPI NIMENUNA?/ WANAUME WASIOKAMILIKA LAZIMA WAONGEE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @almasmonde7361
    @almasmonde7361 5 ปีที่แล้ว +5

    Mbosso ww kweli ni star na unajielewa xna Mungu akupe mafanikio achana nawalio feli

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 ปีที่แล้ว

    Poleee mboso na uyo mwinjakooo ana purukukaaa na manwno asiye yanuwaaaaa polee ikiwa nyumba no yako siyo yako haimuhusu maisha yakoo jamani wee mwijako utagombana na duniya nzimaaa mungu hapende kufichuwa siri za watuuuuu achaaana na mboso maskini hana tatizo na mtuuuuu

  • @azizimahangana1082
    @azizimahangana1082 5 ปีที่แล้ว +11

    Vizuri kaka kaza buti Tanzania wivu wingi

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว +4

    BEST VOCALIST IN WCB.

  • @zililemanyika7349
    @zililemanyika7349 5 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa mbosso urivyo ongea nisahii sana kaka tena sana walio kosa kazi ndoo wana ongea ongea tuu kwani wanapenda kupapu vitu

  • @fikirijames5765
    @fikirijames5765 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyumba imekua nyumba hakuna mengne aaaa laaaaa........😊😊

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂mtakoma mwaka huu ujanja wote umekwisha leo peupee pepee

  • @kwizerazainabu3804
    @kwizerazainabu3804 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kaka

  • @zakiaibrahim8338
    @zakiaibrahim8338 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha nawapenda sana WCB boso umeweza

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว +6

    Nyumba kama yako kwa nn unatoka povu mbosso 😂😂😂😂

  • @petroalphonce9279
    @petroalphonce9279 5 ปีที่แล้ว +1

    Mdada mjanja sana nimempenda!

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwahiyo mwijaku ndio huyo mwanaume aliyezungumziwa

  • @sudyramadhan6670
    @sudyramadhan6670 5 ปีที่แล้ว +18

    Kiba pekee ndio anawawezea coz hua hawajuagi ana nini au anafanya nn?

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว +2

      Nakubali mzazi maake ata Show za kiba awezi kwd na mama ake lkn uyo sijui sandra yy kila anapo enda mond na mama yupo ana mda wakukaa aka angalia fmilia yke

    • @ebesics514
      @ebesics514 5 ปีที่แล้ว

      @@delabossreizer9471 gg if ufo iujfuyxwr53 4wt9vchcjgj huge

    • @hemedytz9013
      @hemedytz9013 5 ปีที่แล้ว

      Sudy Ramadhan mkn

  • @alifarah9459
    @alifarah9459 5 ปีที่แล้ว +7

    Nyimbo Zote zile ata Kununua nyumba badoo hujaweza, Uwo Mziki wa Bongo mbwembwe nyingi kuliko kinachopatikana ata izoo Show Oman nahisi unaishia Kununua Vitumbua tuuuu

    • @alifarah9459
      @alifarah9459 5 ปีที่แล้ว

      @@shebbysmart4283 kweli Jembe Nakuunga mkono

    • @badboy2577
      @badboy2577 5 ปีที่แล้ว +3

      Hawa wasanii huwa wanakodiwa nyumba.wanapewa magari lakini hawapewi na Hati miliki (Log book) ni vitu tu vya kutumia wakati wako kwa mikataba lakini mikataba ikiisha huwa wanarejesha kila kitu mfano mzuri ni Ney na Qs Mhonda. Baadaye Ney alirudisha kila kitu na akaanza upya kuendelea na maisha yake.Mziki huwafaidisha sana mameneja kuliko wasanii.Yaani kusema hivi ni kumaanisha mtu kama Babu tale ana hela nyingi kuliko hata msanii yeyote wa WCB.Na atabaki kuwa juu

    • @vermundusmutechura5016
      @vermundusmutechura5016 5 ปีที่แล้ว

      kwani wewe una nini, labda , natafuta mfanyakazi wa kwenye banda la kuku, wewe unafaa kunifanyia kazi. MBOSSO achana naye.

    • @alifarah9459
      @alifarah9459 5 ปีที่แล้ว

      @@vermundusmutechura5016 Mie ata sina time ya kubishana watuu wanaishi dunia ya tatu ila bila kukakata viuno Stejini nshaeka nyumba na nahisi aoo Wasanii wakooo mpaka watamaliza Carreer zaooo hawatamaliza Dick head

  • @princessariana6612
    @princessariana6612 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha mbosso😍😍😍😂😂😂

  • @MrEve1975
    @MrEve1975 5 ปีที่แล้ว

    Jibu zuri sana watanzania wape picha wanaleta storyyy saaa huo huo

  • @popigagia7183
    @popigagia7183 5 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂mbosso hayo nd madharau ya sifa unajua nyumba nimepanga kwann uandike vile kwa haraka haraka ile caption inaonyesha kuwa umenunua 😂😂😂😂😂😂

  • @giannajoji7944
    @giannajoji7944 5 ปีที่แล้ว

    Amejibu vizuri jamani,ni kweli kuna wakati unakaa kwa Dada au kaka au shemeji au ndugu yeyote unakuwa huna Uhuru Fulani hivi lakini ukipiga hatua ukapata kwako hata ikiwa umepanga jamani raha,tumuache mbosso jamani afurahi kukaa na ndugu karaha!

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kishastiri wazee wake kajenga kwa ajili yao yeye akipangisha kuna tatizo gani.

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 ปีที่แล้ว +1

    amekukomesha leo we mdada mpenda umbea Asante sana #Mbosso hawana kazi za kufanya hao.

  • @princebuui7603
    @princebuui7603 5 ปีที่แล้ว +5

    Lakn unajua twende mbele turudi nyuma v2 vyengine wasanii wenyewe ndo tunampenda wa2 waongee maana kama ni yako ama cio yako ilikuwa cio lazm kupost kama haupo tayar kuzngumza kuhusu iyo nyumba ungeetulia then ukiwa tayr unafunguka japo tutaonekana wa mbea lakn kwenye ukwel lazm tuongee kama mashabiki zako napia ww ni msanii ataupost chupi lazm tuulize vp ni yako au

    • @sabrahmrope5999
      @sabrahmrope5999 5 ปีที่แล้ว +1

      Babuu....usanii ni kioo cha jamii mbosso kutuonesha kama ana kwake anatumulika sisi shabiki zake tuone tufight na sisi tupate pa kupumzikia pazuri ukiona umpendae ana mafanikio lkini hayakubdilishi wewe kwa namna yyote ile basi jua una nyota ya umaskini.....dont get angry bi inspired...go go go Mbosso

  • @mligombuma2287
    @mligombuma2287 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama umepanga si useme kijanaaa acha ubabaifuuu

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 5 ปีที่แล้ว +2

    KWANI NI LAZIMA KILA KITU MUJUE JAMANI

  • @januarymwita9410
    @januarymwita9410 5 ปีที่แล้ว +1

    nikweli

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 5 ปีที่แล้ว +1

    Bosoooooo uko ma wiguni ehe mmeshelewa. 🤣🤣🤣🤣🤗 domana uogizi wako umebebwa nanawake utabaki kileleni 🤩

  • @safariadrien8544
    @safariadrien8544 5 ปีที่แล้ว +1

    sijamaliza 🤣🤣🤣mbosso bwana

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +3

    Nyumba yako sio yako inakuhusu wew mwenyewe kwan mwanzon ulikuwa unaishi wap

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว +7

    mfa maji aish kutapatap sili ikifichuka lazima mtu ajiteteee

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    intervierwer una ufala sana ,maswali gani hayo....huna adabu

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 5 ปีที่แล้ว +3

    Halafu mwacheni kaka aishi mbona mnamfatilia hivo wewe unamhoji unaishi kwako au kwa wazazi! Haaaa ajabu mnamshangaa kuishi nyumba nzuri ama nini

  • @youngramajrtz2215
    @youngramajrtz2215 5 ปีที่แล้ว

    Alisema namilikiii

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    intervierwer una ufala sana ,maswali gani hayo....huna adabu....mpumbavu sana

  • @omarshariff1199
    @omarshariff1199 5 ปีที่แล้ว

    Kushadadia

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    STALKER

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +2

    Acha sifa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 ปีที่แล้ว

    Hazi xema

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    MBOSSO HAJASEMA HIVO KWENYE POST NA HILO NENO BADO LAMUUMIZZA SANA

  • @sharifumichumba7391
    @sharifumichumba7391 5 ปีที่แล้ว +1

    hauna lolote ndo maana huna mwili wala sura ya mzk kiki Kama mwanamke

  • @jbmaru96
    @jbmaru96 5 ปีที่แล้ว

    You ask questions and you can't even answer to yourself bwaahahahaaaa

  • @jamilaomar9860
    @jamilaomar9860 5 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁😁ghai

    • @ummuismail7597
      @ummuismail7597 5 ปีที่แล้ว

      kwel wanaume wengine kama mabinti

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    mpumbavu

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    intervierwer una ufala sana ,maswali gani hayo....huna adabu

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    intervierwer una ufala sana ,maswali gani hayo....huna adabu

  • @therealvictorkitur_6747
    @therealvictorkitur_6747 5 ปีที่แล้ว

    intervierwer una ufala sana ,maswali gani hayo....huna adabu