Mwabukusi Afunguka Baada ya Kufanya Mazungumzo na Jaji Mkuu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • #ijuesheria

ความคิดเห็น • 18

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kupanga mipango ya TLS kuzingatia mpango wa maendeleo wa taifa ( National Development Vision) busara kubwa hongereni

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😂ATAKAA SAWA TU

  • @mossessimon2493
    @mossessimon2493 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakupata sana mwamba.. kuna kitu unatengeneza nakuelewa vizur 👏 👏

  • @knight6757
    @knight6757 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kila la kheeri...!

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sina shaka na namna Rais huyu wa TLS anavyoenenda na kuwapelekea mambo mbalimbali wahusika (hasa viongozi) kama jaji mkuu na wengine ktk maeneo yao. Bila shaka yoyote udumavu wa mahakama yetu ni miongoni mwa sababu kuu za kukosekana kwa utawala bora nchini, ambapo EXECUTIVE (ikulu na serikali kwa jumla) imekuwa ndiyo kila kitu na inafanya ipendavyo bila kujali.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwambukusi hakuwa na njaa,na hana njaa,yeye ni miongoni mwale wasiopenda uonevu,anapenda haki kwa wote.ni mchapa kazi kweli kweli.sio mtu wa majungu.umuelewe hivyo,pia ni mcha mungu kwa familiya yao.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nadhani unafanya kazi nzuri sana. Chama cha wanasheria cha Uingereza na Wales ndicho huandika sheria za nchi hiyo . Itapasa hiyo section four iongezewe hoja hii ili kuipa TLS ushirikishwaji wa wansnchi zaidi .

  • @OmlyJosefat
    @OmlyJosefat 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napenda kilakitu kutoka kwa huyu mwamba ,,,,, na hilo jinalake duuuh linanikosha sana ,,,,viva mwabukusi

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa,mwamba kusikilizwa na kutenda ni jambo lingine.

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yangu masikio na macho kwisha habari.

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwabukuzi ni njaa ilikuwa inamsumbua Sasa kichaa kimepoa heshima debe😂😂😂

    • @StevenSanga-n3n
      @StevenSanga-n3n 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ni mkundu mwabu hanagq njaaa labda wew na mqma abdul

    • @adenmwakalobo760
      @adenmwakalobo760 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha ujinga, hadi sasa ni lipi alilolifanya tofauti na msimamo wake wa siku zote mpaka umzodoe namna hiyo? Usiwe mvurugaji, jenga hoja na weka ushahidi wa tuhuma yako tafadhali.

    • @luganomwaigomole7441
      @luganomwaigomole7441 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kifupi jamaa alishakataa zaidi ya MILIONI 100 kisa bandari ili awe kimyaaa kabisa ​@@StevenSanga-n3n

  • @bozeydayana4920
    @bozeydayana4920 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙏
    Genius, be blessed all.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ✌️👊👍.

  • @deborajoseph9701
    @deborajoseph9701 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mdgmdg utakaa kwenye mfumo tuuuu

    • @mwlekartiesmwankenja3602
      @mwlekartiesmwankenja3602 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dua yako haitafanikiwa bali taifa litajengwa na wenye moyo