Kiki za kipumbavu hizi mpaka wakumbebea vitu anao waandishi wa habari kama wote wapi kunaruhusu sehemu kama hiyo mtunkuingia hivyo na ma vitanda tibadili Kiki kidogo hizi za kujiandalia mpaka waandishi wa habari tuache by the way haija make sense kabisaaa hapo hapo anatangaza sidiria kafungasha sidiria kama lote 🤣🤣🤣atar
Waswahili kupenda sifa jamqn
Nawee masha, bint wa kiislamu unaongea na waandish na khanga ya kifua!!!!! Subhanallah Mungu akusamehe
Ramadhani muislam kama yeye hamna
Kama umeona kwapa la Masha gonga like twende sawa
Masha anajua kuitafuta pesa kwa style yake. Ushaingiza pesa tayari wajanja tushakuelewa
Nilisema hii ni kiki🤣🤣🤣🤣🤣
Hee Masha bwana na kanga ya shingo😂😂😂😂😂😂😂
Bongo noma duh
Mashaa wee kiboko kbsaaaa 😂😂😂
Congratulations masalove
Kuwa na adabu masha k.koo sio uswahilini
Mashallah
Kwendraaa
Yani huyu dada Hhhh 😆😆😆😆😆😆😆
😂😂🙌🙌shkamo masha
Mashaa 🙌✌️
khadija yusuph😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Khadija yusufu umesikia Mama
Mmmm
🙌🙌🙌🙌
Safiii
Nmempenda uyu dada
Itakuwa akili zako na zake zinafanana
Ombi Masha unawazamu gani nimecheka mpaka basi eti Hadija yusufu upo wapi ,
Chezea maisha ya Dar😂🤣🥁🥁😂🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mh mbn kubwa ivy sidiria hahaaa
Nacharo anapatikana wap
Are you aout of your mind
Heeee😂😂😂😂😂😂😂🤣
Ww ni kiboko wa kupambana
Chizi wangu😅😅😅
Ma hatar
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aaaaaakhaaaa
Mm nilijua tu itakuwa kiki hiii wasanii waanatufanyaga sisi vichaaa
RAZI ZA WAUME ZIKO....SIO KWA HALI HII...
Ata yey na jimy mafufu pia kiki iko siku ataongea
Kiki Kama kiki bongo shkamoo
Kama chizi masha
Jacline unanichekesha jamn
Jamn Masha hahahaha
😁😀
Namba ya simu
Hadija yusuph😂😂😂
Hadjah Yusuph uko wapi mamaa😂😂😂
😂😂😂😂😂 jamani
🤣🤣🤣🤣Tanzania
Wana habari wa Tz mnapata wapi time ya kuhangaika na upuuzi kama huu???!! Kuna habari nyingi sana muhimu za kufuatilia lakini hamzioni.... Duh
Ww unaweza kuona ni upuuzi Ila umeangalia kwa karibu mno.
Masha yupo kazini anaingiza mpunga
@@Userog254 Okay
Hovyo
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
🔥🔥
Machizimnatumikaga vibaya.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii ndio tz
Jmn🤣🤣🤣
mnaweza ona ni vichekesho kumbe mtu anachanganyikiwa polepole😭😭😭😭😭😭uyu dada atakuwa na ukosef wa afya ya akil.....
Mujini kaza hata wa adishi wahabari munakazi
Mhhh...kukosa aibu
Kabisaa
Mtaje no za Simu jaman kwa sisi wa mikoani tunapataje?
Wito wako...
Kiki za kipumbavu hizi mpaka wakumbebea vitu anao waandishi wa habari kama wote wapi kunaruhusu sehemu kama hiyo mtunkuingia hivyo na ma vitanda tibadili Kiki kidogo hizi za kujiandalia mpaka waandishi wa habari tuache by the way haija make sense kabisaaa hapo hapo anatangaza sidiria kafungasha sidiria kama lote 🤣🤣🤣atar
sana tu nikiki tu kipindi anaenda apo hotelini nilikuepo kabisa😂😂
Astaghafirullah mmmmmmmh ww dadaa huoni aibuu
Na beizake cdiria kwa as we mbamba
Kisha kaigiya mujino
🤣🤣🤣🤣🤣😃
Duu na kujisifu kote huko mwambia nasibu akutolee kondi
Masha wee kiboko umejua kutukomesha wambea🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Duu sasa kavaaje hivyo
Hhhhhhhh hatr
Mvuta bangi huyu
non sense 🥲
Kiki
Jacline unanichekesha jamn