COUNTY OFFICERS VS MUGUKA TRADERS IN MOMBASA ( IKO NINI )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #ikonini #ikoninipodcast #ian #rapcha #muguka
    Tensions flare in Mombasa as county officers clash with Muguka traders. Stay tuned on Iko Nini as Ian and Rapch The Seyantist shed more light on the drama as the two sides battle over the controversial stimulant. Mombasa County recently issued a ban on Muguka, citing its harmful effects, especially on young people.
    The ban was implemented due to concerns about:
    1). Mental health: Studies suggest Muguka consumption can lead to mental health problems and addiction.
    2). Youth access: Despite regulations, some traders were selling Muguka to minors, raising concerns about its impact on their development.
    3). Social and economic burden: The rise in Muguka addiction was seen as straining rehabilitation facilities and impacting families financially.
    JOIN LINEBET USING THE IKO NINI LINK
    lb-aff.com//L?...
    Here is the shortened Link : rb.gy/2j5jy6
    SUPPORT IKO NINI THROUGH CASHAPP
    $IKONINI
    BECOME A MEMBER FOR EARLY ACCESS & EXCLUSIVE CONTENT:
    / @ikonini

ความคิดเห็น • 28

  • @kemboichesimet1810
    @kemboichesimet1810 3 หลายเดือนก่อน +2

    Green Gold!!!!Whaaaaaat

  • @BassCK
    @BassCK 3 หลายเดือนก่อน +5

    The Remnants wanawakilisha mbaya!!!

  • @princejoelkenya7902
    @princejoelkenya7902 3 หลายเดือนก่อน +4

    After 50 years of independence ndio imekuwa harmful

  • @winniesafi
    @winniesafi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Green gold ni bhangi pia Rapcha 🤣🤣🔥

  • @kemboichesimet1810
    @kemboichesimet1810 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ipepetwe pole kwa safari!!!!!whaaaaaat

  • @josephkimani2089
    @josephkimani2089 3 หลายเดือนก่อน

    Gavana hakufikiria alikurupuka na county yuadhani ni kwake

  • @learnwithngangangaruiya8647
    @learnwithngangangaruiya8647 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mboga imezidi unga.

    • @BryanK254
      @BryanK254 3 หลายเดือนก่อน

  • @kipkoechkosgei104
    @kipkoechkosgei104 3 หลายเดือนก่อน +1

    i don't like mugukaa but Mombasa case is political. there are so many other drugs that are more harmful than mugukaa and no one is touching it. why only mugukaa and not miraa? why mugukaa and not alcohol and cigarettes?

  • @King_Dan1
    @King_Dan1 3 หลายเดือนก่อน

    Gwethe tv live😂😂 first aluta station should be in this clip 😂

  • @gideonwanjau428
    @gideonwanjau428 3 หลายเดือนก่อน

    Miraa haiaffect ngono kwa kukulana but low libido

  • @sharikharib
    @sharikharib 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni siasa hakuna kitu ya hii magnitude inaeza fanyika by chance.

  • @ianmusee
    @ianmusee 3 หลายเดือนก่อน

    Mchele/ maini

  • @bryanmigot8943
    @bryanmigot8943 3 หลายเดือนก่อน

    Big fan but leo kidogo mko under informed.... The biggest issue in coast ni mogaka is cheap and accessible to kids. Finally the rehabs and mental institution in coast have 50% of patients being mogoka users.

    • @jaydenmaura457
      @jaydenmaura457 3 หลายเดือนก่อน

      But vile unaongea nikama muguka ni excuse ya ukabila

    • @josephkimani2089
      @josephkimani2089 3 หลายเดือนก่อน +1

      Watoto kula mogoka ni kusema wazazi wamezembea . Mtoto akinywa pombe na sigara tutaban pia hizo. Kisha nani yualaximishwa ale moguka. It's a person choice. Protect ya kids educate them and advice em not to chew khat. Kisha vijana wa coast wapewe kazi waache kuwa idle.

    • @triplebeans4159
      @triplebeans4159 3 หลายเดือนก่อน

      Serikali sio mzazi wa MTU let people be.I don't abuse any form of drugs but I don't want anyone controlling my life choices as an adult.

  • @bridge.f
    @bridge.f 3 หลายเดือนก่อน

    😆

  • @kabuthakabutha9472
    @kabuthakabutha9472 3 หลายเดือนก่อน +4

    I can't believe it, you guys are being insensitive on this crucial matter. Nyinyi hamuko Mombasa so you know nothing about its effects, the research+ statistics since 2019 behind the same. Sometimes fanyeni ka research kiasi before airing issues.
    But hey this is a comedy show and its your space. 😀"Wabara munajua zaidi kutuliko sisi watu wa Mombasa wenye hatujasoma" 😀😀😀 wacha tuendelee kukaa vibarazani and being lazy, but you still come for our money for the sale of that mboga ya sumu. 😀😀😀😀😀

    • @Play_Streams
      @Play_Streams 3 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly, this ghetto mindset will ruin the country. People are easily addicted and leave their normal way of life, wanaharibu kazi na family.

    • @eugeneokoti2899
      @eugeneokoti2899 3 หลายเดือนก่อน

      Some of the hardest drugs have a big market in the coast, why are we not hearing of raids on heroin, cocain etc.....Miraa is actually a legal sabstance .....the others are straight up illegal ....Put your leadership to task on this ...ask yourself who benefits

    • @njo9745
      @njo9745 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kwani inakuliwa coast pekee, it's political

    • @dennismukoyatv
      @dennismukoyatv 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@njo9745 Na mbona watu wa Embu na Meru hawana uraibu wa kutafuna matawi na majani hayo?
      Huu ni uchoyo na ulafi wa hali ya juu kutoka kwa wauzaji ikizingatiwa kwamba wapwani wenyewe wanalalamikia vijana wao kuacha shule, uhalifu, shida za kiafya (meno na ndimi) na isitoshe kulazimika kulipia Rehab kwa watoto wao.
      Ndio twaweza fanya mzaha juu ya watu kutengeneza donge nono kutokana na muguka lakini pia tukumbuke kwamba Pablo Escobar pia alikuwa kwenye Forbes list ya watu tajiri zaidi ulimwenguni wakati biashara yake ya uuzaji wa Cocaine ilikuwa imenoga ulimwenguni kote.
      Je, unafikiria Cocaine au Heroin ni kitu cha manufaa jamii, sababu ya pekee ikiwa kinamletea muuzaji faida?

    • @kipkoechkosgei104
      @kipkoechkosgei104 3 หลายเดือนก่อน +2

      this thing is purely political bro. so you mean mugukaa imeharibu watu wa coast but miraa iko sawa? you mean miraa is more harmful than alcohol and cigarettes? nionyeshe one person in rehabilitation because of mugukaa,.