Video hii ya 2020 ikimuonesha Jay Z akiwa aelewi kinachoendelea wakati Diddy akizungumza yawa gumzo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 48

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu atujarie mwisho mwema hiyi dunia inasisimua

  • @bizzyjunior_tz
    @bizzyjunior_tz 6 หลายเดือนก่อน +11

    Jay z always looks like that , he is always angry on his face but inside he's happy

  • @donlee9992
    @donlee9992 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wamoja ao jamaa asee wasinge kuwa wamoja wasinge kusanyika pamoja ndege wafananao uluka kwa pamoja....😂😂

  • @davidlaiser8174
    @davidlaiser8174 6 หลายเดือนก่อน +5

    At the end of all aligonga glass na Diddy.Wote hawa siwaamini.Huenda Jay Z anataka kujisafisha.Anataka jamii ianze kumuona yeye ni tofauti kabisa wakati sio kweli.Yeye na Didy walisheherekea jinsi mziki ulivyokua upande wao na kuibua kizazi cha muziki ambacho kimebadilisha kabisa uelekeo wa kawaida wa kibinadamu..
    NB: Sio Marekani tu na hata hapa Afrika kuna label nyingi zinatakiwa zichunguzwe.Wanamuziki wengi wanakuwa Mashoga.Na wasanii wengi hata hapa Bongo huwa wanaandaa Parties ndani yake zikijaa ufuska wa aina mbalimbali na vilevi pia kujilevya.Na conection zinapoanzia hapo.

  • @Donrugi
    @Donrugi 6 หลายเดือนก่อน +11

    ukiangalia hiyo picha, Ukarejea post ya Meek mill aliyo ipost X kuwa ( American made to tear black men down if you don't follow Orders) halafu ukaunganisha na kinacho endelea kwa Pdiddy then ukakumbuka habari za R-kelly... Nazidi kuchanganyikiwa

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 หลายเดือนก่อน +4

      P didy ni mharifu hakuna chakuonewa hao ni maganster 1997 Diddy anahusishwa na kifo cha 2 pac na umafia wa kila Aina Leo ni karibu miaka 30 tangu izo shutma zitimie ivyo si bure wala kuonewa hao ni watu wahuni sio Leo wala jana

    • @Donrugi
      @Donrugi 6 หลายเดือนก่อน

      @@FahadAbubakari kama ipo hivo unahisi kwanini kesi zote zimeanza hivi karibuni na ukweli wa uovu wa Diddy walikuwa nao toka miaka hiyo. Simaanishi Diddy hana kosa lakini pia sikubali kuwa ana hayo makosa. 2 pac kafa since 1997, walio nyanyaswa kingono ilikiwa sio miaka ya hivi karibuni, Ninacho jiuliza ni kwanini hakufunguliwa mashitaki muda mrefu?, angalia tuhuma za R kelly zilizo muweka jera, zote za zamani. Hii inamaanisha wapo celebrates wengi ambao kuna mafile ya mabaya yao ila muda haujafika kuyaweka wazi. Nikawa narelate na tweet na Meek mill kuwa ( American made to tear black men down, if you don't follow Orders ) meek mill akaandika anatamani kuhamia Africa nchini Ghana. Hii inakupa picha gani? Don't you think kuna mambo nyuma ya kinacho endelea kuwakuta.

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 6 หลายเดือนก่อน +8

    Jayz Ni Mtu M-Bad Sana Ndani Ya U.S.A ukikaa Anga Zake Anaweza Kukupoteza

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 6 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂 video ya mda imeanza kutafsriliwa leo

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 5 หลายเดือนก่อน +1

    Cha pili ni sawa

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 6 หลายเดือนก่อน

    Analysis yako na kinachoonekana ni tofauti. Jz anasikiliza na ku reply..

  • @zuwenasleiman3587
    @zuwenasleiman3587 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mnalazimisha

  • @trio9911
    @trio9911 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mnaforce tu habari io video haina shida kama jay z angekua na shida asinge cheer apo uku aki smile wanaomjua jay z wataelewa, hanaga unafki yule mwamba

    • @neltone
      @neltone 5 หลายเดือนก่อน

      Thank you bro!umenisaidia kujb

    • @neltone
      @neltone 5 หลายเดือนก่อน

      Thank you bro!umenisaidia kujb

    • @neltone
      @neltone 5 หลายเดือนก่อน

      Thank you bro!umenisaidia kujb

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mweupe mwenye nywele ni mjanja, anataka siku kikiwalamba amkatae mwenzie😂😂😂

  • @Rodamathayo
    @Rodamathayo 5 วันที่ผ่านมา

    Duniani leo

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 6 หลายเดือนก่อน +5

    😂 jayz hivyo ndivyo alivyo huyu jamaa wakti wote sura ngumu anamchezo kabisaa. Bt ni mtu poa ila usijaribu kuingia anga zake weeeee😂

    • @IreneIsack-qp9ns
      @IreneIsack-qp9ns 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mmmmh siyo kwel wanasiri zito za maisha yao uwenz mjuwa mt kwa ivyo t

  • @preciousbenedict6220
    @preciousbenedict6220 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka punguza kuremba sauti tamka maneno yaeleweke

    • @Pemba680
      @Pemba680 5 หลายเดือนก่อน

      Jamaa anazinguwa sanaaaaa Yani mbwe mbwe nyingi mpka anabowa

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 หลายเดือนก่อน

      Ndio sauti yake

  • @VincentKaranja-ph6mz
    @VincentKaranja-ph6mz 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jay z ndo amebeba habari yote ata Diddy na Kerry ni ndogo

    • @hassanguzo8026
      @hassanguzo8026 6 หลายเดือนก่อน

      Mm waja hamkosi ya kusema kumbe mnajua mbona mlikaa kimya kipindi chote icho namna mengi mnayajua kumuusu izo zote nichukii tuuu

  • @bongoupdatestv9322
    @bongoupdatestv9322 6 หลายเดือนก่อน

    Alianza mwaisa kuitafsiri hii😂😂😂😂

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amna hata Moja ya mliyodhani Jay Z .. ispokuwa Jay-Z kakaa kibishara zaidi awezi jiachia😅

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂wazungu hawajawahi fel yan wanataka kuwafuta weusi kabisa

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona Jay Z yupo tu thats is right sasa hio wrong imetoka wapi?

  • @AssaMzubwe
    @AssaMzubwe 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndugu kafanyiwa human cloning

    • @josephsamwel6511
      @josephsamwel6511 5 หลายเดือนก่อน

      Daah naskia wengi wamefanyiw hvyo hadi Eminem

    • @AssaMzubwe
      @AssaMzubwe 5 หลายเดือนก่อน

      @@josephsamwel6511 Eh kaka @SimuliziNaSauti hajaona hii

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 6 หลายเดือนก่อน +2

    Its seems Jay Z didn’t want to show off

  • @hilaliabousalim2715
    @hilaliabousalim2715 5 หลายเดือนก่อน

    Sio aelewi ni haelewi

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 6 หลายเดือนก่อน

    I'm so sad about this dude He is behind about What's R Kelly Passing through right now

  • @mackdonaldalex7162
    @mackdonaldalex7162 6 หลายเดือนก่อน

    Jmaa j z kama alikua anajua kitakacho enda kumtokea didy au alikua anajua baadh ya vitu vibaya wanavyofanya na didy ndo maana didy anavyooongea jamaa.. anahofia tu didy asije akatoa sir zao ndo maana jamaa kama ataki kucheka iv

  • @Bongovlogs
    @Bongovlogs 5 หลายเดือนก่อน

    Jamaa ana sauti nzuri ila haujui jinsi ya kuitumia, pungua kuongea haraka sauti yako inaitaji kuongea kwa vituo

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 6 หลายเดือนก่อน

    🇫🇮🇫🇮

  • @PaulNdauka
    @PaulNdauka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wee mpuuzi tu Jiga kafanya nn hapo....unataka tu kumkandamiza Diddy kiaina

  • @mylasadick5189
    @mylasadick5189 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hizo zote ni sababu
    Mtaka fitina hakosi sababu

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน

      We unaeajua hao jamaa wanachokifanya nyuma ya pazia? Acheni kutetea Kila kitu sio Kila kitu ni ubaguzi hao jamaa Wana mambo mengi machafu wanafanya nyuma ya pazia

    • @hassanguzo8026
      @hassanguzo8026 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Oldskulgemini9991aya tutajie unayo yajua kuwahusu sikuzote mtu akifanikiwa fitinna azikosekani khaa mbona kipindi wanajitafuta awakuandamwa baada yakuwa mabiloonea ndo wanaibuka na mada zao embu punguzeni chuki bana