Kura Ya Maamuzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Magavana wa muungano wa jubilee wanaounga mkono kura ya maamuzi wanasema hawatalegeza kamba, licha ya shinikizo la rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto. Magavana hao Isaac Ruto, Prof Paul Chepkwony Na Peter Munya wamesisitiza lengo lao sio kukaidi msimamo wa viongozi wa jubilee, bali kuhakikisha raslimali za kutosha zinafika mashinani. Hata hivyo naibu wa rais na viongozi wengine wa jubilee wamewataka magavana kujadiliana na serikali ya kitaifa kuhusu ugavi wa raslimali za umma.

ความคิดเห็น •