ความคิดเห็น •

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Prophet! Asante kwa fundisho la Upendo wa Kristo kwa binadamu yoyote mwenye mwili..hallelujah

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo imekaa vizuri. Ili kujua upo na watu WA hofu ya Mungu au ya cheo! 🙌🙌🙌

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว +10

    Mungu ni mwema. Ndugu zangu tuwe na Upendo bila kubaguana maana Neema ya Mungu inakuja tofauti na matarjjio yetu. Mungu Ibariki Tanzania. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

  • @prophetgervasebenard7486
    @prophetgervasebenard7486 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tendo la kinabii,siyo rahisi lakini Mungu aliyemwita anampa ujasiri naye kwa moyo wa kutii ,anaacha heshima zake zote kando,anabariki wale waliotoa sadaka zao akiwa katika hali hiyo! 🙏🙏🙏

  • @jenifermsele8243
    @jenifermsele8243 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwakweli Mungu aturehemu sana wakristo tuna upendo wakinafki sana eee! Mungu turehemu sana

  • @suzan4200
    @suzan4200 ปีที่แล้ว +12

    Kinawaliza kwasababu walimpita pale nje, ukute hata wengne waliongea maneno mabaya kwasababu tu alivaa uhusika wa mtu ombaomba lakin angekuwa amekaa nje kama alivyo siku zote kanisa zima lingenyenyekea na kumpenda lakin kwa aina hiyo alivyokuwa ni 1 aslimia kati ya 100 ndio walio msikiliza na kumsaidia...For me kuna jambo kubwa mnoo lakujifunza Hapo

  • @gorethmatondwa2923
    @gorethmatondwa2923 ปีที่แล้ว +1

    Aisee..Mungu atusaidie kwakweli

  • @ashantyneville9053
    @ashantyneville9053 ปีที่แล้ว +5

    I am host mungu akulinde sana tu

  • @itsjohkessy
    @itsjohkessy ปีที่แล้ว +5

    Content creation 🔥🔥🔥

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 11 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢nimeipenda bule hiii nikwer YESU atatukana naunafiki tulionao wakristo tubadilike tuache kujihesabia haki nakujiona bora tutaumbuka siku ya mwisho

  • @DavidDeheroDehero
    @DavidDeheroDehero ปีที่แล้ว +5

    Story inafundisha ila angeifanya mbali na kanisani kwake...

  • @yusuphmtuga4951
    @yusuphmtuga4951 11 หลายเดือนก่อน

    umetisha dogo

  • @princessjeradi6978
    @princessjeradi6978 ปีที่แล้ว +1

    Hii inaitajika ingine Tena bonge la mov

  • @arbinuwamahoro7370
    @arbinuwamahoro7370 ปีที่แล้ว +6

    Watu wamungu tujifunze kuto kubagua tujifunze upendo kupitia hii kripu kuna watu ambao wana moyo mgumu tutafute njiaa yakwenda mbinguni tukiwepo uhaii🙏🙏🙏😢😢😢

    • @mwanaidmsuya5331
      @mwanaidmsuya5331 ปีที่แล้ว

      Hiki nikipimo chaimani kwabinadam yoyote

  • @KhojaNasri
    @KhojaNasri ปีที่แล้ว +2

    Daah Aisee Sasa kipi kinawaliza

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 ปีที่แล้ว +3

    Laiti😭inakuja baada ya majuto,❤Profet Malisa 🥰🤣

  • @mosesallyson7846
    @mosesallyson7846 ปีที่แล้ว +2

    Hii imeenda..

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 ปีที่แล้ว +7

    Kamera man hawakumuona hao watu😂😂😂

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 ปีที่แล้ว

      Camera zipo mda wote especially jpili siku ya ibada camera zipo Kila mahali

  • @cilbuly2026
    @cilbuly2026 ปีที่แล้ว +8

    Wamejua ni yeye ndio maana imewauma in short ni hv ASIJIEKUJUA AKUTHAMINI HATA KIDOGO UBINADAM HAUPO THIS DAYS WACHACHE SANA WENYE NAFSI HIO

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati ปีที่แล้ว +1

    Kaiga nabii fulani muafrika

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 ปีที่แล้ว

    Amemuiga prophet Eddy

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +5

    UYO ALOLALA CHINI NDO KAUA KABISA 😃

  • @VirginiaSalvatory
    @VirginiaSalvatory 7 หลายเดือนก่อน

    Wanaolialia wote wanafiki

  • @juliethamwenda395
    @juliethamwenda395 6 หลายเดือนก่อน

    Mmh ngumu iyo

  • @HunterObey
    @HunterObey ปีที่แล้ว +5

    Mung mwema anatutengeneza kifiikra kuwa hata kichaa ana haki ya kula meza moja na we ulie na hakili timamu. Jina lake li himidiwe.

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati ปีที่แล้ว

      Vichaa wengine wanapiga na kubaka

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati ปีที่แล้ว

      Kula naye Kama ajakutemea mate

  • @ishaanizkeah8814
    @ishaanizkeah8814 ปีที่แล้ว +3

    Innalilah wainailey rajuoon

  • @djbenmusicsound6274
    @djbenmusicsound6274 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga ปีที่แล้ว +1

    Dah yatupasa kumjali na kumpenda kila mtu😢

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati ปีที่แล้ว +2

    Muongo tena mnafiki mkubwa alafu ana ukabila

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza anatisha, akikufata unaweza ukamkimbia maana unaweza ukapigwa

  • @michaelmwalimu6057
    @michaelmwalimu6057 ปีที่แล้ว

    Hizo zinaitwa kiki za manabii wa kizazi kibaya cha zinaa ni somo zuri lakini halijafundishwa kwa nia nzuri

  • @tukuyufm
    @tukuyufm ปีที่แล้ว

    Hii mpya 2023.

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati ปีที่แล้ว

    Huyo muongo yeye mwenyewe ana uupendo ukienda kanisani kwake tofauti anakuchukia atakusimanga kanisa zima

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 29 วันที่ผ่านมา

    Wanfkii awaaa

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 10 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi ina shida sana .hii kiki mpaka kanisani mbona vchaa wapo wengi hamjawai kuwaita kanisanii.tafuteni pesa watanzania

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว +1

    Wakupendao kwa ukweli utawajua.

  • @mwingwa7533
    @mwingwa7533 ปีที่แล้ว +4

    Siku za mwisho hizi hapa sasa ,ila jamaa anajituma kuaminisha watu.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว +3

    Ni funzo kwa wengi

  • @jacklinemsechu221
    @jacklinemsechu221 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂apo kwenye kulia bhn,huenda wanaumia like mbele zke hua wanaonyesha mema asa walimpitaaa kwa kumyari😂

  • @lovvy854
    @lovvy854 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kilio chanini mbona sijaelewa lolote Mim 😂😅

  • @AndreaYoeni
    @AndreaYoeni 4 หลายเดือนก่อน

    Mh ka2pa dhawadi leo

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kastori mnaleta kafupi hivi

  • @athanaschacha.9424
    @athanaschacha.9424 ปีที่แล้ว

    Unafiki unawasuta dhamili zao. Hivyo ndivyo binaadamu walivyo ila watu ni wachache sana,

  • @kassimwatown7389
    @kassimwatown7389 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣 mbinu nyingi sana hawa manabii

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 ปีที่แล้ว

      Tunaweza kuona n mbinu kumbe mwenzao anatimiza maagano chezea manabii wewe😂😂

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 11 หลายเดือนก่อน

    Ameigiza vyema

  • @Princewaweru
    @Princewaweru ปีที่แล้ว

    Siku zote majeruhi hua wanakuaga wanafiki sana tafakali kaa upande mmoja kama moto moto kama baridi baridi hapo nje wamempita tu sahiz wanajiridha nn hovyo na si hivyo tu tutaona mengi na ndo maana biblia inasema kesheni mkiomba

  • @mariachacha9572
    @mariachacha9572 ปีที่แล้ว

    Sasa.kwanini na yeye anakuwa na tamaaa za kimwili....jifunzeni kutulia na wake zenu.... fungeni zipu....

  • @WilsonJohn-tv7vq
    @WilsonJohn-tv7vq 5 หลายเดือนก่อน

    Copy and paste from Zimbabwe

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Kuna bosi alijifanyaga hivyo watu walivyoendaga kwenye intarvuu akawajuwa wanaofaa na wasiofaa

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc ปีที่แล้ว

    Sasa kwann wanalia na kajifanya chizi mwenye baada ya kulia msamehewe mazambi mnalilia chizi mkusanya sadaka😂😂😂

    • @samweli7985
      @samweli7985 11 หลายเดือนก่อน

      Kwako unaona nimkusanya sadaka, kwetu, nimtumishi wa Mungu, Tena ALIYE hai

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha watu wanafanya maigizo, huyu ashughulike na uzinzi na utapeli wake huko mke wake anasubiri majibu.

  • @jemmyabison8981
    @jemmyabison8981 ปีที่แล้ว

    sema kama alitumia kameraman wasiojulikana hapo kanisan basi amekamilisha nia yake...ila kama kameraman ni wale wale wanaofahamika pale chachi basi mwendo ni ule ule sawa na kutoa pesa mfuko wa kushoto na kuweka kulia😅😅😅😅

    • @witnessmmari9902
      @witnessmmari9902 ปีที่แล้ว

      huoni camera aliita ayo kama kawatembelea ibadani

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/l_xZ_B_idVo/w-d-xo.htmlsi=2wcdJ12_nIBFhy8J Alijichanga Na Mchawi Daimond Kujiunga Naye.

  • @manmcog1741
    @manmcog1741 ปีที่แล้ว +1

    Duuh

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 ปีที่แล้ว

    Mumeecti

  • @KapondaZenaida-g3z
    @KapondaZenaida-g3z ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows ปีที่แล้ว

    😅 content creator

  • @Mbingu77
    @Mbingu77 ปีที่แล้ว

    Copy and paste kutoka kwa prophet edd

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati ปีที่แล้ว

    Anakunyanyapaa hata ulipokaa apitu akutabilii sasa anakugombeza ukatoe sadaka akati yeye akuombei

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe ปีที่แล้ว +2

    Dah! Nmewaza hata ningekua mimi nisingeto

    • @AndreaYoeni
      @AndreaYoeni 4 หลายเดือนก่อน

      Hello hello