Huu hapa UKWELI kuhusu AZIZ KI kusaini mkataba mpya YANGA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • #yanga #azizki #wananchi #usajili #ligikuu #hersi

ความคิดเห็น • 20

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883  16 วันที่ผ่านมา +2

    Mtazamaji Bongo TV Online. Ili kupata taarifa za michezo na burudani, exclusive kabisa... tafadhali SUBSCRIBE chaneli hii. Karibu...!!!

  • @user-rr9kv1cu7m
    @user-rr9kv1cu7m 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hivyo hivyo Rais Heris jembe kama kambakiza K Aziz,haijalishi kasaini Leo au mwezi uliopita. Uongozi na wafadhili safiiiiii.

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 16 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo makolo mmeangukia pua😂😂😂😂

  • @mosesmulashani5124
    @mosesmulashani5124 16 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana na uchambuzi huu!!

  • @MariamKalanda
    @MariamKalanda 16 วันที่ผ่านมา

    Kwan Sasa makolo mmefyata,

  • @SecyMdawa
    @SecyMdawa 16 วันที่ผ่านมา

    😮

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 16 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi Angalau umenifariji

  • @AlphermooAlpherchomoka
    @AlphermooAlpherchomoka 17 วันที่ผ่านมา

    Anatangazwa lini sasa

  • @robertjoackim10
    @robertjoackim10 17 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 16 วันที่ผ่านมา

    SAFARI HII YANGA TUNAWAKOMESHA WACHAMBUZI NA WAAMDISHI UCHWARA UCHWARA MPAKA WAIHESHIMU YANGA

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 16 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona mnasemaameenda simba?

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 16 วันที่ผ่านมา

    Nyenyenyenye,simba,shenzi kabisa yanga juuuuuuu sana

  • @saidishamte635
    @saidishamte635 16 วันที่ผ่านมา

    Azizi ki anakwenda Simba aminini wapenzi wenzangu wa yanga

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 16 วันที่ผ่านมา

      Simba ni klabu kubwa??

    • @mrishojuma4695
      @mrishojuma4695 16 วันที่ผ่านมา

      Hivi unaakili kweli wewe? Mtu aliisha Saini Yanga zamani

    • @Last403
      @Last403 16 วันที่ผ่านมา

      Labda Simba wa mwituni kutalii ila hawa mikia wakariakoo 😂

    • @user-eg9jq5ny3n
      @user-eg9jq5ny3n 16 วันที่ผ่านมา

      Punjuuuu😅😂

    • @user-eg9jq5ny3n
      @user-eg9jq5ny3n 16 วันที่ผ่านมา

      Chiziiiii😂😂