Ukiacha ile show ya Idris, hii ni show nyingine amazing! Lord mwanangu sana kitambo! Namshukuru Mungu kukuona hiyo alivyo sasa, mara ya mwisho nilimuona Babylon pale Arusha machozi yalinitoka
My best show in town for now. Salama hujawahi niangusha! Sema mbona unamcheka sana Lord kukwambia ana watoto? huamini anaweza kuwa na watoto kwa alivyo na masihara au?😂
Salma naurii uwe host wakipekee ambae utahoji w2 hawa hawa ila kuhusu pasonal life km watapenda kwasbb ndio watatueleza ya kweli na tutajifunza mengi zaidi asnte
Ktk vipindi bora na interview bora kufurahia ni hii ebhana daah lord umetema madini na umekuwa mkweli sana bro kilichobaki sasa N2N irudi kama mwanzo tumewamiss sana
Je nako 2 nako inaweza kurudi na je km hikirudi VP nafasi ya weusi.......nan muanzilishi wa weusi coz hili neno ulikuwa ukilitumia Mara kwa Mara hata before ya kuunda kundi la weusi
Sikuwahi kumsikia Lord anafunguka ivi this was awesome
Moja kati ya vipindi bora zaidi Kwa mwaka huu, Lord eyes kafanya inspiration moja Kali sana naamini hii video itakuwa somo Kwa vizazi na vizazi
Our lovely president Mh. Samia should see this from Lord eyez and then dicide how to combat drug abuse.he is good and tried to give info
Ukiacha ile show ya Idris, hii ni show nyingine amazing! Lord mwanangu sana kitambo! Namshukuru Mungu kukuona hiyo alivyo sasa, mara ya mwisho nilimuona Babylon pale Arusha machozi yalinitoka
Nimechelewa ila salama unamaswali maziri mashallah
Lord Eyes kanifunza vitu kadhaa 1. Sikiliza 2. Ujanja mwingi ndio unaleta mashaka 3. Kaa mbali na matatizo 🙏🏿
Nakupenda sanaa Salama na kipindi chako, nili kuwa naomba mumtafute Dogo Hashimu nae tumsikie, mzee wa Afro rein.
chukua hatua kufaata msaada....neno kuu sana kutoka kwa lord eyes
The finest of AR, The king of AR. Kichwa kimerudi, all the best
This guy is so real...keep it up lodii🔥
Asalam Alekum SJ.
Jitahidi umlete Mike Tee MNYALU ikiwezekana
kutereza sio kuanguka AMUA NA SIKILIZA🙌🏽
Bless you Lord Eyes!
Madam salama sijawahi kukuona ume enjoy interview Kama hii it's so fan familia
Haya madini ya ndoa ni hatari. Lord eyez ameniinspire since way back
Salama unaongea sauti ya kimahaba kwa kaka lord 😁😁😁 leo nmekuskia kumbe hata ala za roho unaweza 😀😀😀😀😀😂😂😂😂
Sure 😂😂😂
Nimeipensa sana hii interview
Àsante sana Lodiii
only man standing chuga!!
salama mwambie hivo...lors izzy
Nimeish a download mita south korea 👌👌🇰🇷🇰🇷 mpenz wa hip hop%
Found my new favorite show ❤️❤️❤️💯💯💯💯
Key word “SIKILIZA”
WISH ERR BODY GOT IT!
"SIKILIZA" is the #Key2OpenMinds.
Take it / Leave it BUT WISE-MEN believes it! "LISTENING" Yeeees Siiiiir.. We living with it..
One of the best interview ever #yahstonetown
Lord mwana hip-hop kweli Kama Lina Rap interview kali the best
Humble guy 💖💖💖
Nakupenda sana
Asante EasyNako kwa darasa zuri endelea kuwapa msaada huko mtaani bro. Tumepoteza wengi hodari na hii kitu aisee
hongera sana lord eyes nimefurai uko sawa now
Salama your the real deal... Mob love
Uwiiiiiiiii haya majadilino ni the best both mwenye maswali na mwenye maajibu🤝👏👏👏🧠🧠👀👀👀👀
My best show in town for now. Salama hujawahi niangusha!
Sema mbona unamcheka sana Lord kukwambia ana watoto? huamini anaweza kuwa na watoto kwa alivyo na masihara au?😂
Hii soundtrack mwishoni Jamaa anayeimba katisha sana
Salama kipindi ni kizuri ila nitafrahi ukimleta chid benz
ni kweli madawa yamepungua kasi mtaani@true fact.
Nice one Salama.
lord ni kichwaaa asei,ni zaidi ya shule
Hiphop ni knowledge nako 2 nako ni college says the lord
Da salama tunaomba utuletee Chid Benz
Ah lodiii! Salama be like 😋
Nampenda sana lord
Salama anaenjoy kumuoji eyes
Salma naurii uwe host wakipekee ambae utahoji w2 hawa hawa ila kuhusu pasonal life km watapenda kwasbb ndio watatueleza ya kweli na tutajifunza mengi zaidi asnte
Eaz nako real dude on drugs kanigusa sanaa
Nice
Elimu ya kutosha
King izy so easy kuwa ivi ...... 👊
Mukuuuuuu nakukubali sana
Uko vzr Lord👊
Chuganistan
best interview
Hip Hop Head East Africa best nice bringing him here to share Girl....
asante salama asante Lord iz
Nice sana salama upo vzr
Upo Fact Ezy
Ktk vipindi bora na interview bora kufurahia ni hii ebhana daah lord umetema madini na umekuwa mkweli sana bro kilichobaki sasa N2N irudi kama mwanzo tumewamiss sana
Bless
....and that is LEGACY
madame salama anapenda black tshirt kila interview
It’s her favorite. Kila mtu ana vitu apendavyo duniani
najua siku utamwita naseeb abdul juma nami nitaluwepo kuangalia
Story ya da husla mliikata au hamkurudi tena so kama mmeiacha ina hanga
Hajataka sababu sio story yake Ibra nae ataitwa aje.
Nakukubali sana kaka
Mlete ibra da hustler
Namkubali Sana huyu mwamba
Imenigusa sana hii
Isack
Jamaa Andrew Msechu wapi?
King eyes
nako2nako ipo !!!!???? sasa mnona haionekani
Je nako 2 nako inaweza kurudi na je km hikirudi VP nafasi ya weusi.......nan muanzilishi wa weusi coz hili neno ulikuwa ukilitumia Mara kwa Mara hata before ya kuunda kundi la weusi
Nenda skiliza, wimbo wa Joh wanakoshwa na hizi 2003 anatumia neno hilo
hamna mwalimu mkubwa kama MUDA
apo Lodiiiii ! hahahah nimecheka sna
Kuoa sio fashion 🤣🤣🤣
Hiyo ngoma mwishoni ya nani kama nimeielewa vile
Inaitwa Yeah kaimba Marco Chali.
Kaimba Marco Chali inaitwa Yeah
Jamaa bhana kanikumbusha sana msemo wa chuga kwa demu malaya eti “beki hazikabi”
🤣🤣
Salama fanya umlete ibraa dahasla
to be honest hii ni bonge la show somo zito kutoka kwa Lord eyes tunamuomba Allah amsimamie kwenye mambo yake
Nice one
King Eyez
Kipindi kizuli
2chainz wa bongo
Shout out to Lord
King Easy' my fav mc
N2N soldiers hawatuwezi
💯
Loyd umesomeka baba
Wape somo offsa usije rud uko tupe michano sasa
Chid anakwama wp mbn afya ya load eyesimerud
Hujamuona Chid ww
Ujamwona kitambo nini!
Chid ana shaaavu mpk linadondoka km zamani tu! Check it out@wasafimedia wamemuhoji juzi tu! Acha kulala wewe @jackline_katandula
wiiiiiiiiiiiikeeed
Sauti yake ilinifanya nipende kazi, ni furaha kujua yuko poa saiv.
Game gumu,commercial nigaz...
.
King Izzy Ololoo son
Salama ni m-cute aisee sana. And Lord eyes has stunter, so sex.
Anyone noticed Eyez trying to sound like FidQ
That's great!
All the best buddy.
Not true... I know Lord since dat unno. I live in Arusha and I have met him many times here in my town. Thats his accent/tone