🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • 🔴#SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM 9/09/2024

ความคิดเห็น • 9

  • @MohdKombo-k3f
    @MohdKombo-k3f 7 วันที่ผ่านมา +2

    Melinda kumtak kagoma na pesa mlitoa lkn Sasa mnasema Hana hadhi ya kuchezea yanga labda timu ndogo je uwo ndio uwangana nyie kusema Hana hadhi iy sio kumkosea heshima yusuf

  • @jobanosisye7340
    @jobanosisye7340 7 วันที่ผ่านมา +1

    Inasadikika Azam ubingwa ule alitoa basi kwa mbeya city

  • @BukuruNichodemas
    @BukuruNichodemas 4 วันที่ผ่านมา

    Wasafi nawakubali sana ila Hans Raphael namukumbuka sana hapo tulichukuliwa mashine ya kuchambua soka

  • @kennethkapanga670
    @kennethkapanga670 7 วันที่ผ่านมา

    Endapo CR7 angeanzia kucheza hispania basi sasaivi angekua na zaidi ya goli elfu2, maana hispania ndiko alikopatia goli nyingi sanaa kuliko match alizocheza na ndiko alikompita Messi kwa magoli.. LaLiga amefunga zaidi ya magoli 450 na kuvunja record zote za real madrid ambapo hakufanikiwa kufanya hivo akiwa ligi zingine!

  • @kennethkapanga670
    @kennethkapanga670 7 วันที่ผ่านมา

    Kama mchezaji ni wahadhi ya chini kiasi hiki mbona mnahangaika naye kiasi hiki na kumtolea maneno ya kumshushia hadhi kiasi hiki!

  • @OmaryLissu-ms2ln
    @OmaryLissu-ms2ln 5 วันที่ผ่านมา

    huyo zidan kasha wasili united

  • @Evelius-t8q
    @Evelius-t8q 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie wachanbuzi ni mfano wa kuigwa achana na mamluki walio ende upande wapili watahangaika sana

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 7 วันที่ผ่านมา +2

    Nimependa mchango wa kiongozi wa uchambuzi. Azam wangekwepa kuingia kwenye uendeshaji wa timu yao kama vilabu vya Yanga na Simba.
    Kwanza hawana watu wanaowapressurize kama hizo timu. Wamekosea sana kumfukuza Dabo na wasaidizi wake. Watakuja kujuta na ujinga wao. Walivyomnyakua Feisal ndiyo wakaona wajanja.
    Yaani Azam waendelee na biashara ya kuoka mikate.