ZUCHU Ashindwa KUJIZUIA Kwa RAYVANNY, Kama Sio DIAMOND RAYVANNY ANGEJIMALIZA -WASAFI FESTIVAL MTWARA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ย. 2023
- ZUCHU Ashindwa KUJIZUIA Kwa RAYVANNY, AMPA MAHABA KAMA YOTE JUKWAANI - WASAFI FESTIVAL MTWARA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Nomaaaassss👏👏👏👏👏👏👏👏🔥🦁
Hii ni tz jaman naipenda nchi yangu na wasanii wetuu
𝐑𝐚𝐲 𝐧𝐢 𝐦𝐨𝐭𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚❤
Respect 💯🔥
Zuchuu ❤️❤️❤️
Simba atakuvunja miguu kweli 😂😅❤❤❤
zuchu the Queen of bongo flavour
Wacha uongo Mzee ., Nandy ndio queen of bongo maana yeye hayupo chini ya Lebo yeyote
@@officialkassimu7791 iyo juu yako mi namtambua zuchu
@@officialkassimu7791nonsense..Nandy just got label last year and not much going on
@@officialkassimu7791tf is wrong with you
Kipaji ndo kimembeba label only promoted it to potential Market 😂
Zuchu's far more talented and versatile than Nandy let alone her VOCALS
Kasikize HASARA, RAHA, NISAMEE UTANIUA,MTASUBIRI na NUMBER ONE!!! ZUCHU'S GOD GIVEN TALENT
BTW hata Nandy alibebwa na late Ruge na clouds media SANA! 💀
@@officialkassimu7791nandy yupo chin ya Mr eazi, emPawa
Ila Simba atakuja nivunja mguu... I love that
🙌🙌🙌🏆
Someone kiss my comments ❤❤❤
vany bway 🎉
Lv
Kama kawa kiwashee
Rayvan umezingua unaogopa kwenda nyuma simba atakuvunja miguu😂😂😂😂😂😂😂
Hii nyimbo noma
Nawakubali
❤❤❤❤
❤❤❤
Ningekuja kwa nyuma ila Simba atanivunja miguu😅😅😅😅😅😅.nimependraaaa
Ulijua aje atuwasaport tunawasaport mbaya tena Sana🤣🤣💯💯💯
Sidhani Kama wakenya wanasaport wasanii wao
Mbosso jukwani eti kama sijaona wakufanana nawe
Najua wakenya MKO HAPA 😅😅 mjifunze kuwa support wasanii WENU muache kubishana na sisi
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hip-hop Sisi ndio kusema East Africa nyinyi muimbe bongo na singeli Tu 😂😂
@@officialkassimu7791aaah wap bila sis ninyi hamtoboi 😂😂😂
Kama Kenya na Tanzania wakiwa kitu kimoja tutaonesha mfano kwa africa
Waelekeze hao
We vipi wacha ubaguzi kaka kama sio sisi wakenya kusuport mziki wa tz usingefika ulipo wakenya tumesuport mziki sana kiba Mombasa kwake mondi kenya mzima vani boy ndio kabisa zuchu ndio mauwano mboso visiwani kwake we vipi
chui de murder en xtage qyller
Tumia tu zuchu simba hana shida
😂😂😂😂😂😂😂😂Ila ray
Mi nimekuja kuangalia show,sijaja kuimba,ushamba wa kuimbisha watu ni ushamba tu
Hakuna maradhi mabaya kama maradhi ya kwa nini
😂😂
Zuchu malaya tu
Kama ulivyo wewe malaya
Heshimu utu wa mtu
Sasa nyie mnatetea ujinga ama
Makotiii
Km ww tu
Mbona watu hawana vibe😂😂😂tatizo mnatumia nguvu😂
Hata hueleweki unasema nini 😂😂 unadhani mtu anaweza kulipa shuka la mmasai kiingilio halafu akose vibe? Au unataka watu warukeruke tu hata kama van anaongea? Timu chinga mna wivu sana. Iliyobaki pigeni picha na mobeto tu
Acha uongo mbwila wewe
Asa mtu atoe hela akose vibe kweli,,kwaiyo unataka mapige makele2,kama wehu ndo ionekane kuna vibe,,duh bongo nyoso😂😂
@@amriamraan2612😂😂😂😂 Nakupendaaaaaa ujuw
@@lareineminah1353 😂😂😂😂😂😂 wanatuvuruga kenge hawa wakati vichwa venyewe vya moto muda wote