usaili, wakati mwengin hauendan na kaz mtu anayoomba....ila pia kuna changamoto ya watu wengin kutok mbali zaid alaf mwisho wa sku fanikio linakua dogo.. 1. kue na usaili wa mtandao 2. usaili ujikite zaid kweny 'persuasive course" kinyume na hule tulouzoea 3. wasailiwa waulizwe mbinu za utatuzi wa migogoro kulingana na kile alicho kiombea kazi...mathalan 'mtu anapewa changamoto alafu atatue kw namna inayokubalika'
True!! Mimi kipindi Cha 201au 2013 kipindi kile ni ZRB niliitwa interview zote yaani PBA na unguja lkn sikuja kwani nilikuwa sina taarifa ya sms Wala calling. Sasa kumbe majina waliyaweka ktk website yao na mbao za matangazo kule mazizini. Kwa hyo ilipita miezi kadhaa baada ya interview ndyo najua kumbe Hawa washafanya interview. Hapo baada ya kuja kwenye interview nyingine ya kijanja janja ya pbz,ndyo nikakutana na jamaa anafanana jina kama langu Tena majina yetu mawili yanafanana. Yy baadae jioni nipo maeneo ya kiponda ndyo akaniambia wajina mbona hukuja ktk interview za ZRB?? Nikamwambia Bado hawajaita ,yy akasema mbona tayari. Nili be frustrated yaani. Nikasema Sasa hawajuwi Kuna wengine access ya internet hawana,Kuna wengine wapo nje mji/nchi.!!?? Yaani mauzauza cjajua hii mamlaka vipi wao!!
@moja ya changamoto kubw ni hii, nafasi ni 6 watu ni more than 100... kuna nyakat ni kama vile fikra zinamfanya mtu ajute kw nin kasoma..., labda sas kweny maomb ya ajira kungekua na utaratibu wa 'batches",,, mfano kaz inahitaj 200workers...zigawanywe hizi kiasilimia kw miaka yote ambayo watu weng wamekaa bila kaziuser-ne9nd5np7n
Hongera sana
Duuh Yan watu 50 Kwa mia 700 kweli hapo kazi ipo
Intvu ni kumbukumbu tu Zanzbr kwa sasa yaani its just,,,, wenzangu washaelewa what i mean
True
usaili, wakati mwengin hauendan na kaz mtu anayoomba....ila pia kuna changamoto ya watu wengin kutok mbali zaid alaf mwisho wa sku fanikio linakua dogo..
1. kue na usaili wa mtandao
2. usaili ujikite zaid kweny 'persuasive course" kinyume na hule tulouzoea
3. wasailiwa waulizwe mbinu za utatuzi wa migogoro kulingana na kile alicho kiombea kazi...mathalan 'mtu anapewa changamoto alafu atatue kw namna inayokubalika'
Pointi mkuu
✍️@@adkajisi4536
True!! Mimi kipindi Cha 201au 2013 kipindi kile ni ZRB niliitwa interview zote yaani PBA na unguja lkn sikuja kwani nilikuwa sina taarifa ya sms Wala calling. Sasa kumbe majina waliyaweka ktk website yao na mbao za matangazo kule mazizini. Kwa hyo ilipita miezi kadhaa baada ya interview ndyo najua kumbe Hawa washafanya interview. Hapo baada ya kuja kwenye interview nyingine ya kijanja janja ya pbz,ndyo nikakutana na jamaa anafanana jina kama langu Tena majina yetu mawili yanafanana. Yy baadae jioni nipo maeneo ya kiponda ndyo akaniambia wajina mbona hukuja ktk interview za ZRB?? Nikamwambia Bado hawajaita ,yy akasema mbona tayari. Nili be frustrated yaani. Nikasema Sasa hawajuwi Kuna wengine access ya internet hawana,Kuna wengine wapo nje mji/nchi.!!?? Yaani mauzauza cjajua hii mamlaka vipi wao!!
nafasi 50 waombaji zaidi ya 700! Aloo!
Makubwa😅😅😅😅😅
Baadaya ya usajili bodi Ina watu wake mifukoni dah
✌️✌️✌️
Mbona zilikuwa kimyaa kimyaa??
watu 700, watakiwa wangapi?
Hatari kubwa
@moja ya changamoto kubw ni hii, nafasi ni 6 watu ni more than 100...
kuna nyakat ni kama vile fikra zinamfanya mtu ajute kw nin kasoma..., labda sas kweny maomb ya ajira kungekua na utaratibu wa 'batches",,, mfano kaz inahitaj 200workers...zigawanywe hizi kiasilimia kw miaka yote ambayo watu weng wamekaa bila kaziuser-ne9nd5np7n