Ebwana move kari saana na wanao sema kwamba bado reteni zenu tuzipe sifa mtu kafanya mazuri mpeongera sasa tukiwa atupeani moyo inakuwaje siyo gooda kabisa yani emedy umetishaaaaaaaaaaaaaa vele chama langu
Hongera kwa director na story na script writter watu wengi wanamsifia muigizaji (Hemed) bila kujua watu muhimu zaidi katika kazi ya filamu ni kina nani
movie nzuri upande WA story ya kipererezi safi ila jitahidini mlio WA bunduki mmboreshe risasi gan zinalia kama comedy, haraf movie zenye story kama hiz hemedy siyo type yake Sharo sana wakat hii siyo love story, cast ziendane na wahusika ,wengne PW lakn hemedy humu kachemka
Hellow brothers Movie ni nzuri ila upande wa skills kama mtu aliye pitia mafunzo ya jeshi hawezi kukimbia ovyo. Jeshini tuna funzwa ukakamavu na ujanja polini . Na sio kukimbia ovyo kama ninavyoona kwenye filamu yenu. #tz armie Naitwa Johnson SUMA JKT ARMY
Ebwana move kari saana na wanao sema kwamba bado reteni zenu tuzipe sifa mtu kafanya mazuri mpeongera sasa tukiwa atupeani moyo inakuwaje siyo gooda kabisa yani emedy umetishaaaaaaaaaaaaaa vele chama langu
Nice movie 🎥
part 2 pls
Hahahaaaa Hemediiii aya bhana good job
Good movie
nice move
from malindi kenya,movie imeweza
Oweoo lo❤e this
Movie nzuri sana tunaomba ututafutie hit back, red cross, for my child za uyo uyo mtitu game jamaa anatisha sana
Watuletee hizo move Kari sana
Nice
ninoma🙌
Ila bongo movie mmetupiga sana za uso 😂😂😂😂😂😂😂😂🤦♀️🤦♀️🙌🙌
Bongo bana bado gem mpo
Tunaomba red cross jamani pamoja na Magic hause jamani pls
Kweli kabisaa
Safi sana move nzuli sana
It's good movie na iko well known kwamba bongo hatutoagi sifa even if kitu kizuri.. But well done and ni swala la kulekebisha vitu vidogo tu
❤❤❤❤
All shababi hiramzuri sanaaaa
bongo bana
Tupostieni na roho sita movie
Nzuri nimeipenda
Sio nzuri
💯
Nimeipenda sana
hizo risasi zinavyoria ,bongo movie mungu anawaona
Seif Zongo zinalia kama unamwaga mchele kwenye Diaba😂😂😂😂😂😂😂
Mbwa we
Now it's good for extent it's needs to improve some areas
Hongera kwa director na story na script writter watu wengi wanamsifia muigizaji (Hemed) bila kujua watu muhimu zaidi katika kazi ya filamu ni kina nani
Nice mover
Zenu kutuonesha mapaja tu lakin kwa movie bado sana jitahidini munaweza kufka mukiumiza vichwa
Yani movie ya akili 🔥🔥
Good %
movie nzuri upande WA story ya kipererezi safi ila jitahidini mlio WA bunduki mmboreshe risasi gan zinalia kama comedy, haraf movie zenye story kama hiz hemedy siyo type yake Sharo sana wakat hii siyo love story, cast ziendane na wahusika ,wengne PW lakn hemedy humu kachemka
Well done
Masura yenu magumu Kama magimbi,msilidhalilishe vazi la uislamu
Nc
namuona Obama nice move hongelen sana
Movies kali
mimeipenda sana
bongo muvi bhana mnafurahisha na risasi zen😂😂😂
ahalumabina
king xule safii
still watching
iko wap 2
Ilaaa kazi iko poa
Nazi ngni
Nyinyi kazi zenu hazitofanikiwa ,labda muweke heshima kwa Allah,na mukome kudhalilisha uislamu,
Kwa hii movie n kama walikua wanajarbu kuele, a vle ma alshabab wanafanya
Mmetudangany wakuu mtu anapingwa lisasi6 na hafi😂😂
hemedih unatisha Sana kaka you want to be like kanumba but is nice my brother
Movie zuri...action!!
Mooov ipo moto sana director kafanya yake!!! But kwenye utumiaji wa siraha za moto haujatendewa haki coz watu hawatok damu!!!
Mi nafrahi 2 nikisoma ccoment zen
Sasa watu wanapigwa risisasi hawatoki damu 😳😳😳
Nimemuona anita wa matonya
Movie kalii na story kali ila jifunzeni namna ya kushika silaha ili uhalisia angalau uwepo .....mana mnashika kama karatasi iviii
😂😂😂movie ina uongo mpaka inachekesha
Inafundisha kias chke
Mm naona saf siraha zko sawa znamlio ule ule jpo kunatku kdg sjakipend SMG n nzit au hy mk14 ni nzt pia hv wakizkamat wakamat kkakmavu
Bongo movie bhna mtu kufa atanguliza magoti alafu anaweka mikono chini😂😂😂😂😂😂😂😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂et kafa 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Iko poa san
????Wanao pigwa risasi huaga hawatoki damu
Alishababu nn🤣
Tuleteen red cross bax
Mungeuza ata nyanya itapendeza
obama nika inspecta seba au uongo jaman
Member kuna movie moja naitafuta ambayo kanumba ame act kutembea na mke wa baba ako ambae ni Jacob Steven na pia yupo vicent kigos
Inaitwa of side itafute
Inaitwa offside utaipata
Where is no2!?
Bado edt ya moto ibeni hata vipande vya kina anod kwenye mabom
Jmn some time tunatakiwa tuwe serious, good story bt mnapo jiandaa kushut tafteni washaur wa kueleweka
mambo VP
NZURI ILA POLISI HEMED KAWEKA HERENI KUWENI MAKINI
Hahahhaa
Hahaha alshabab wamevamia
Huko ni kudhalilisha uislam binafsi sijaipenda mnavaaje kanzu sasa
kanzu sio nguo ya kiislamu ni nguo ya kiarabu
@@frankjully5457 mpuuzi moja ww
@@mamymdogomamy3670 sasa upuuzi wake nini hapo kanzu ni vazi la hesima nasio la kidini mtu yeyote anaweza vaa kanzu
2021
Hellow brothers
Movie ni nzuri ila upande wa skills kama mtu aliye pitia mafunzo ya jeshi hawezi kukimbia ovyo.
Jeshini tuna funzwa ukakamavu na ujanja polini .
Na sio kukimbia ovyo kama ninavyoona kwenye filamu yenu.
#tz armie
Naitwa Johnson SUMA JKT ARMY
xxx
si kuwaponda tu tuwape moyo watafanya vyema
mimeikubari ipo vizur
hahahaaaaa shkamoo
Eliezer Mtokoma x
lol
huu no upuuuzi mnazalilisha Islam kwa kuvaa vazi tukufu
nguo hizo sio za kiislamu ni nguo za kiarabu
Ata hivo, magaidi wengi ni waislamu, kwa hivo sio neno geni. Osama, Sadam, na wengineo.
iko poa sana naipenda sana
@@leahjoram7693 🤣🤣🤣🤣😂wana roho mbaya sana waislam
Nice movie 🎥
Congratulations
nice move